Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Mkuu funguka utoe donge kifuani na usaidike humu utakuwa huru...nani anakujua humu?

After all hakuna jipya hapa chini ya Ardhi[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kwamba ni matokeo ya kurogwa na mchepuko?

Huko kutoelewana kulianza lini? Kabla ya kuwa na mchepuko au baada ya kuwa na mchepuko?
 
Hapo na mimi ndo niliposhangaa hizo drama zake zinaanzia wapi? [emoji848]

Mama lizima una misala kibao si unatuliza mshono tu angalau usitirike[emoji848]

Ngoja amwagwe ndo ataijua hii dunia vizuri

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Jambo gumu hapo mkuu yote yanazungumzika kirahisi Sana

Mkuu Jambo tayali limemkuta binafsi sioni alipokosea Yuko sahihi kama binadamu jambo la kufanya

Mjengee uwezo wa kifedha mke mdogo kwa kumwezesha biashara itakayomfanya bize mda mwingi.

Mke wako mkubwa hujamjua Bado kwanza anakupenda Sana pili sio msemaji huyo Mama tatu hajui hatima yake,nne marafiki aliokuwa nao lazima Kuna jambo limeingia hapo ndani

Mke wako ametoka kwa Mungu fanya yafuatayo kurudisha tren kwenye reli bila whinch

Mtoe out mke wako mkiwa huko mwambie kwa upole akueleze changamoto anazopitia pia utamweleza changamoto zako baada ya hapo asisi suluhisho la yote hayo kwa kwenda kuyafanyia kazi kwa vitendo

Mimi naishi na mwamke kama wewe mahari sijatoa pili skutaka kuzaa nae harakaharaka nikimwahidi mpaka tumalize nyumba yetu mtoto atukute kwetu

Vituko kama hivyo vilianza mkuu simwelewi hata analia ovyoo papuch shida unaforce haswa lkn kupitia maneno machache yanayomtoka nilijua shida nini nikamjaza chapu nikafunga ndoa haraka furaha ni kubwa mno manjonjo yote hamna anajiamini

Shetani amevamia familia yako lengo lake ni hayo maamuzi yako ya kumwacha wife unaenda kutengeneza historia itakutesa miaku 30+ mpaka hao watoto wajitegemee na sijui Kama watakupenda jiamini kama huo ni mke wako iwe mvua iwe Jua utamshinda shetani nae ataenda zake usiesabu maumivu na nakwakikishia uko sehem sahihi
Mungu akutie nguvu
 
Wejamaa unazingua sana aiseee....
Kwanza minimekasirika sana, kwajinsi hii dunia ilivyojaa warembo wanao jielewa tena walio na adabu na hawakufuati hata bar...πŸ˜‰ leo unasumbuliwa ma mshangazi ambao uliukuta na unalea pekeyake alafu wewe unaogopa kulea watoto peke yako kisa unawahurumia..🀨 ebu niulize mimi nikwambie nilicho kifanyaga man...😜
 
Ndio kitu nafkiria ila natafta njia ambayo haitamuathiri pia ila sina tena ham ya kuishi nae nataman nimpangie safar ya kwenda kwao nimpe hata M5 then akifika ndio nimwambie apambane na maisha yake asirud tena
 
Kwanza watoto wenyewe ni wawili tu alafu unaogoooopa....😎 yaani unaleta uzungu mwingi kwenye pumzi yako..πŸ˜• ebu nikuilize and be honest hapa, kweli wewe ukigusa kifua chako na ukasikiliza mapigo ya moyo unaona kabisa unashindwa kuwalea watoto wako mwenyewe bila mama yao..??
 
Fuata nafsi yako inapenda nini hakuna mwalimu wa mapenzi duniani ila mbinguni tu....tena ni vizuri hukumtambulisha kwenu wala kilipa mahari.....maana hiyo pesa bora uweke heshima bar.....suala la huruma ya watoto muachie mama yao ikibidi uwaachie na nyumba anza upya never too late usije juta uzeeni
 
Ana miaka mingap?
 
Kuchepuka sio solution,tena umejiweka kwenye risk kubwa sana ukachepuka bila kinga! Vp ukipata lile gonjwa nani atalea hao watoto wako ambao unawaonea huruma?

Muulize huyo "Mkeo" anataka nini? Kisha fanya atakalo,hata kama atataka umuache,

Life is too short,enjoy it before it's too late,

Good luck.
 
Leo nakupinga mkuu, tatizo wanawake wa skuizi wanapenda kushindana na waume zao, na wengi wanapo amka wanaanza kuwasha sim badala ya kuwasha moto ili wamuandalie mume chochote kabla ya kwenda kazini.
Mpeni ujasiri wa kumuoa mchepuko, halafu baada ya miaka 3 atupe mrejesho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukiona huchemshiwi chai hupetiwi pengine wewe ndie tatizo jichunguze
 
Ndio kitu nafkiria ila natafta njia ambayo haitamuathiri pia ila sina tena ham ya kuishi nae nataman nimpangie safar ya kwenda kwao nimpe hata M5 then akifika ndio nimwambie apambane na maisha yake asirud tena
Nyumba mnayoishi na mali ulizo nazo alivikuta?Kama mlichuma wote ujiandae kwa mgao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…