Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

Umempa mimba zote hizo na hujamtolea mahari? Hajiamini tena huyo, ataishi maisha ya woga na presha sana akiwa chini yako, yaani UMEMWEZA KWISHA HABARI YAKE.

Akitaka kupona ni akubaliane na hali aachane na wewe alee watoto wake maana umeshindwa kuwa mwanaume kwake.

Hivyo vituko anavyokuonyesha vinatokana na udhafu wako kushindwa kumfanya ajisikie yupo salama na wewe.
 
Wakati mwingine katika maisha binadamu unakosea halafu unajikuta kwenye mazingira ambayo hujui ulifikaje hapo, hujui uendelee mbele au urudi ulipotoka.

USIPOPATA MTU SAHIHI WA KUKUVUSHA UNAWEZA JIKUTA UNACHANGANYIKIWA AU UNAKUFA.
 
Wakati mwingine katika maisha binadamu unakosea halafu unajikuta kwenye mazingira ambayo hujui ulifikaje hapo, hujui uendelee mbele au urudi ulipotoka.

USIPOPATA MTU SAHIHI WA KUKUVUSHA UNAWEZA JIKUTA UNACHANGANYIKIWA AU UNAKUFA.
Kweli kabisa! Hasa unapo kuwa umewekaa dukuduku moyoni na hulitoi Ingali vitendo vinaonesha una shida.Lazima ufe.

Huwezi kuamka na kuanza kulia,Kwenda jikoni,ku pretend presha imepanda halafu hausemi dukuduku lako.Sasa utaota?Utaishia kubaki na Labda ni mahari.Kumbe yeye ana la kwake.
 
Wee bwana hawa viumbe mateso wanajitakiaga wenye kwa shika ahika mimba hovyo hovyo huku bado hawajaolewa. Tena ndio wenyewe wa kwanza kusema bby kojolea ndani
 
Sawa mkuu
 
acha viungo vikaze kwanza ndo nikae na mtoto wa mtu ndani
 
Kulingana na maelezo ya mada, wewe unaweza mhukumu kwa namna inavyokupendeza ila kwa mimi tatizo ni huyo binti kazalishwa watoto wawili bila ndoa na huenda haoni mwanga katika maisha yake aliyochagua. Yupo depressed, ana stress na hana furaha na maisha yake.
 
Ndugu Kaa chini na mkeo na muelezane këro zenu. Tafuta eneo tofauti na nyumbni mtoe out kisha mwambie mapungufu yake na yenye atakwambia Yako halfu msamehane, baada ya hpo Nahis mnaweza kuanza ukurasa Mpya. Kwa maono yangu Nahis Pia mchepuko ameongeza gepu kati Yko na mkeo, Ndo maana inaonyesha kma unampuuza Fulani HIV.
 
Ukishaona mkeo kila Jambo ana share na mama ake jua hamna ndoa hapo.
 
Huyo binti inaonekana hakupata alichokitarajia.
 
Reactions: Tsh
Wangapi wamefunga ndoa na ndoa zao zipo montuary sasa hv.

Msijifiche kwenye kichaka cha kufunga ndoa
 
Ukishaona mkeo kila Jambo ana share na mama ake jua hamna ndoa hapo.
Sahihi kabisa,Mke mwenye akili za kushikiwa ni ngumu sana kuishi nae au awe na maamuzi yake yeye mwenyewe kwenye maisha,

Moja ya chanzo kikuu cha migogoro ya kwenye ndo za siku hizi ni kutokua na siri ndani ya Nyumba/ndani ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…