Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Nilichozungumzia sio kutosha kwa mshahara. Nilichokisema ni nidhamu ya watumishi watu wamekula viapo vya kufanya kazi na kama unaona mshahara mdogo unawaachia wengine.

Sasa ushindwe kutoa customer care kwa wale wanaohitaji msaada kwa kigezo Cha mshahara mdogo usitosheleza. Na si kwamba posho hazikuwepo kipindi Cha Magu bali zile zilizovuka mipaka. Unakuta mtu amefanya Kazi siku tano lakin posho anajiandikia siku kumi.

Hata kama sijui chochote bali nami lkn nayaona nami ni mwananchi kama wewe.
Wanaomchukia Magu ni wale waliokuwa wananyang' anyway matonge mdomoni waliyokuwa wanapata kwa njia ya haramu.
 
Pumba tupu, kila kitu hujuma. Kiongozi dhaifu, huzaa serikali dhaifu. Kila kitu huanzia kwa kiongozi.
 
Itasikitisha asana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
sasa mmepata sababu kuwa kila kitu ni sukuma gang hata wakitokea majambazi ni sukuma gang ukitokea wizi bandari sukuma gang na hiyo tani moja ya dawa ya kulevya sukuma gang mbona hata kesi yake hamuosikii
 
Kwanza hujatuambia Sukuma gang ni nini, au akina nani,na kiongozi wao ni nani?
Lengo la kudhoofisha utawala wa mama kwa maslahi ya nani?
Je hao waliosimamishwa kupisha uchunguzi nao ni wasukuma?
Tupe uthibitisho wa hicho ulichokiandika, vinginevyo mnatafuta wa kumuangushia jumba bovu baada ya selikali ya awamu ya 6 kuanza kuonyesha dosali za kiutendaji na uwajibikaji mapema.
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Wanamletea shida mama nao waliopokwa madaraka na kwa kuwa hawakuwa na sifa za kufika hapo walipo ni lazima watajotahidi kumchafua mama .Hata hivyo ,watanzania wote bila tumwombee huyu Rais wetu .
 
Mapenzi yakipitiliza yasiwachumie watu dhambi kwa kuwasema wengine vibaya. Unajuiliza nani amuue mwendazake na ulinzi wote ule? Ni Kikwete? Kweli? Kwanini?
Ni kama wewe unavyowahusisha wasukuma na mambo wasiohusika nayo,yote sababu ya chuki tu kwa wasukuma.
 
Mama anakazi kubwa sana kufanya kazi na hili kundi la jiwe hajajua tu .
Umeme ulikuwa unakatika Enzi za JK ,JPM akakomesha,sasa tuamini vp?wanaoleta hujuma ni wale wa JK ama ni hawa wa JPM?kiualisia nchi inaongozwa kutoka msoga...tafakari.
 
Mbona unafoka?
 
Umeme ulikuwa unakatika Enzi za JK ,JPM akakomesha,sasa tuamini vp?wanaoleta hujuma ni wale wa JK ama ni hawa wa JPM?kiualisia nchi inaongozwa kutoka msoga...tafakari.
Tatizo la umeme lipo kuanzia utawala wa Rais Mwinyi mpaka Leo, bado hatuna umeme wa uhakika. Kumbuka kuwa hizi electronic bulb za kichina za watts 5 hadi 10 zimetusaidia sana kwenye matumizi ya umeme kipindi cha awamu ya 5 (Hayati Magufuli na Mama Samia). Huko nyuma awamu za ( Rais Mwinyi, Mkapa na Kikwete) bulbs zilikuwa kuanzia watts 40, 60, 100 n.k. Kama unajua hesabu UTAELEWA.
 
This is too dangerous as it might tremendously affect the economy and disturbilize the country. If you think these allegetions are true to the best of your understanding you may kindly CC the same to the RELEVANT ACCOUNT in TWITTER ASAP.
 
Mmeshashiba ugali maharagwe huko sasa mpo vijiweni kuilaumu serikaliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niachie nani ambae hataki kula? Huduma mbovu mbona hao wengine hawaletwi kutoa hiyo huduma nzuri? Hakuna huduma nzuri inayotolewa na aliye na njaa hata uwe mkali kama nini rushwa ya pesa, muda, vitendea Kazi au huduma mbovu lazima itatembea tu.
 
Sukuma gang watahujum mpaka mishahara ya watumish wa Uma time will tell [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…