Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

sasa ndio muda wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuwa macho bila kulala, tuwabaini wale wote ambao sio wazalendo na mara moja waondolewe, kamwe tusiwachekee watu wanao hujumu maendeleo ya wananchi, toa mara moja.

sisi wananchi tunaahidi kuwa fichua wale wote wanao panga au kufanya hujuma ktk idara zote au taasisi zote.

tunawafahamu, ni watu wanafiki sana, machoni wanajifanya tuko pamoja lkn moyoni wanatamaklni tuharibikiwe, hao lazima tuwafichue na waondolewe.
 
Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Acha kuidhalilisha na kuiongopea nafsi yako wewe! Huyo mwendazake alikuwa waziri wa Barbara Ina maana alikuwa anazijenga wapi mpaka useme alileta Barbara kwa wanyonge? Kajenga shule ngapi mpya kabisa zaidi ya za Kikwete?
Umeme wa rea ni mpango wa awamu ya nne yeye kauendeleza kiduchu tu!
Kwanini mnajifanya hamkuona mafanikio ya awamu ya nne Hadi mteseke kutetea yaliyoanzishwa na kutekeleza katika awamu hiyo?
Kwa mtu mwenye akili na fikra timamu hawezi kumpamba mwendazake hata kidogo zaidi atamlaumu kwa mengi ya hovyo aliyoyafanya! Miaka yote mitano nchi haikuwa na kiongozi Bali hizi flani hivi lenye manyoya ya kuwasha!
Huyu madame President kwangu na kwa wenye akili ni mtu muhimu sana kwa wakati muhimu mno.
 
Wasukuma wanakutesa sana jombaa! Hata hivyo Magufuli amewawakilisha vema kuitoa nchi ktk idelogy ya umaskini hadi kuingia uchumi wa kati huku mabeberu roho zikiwauma, haikuwa kazi ndogo!
Hivi unaijua uchumi wa Kati au unapokea kibwagizo Cha wimbo usioujua? Mbona wajinga ninyi hamkubali kuziruhusu akili zenu zifanye kazi yake ipasavyo? Yaani mnakuwa wakatili Hadi kwenye kuubana ubongo wako kufanya kazi yake!
Tanzania haijawahi kufika uchumi wa Kati jombaa kagoogle world Bank and imf records kuhusu ukuaji wa uchumi wa Tanzania kwa miaka mitano iliyopita kabla ya kujikatili kiakili!
 
Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Maza kutoboa hadi 2025 ni ndoto. Kazi amepewa kazi ambayo hajawahi kuiomba na inawezekana alikuwa haitaki. Pia kutoka eneo lenye watu 500,000 unaambiwa ongoza watu million 50 ni changamoto zake. Mwisho maza anahitaji muda wa kujiremba na apendeze huku wabongo wanaendelea kuona.
 
Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
What to do with their population? Yaani unasifia kabisa uwepo wa masikini wengi katika nchi? Nenda kule kwenye website ya wizara ya afya na Ile ya elimu ndio utajua nasema Nini. Yaani kuzaliana hovyo na kujazana bila uwepo wa mahitaji muhimu ya elimu, afya, maji , mavazi, chakula na makazi kwako ni sifa?
Watoto na wazima Wana utapiamlo uliopita na huenda unakaribiana na ule wa watoto wa Yemen halafu unajisifu kuwa ni big population!
 
Jpm alitoka jamii kubwa na alifanya mengi makubwa, msipokuwa makini mtafanya bibi yenu augue presha kwa hofu ya kivuli cha jpm. Na hata mseme mte na nguo, aliyoyaacha jpm yanamtetea popote.
Yaweke hapa tuyasome!
 
Naomba uweke sawa hapa kwa kutoa takwimu juu ya barabara unazodai walivipata kipind cha shujaa. Weka takwimu hapa kipind cha jakaya zilijengwa barabara km ngap na kipind cha shujaa zilijengwa barabara za km ngap.
Jakaya aliekua akilipa mishahara tarehe 5

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Chuki zako hazitaweza kushindana na wasukuma utashangaa dadako kazalishwa na ngosha we uko na key board tu, fanya kazi wewe ukomboe familia yako wasukuma huwawezi hata ufanyeje.
Afadhali mmeanza kujifunua ili tuone sura zenu za kibaguzi! Ni hivi dogo; hii nchi ukabila uliondoka na magufuli aliyekuwa anauasisi. Kama mlitaka kujenga sukuma empire Basi kasomeni historia yenu ili mjue asili yenu ni wapi mrudi huko mkaanzishe nchi yenu!
Kinyume chake mtajikataa Sasa hivi na kubadilisha Hadi majina na lafudhi yenu kwa yatakayowafika! Nchi haina ukabila na Hilo halibishaniwi!
Kumbe mmejipanga kikabila kusumbua wananchi wa Tanzania? Hamtafanikiwa hata kidogo.
 
Acha kuidhalilisha na kuiongopea nafsi yako wewe! Huyo mwendazake alikuwa waziri wa Barbara Ina maana alikuwa anazijenga wapi mpaka useme alileta Barbara kwa wanyonge? Kajenga shule ngapi mpya kabisa zaidi ya za Kikwete?
Umeme wa rea ni mpango wa awamu ya nne yeye kauendeleza kiduchu tu!
Kwanini mnajifanya hamkuona mafanikio ya awamu ya nne Hadi mteseke kutetea yaliyoanzishwa na kutekeleza katika awamu hiyo?
Kwa mtu mwenye akili na fikra timamu hawezi kumpamba mwendazake hata kidogo zaidi atamlaumu kwa mengi ya hovyo aliyoyafanya! Miaka yote mitano nchi haikuwa na kiongozi Bali hizi flani hivi lenye manyoya ya kuwasha!
Huyu madame President kwangu na kwa wenye akili ni mtu muhimu sana kwa wakati muhimu mno.
Ndio umeongea nn sasa?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Afadhali mmeanza kujifunua ili tuone sura zenu za kibaguzi! Ni hivi dogo; hii nchi ukabila uliondoka na magufuli aliyekuwa anauasisi. Kama mlitaka kujenga sukuma empire Basi kasomeni historia yenu ili mjue asili yenu ni wapi mrudi huko mkaanzishe nchi yenu!
Kinyume chake mtajikataa Sasa hivi na kubadilisha Hadi majina na lafudhi yenu kwa yatakayowafika! Nchi haina ukabila na Hilo halibishaniwi!
Kumbe mmejipanga kikabila kusumbua wananchi wa Tanzania? Hamtafanikiwa hata kidogo.
Busara Ni kumsihi mama awasimamie waliochini yake vzr ili watekeleze majukumu Yao Kwa weledi sio kujificha kwenye kivuli cha hujma Hakuna hujma wala nn Ni kwamba uzembe umeanza Tena yeye mwenyewe amekiri kuwa ujambazi umeanza kurudi na kuwaomba polisi wasikubali kubonyezwa.
Hakuna hujma mama anatakiwa akaze Mambo yaende

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi nawasalimu.

Siku kadhaa zilizopita tumeshuhudia tatizo kubwa la ununuzi wa umeme wa LUKU kwa siku tatu mfululizo. Biashara nyingi zilisimama. Bado hatujaambiwa ni kwa kiasi gani uchumi umetetereka. Lakini hunitaji elimu ya chuo kikuu kujua ni athari gani kiuchumi ilitokea.

Serikali imechukua hatua na uchunguzi unaendelea maana zipo kila aina ya harufu kuwa ilikuwa ni hujuma ya Sukuma Gang. Jaribio hilo limeshindwa.

Habari zilizonifikia ni kwamba sasa wanaenda kutoboa bwawa la Mtera ili hatimaye likauke nchi iingie gizani watu wamlaumu Mama na kumkumbuka Mwendazake. Vyanzo vya umeme ni vingi lakini umeme unaotokana na maji (Mtera) bado ni la msingi.

Nashauri Usalama wa Taifa litupe macho huko Mtera kuzuia hujuma hiyo isitokee. Hatujui Plan C yao ni nini.
#FreedomIsBack
Kama ni hujuma msiwafikirie hao Sikuma gang peke yake, pia muwafikirie na makundi yanayojipanga kutaka Urais hasa ndani ya CCM.Pengine wanamuhujumu mama ili aonekane hafai wachukue form.
 
Afadhali mmeanza kujifunua ili tuone sura zenu za kibaguzi! Ni hivi dogo; hii nchi ukabila uliondoka na magufuli aliyekuwa anauasisi. Kama mlitaka kujenga sukuma empire Basi kasomeni historia yenu ili mjue asili yenu ni wapi mrudi huko mkaanzishe nchi yenu!
Kinyume chake mtajikataa Sasa hivi na kubadilisha Hadi majina na lafudhi yenu kwa yatakayowafika! Nchi haina ukabila na Hilo halibishaniwi!
Kumbe mmejipanga kikabila kusumbua wananchi wa Tanzania? Hamtafanikiwa hata kidogo.
Nani anauleta kama sio nyie kila siku sijui gang kitu gani. Unaji amplify tu huna uwezo huo. Jifunze kuheshimu wanaokuzidi. Na mkome kila siku kutukana wasukuma.
 
What to do with their population? Yaani unasifia kabisa uwepo wa masikini wengi katika nchi? Nenda kule kwenye website ya wizara ya afya na Ile ya elimu ndio utajua nasema Nini. Yaani kuzaliana hovyo na kujazana bila uwepo wa mahitaji muhimu ya elimu, afya, maji , mavazi, chakula na makazi kwako ni sifa?
Watoto na wazima Wana utapiamlo uliopita na huenda unakaribiana na ule wa watoto wa Yemen halafu unajisifu kuwa ni big population!
Acha kulishwa matangopoli kwenye kabati, toka nje ya box nenda katembelee hayo maeneo uone huo utapia mlo wako. Yaani wewe unataka kulazimisha hoja zako za kipuuzi huku mkitaka wenzenu wasiaambie msiyoyapenda. Tujifunze kuheshimiana hapo tutaishi kwa upendo na amani.
 
Eti kwa wananchi wa kawaida wamemwona mkombozi? Mkombozi wa nini yule mwendazake?

Waliomwona mkombozi ni sukuma gang ambao walimwona kama mungu wao. Aende zake, Kyle hajatukomboa kwa lolote zaidi ya kutufokea tu.

Nini tulikipata kwake tulichokikosa kwa Jakaya?

UTHUBUTU!!
 
Hahaha, raha aliyonayo mh Rais Samia ni kwamba, popote atakaposhindwa, itasingiziwa SukumaGang.

Na akilikubali hii dhana, itamharibia sana.
Jiwe alivyosingizia mabeberu
 
Back
Top Bottom