Akili hazikutoshi au wewe ni kipofu,mala nyingi watu wa aina yako ni yale mafisadi yaliyo minywa,matajiri makwepa kodi,na vyeti feki....ninyi ndo mmekazana sana kujaribu kuaminisha umma kua JPM alikua hafai,nakuambieni wananchi wengi 85% ama 90% walimuona JPM ni mkombozi na mwana mapinduzi mpigania haki.
Tulikuaga tumechoka na watu mijini wanakwambia tu "ntakufunga mimi" na kweli wanakufunga,bila kosa..wakwepa kodi walishirikiana na maafisa walio ajiliwa kunyonya haki za masikini,maofisini kulikua ni miungu watu,kupata tu hati ya kiwanja ilikua ni kama unatafuta figo lakini Kia JPM yote yaliwezekana,kuheshimiana kukarudi,haki ikaanza kuonekana,afu wewe unakuja kutuambia nini hapa?