Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE