MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Hakuna cha kuuwawa..ni maombi ya Watanzania yamefanya kazi halafu covid19 ikaturahisishia mambo.Wanasema mwendazake aliuwawa... TISS walifeli wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kuuwawa..ni maombi ya Watanzania yamefanya kazi halafu covid19 ikaturahisishia mambo.Wanasema mwendazake aliuwawa... TISS walifeli wapi?
Na wasukuma wanazaliana kweli, ingekuwa ni kwenye mazao jamaa ni mbegu bora kweli kweli 😂😂Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Ziraili alivaa ngozi ya Covid19, akatufanyia wepesi...Hakuna cha kuuwawa..ni maombi ya Watanzania yamefanya kazi halafu covid19 ikaturahisishia mambo.
Blaza ukianza hiyo safari nistue nikusindikize. Lile dubwasha sio la kuruhusu lifufukeBlaza nchi ina furaha sana toka liondoke lile Nyangumi..
Nafanya mpango kutafuta mjiwe mkubwa kama ya pale mtoni UASHI na kulisafirisha mpaka kule ulikokuwa mji pendwa na kwenda kuliweka juu ya kaburi lake ili hata akitaka kufufuka iwe shida yaani.
Sasa tulieni tuwaweke ndani tena na vyeti feki vyetu. Sio kosa letu nyie kuwa mazwazwa. Kama yule ndo alikuwa mungu wenu basi ndo ishatoka hivyo...Akili hazikutoshi au wewe ni kipofu,mala nyingi watu wa aina yako ni yale mafisadi yaliyo minywa,matajiri makwepa kodi,na vyeti feki....ninyi ndo mmekazana sana kujaribu kuaminisha umma kua JPM alikua hafai,nakuambieni wananchi wengi 85% ama 90% walimuona JPM ni mkombozi na mwana mapinduzi mpigania haki.
Tulikuaga tumechoka na watu mijini wanakwambia tu "ntakufunga mimi" na kweli wanakufunga,bila kosa..wakwepa kodi walishirikiana na maafisa walio ajiliwa kunyonya haki za masikini,maofisini kulikua ni miungu watu,kupata tu hati ya kiwanja ilikua ni kama unatafuta figo lakini Kia JPM yote yaliwezekana,kuheshimiana kukarudi,haki ikaanza kuonekana,afu wewe unakuja kutuambia nini hapa?
Watanzania ni wale wale na pia watumishi wa uma waliokuwepo serikalini hawakufa pamoja na Magufuli.Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Unaposema mwananchi wa kawaida unamaanisha watu gani? Kuna wakati baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita watanzania wenzao eti wananchi wanyonge, wakimaanisha wananchi wajinga. Wale ambao wanaweza kuawa huku anayewaua akiwaambia, nawasaidia msife kwa mateso.Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?
Let me be clear,Samia anatoka Zanzibar jamii ndogo sana ya watanzania na mbaya zaidi ameshika nchi kutoka kwa mtangulizi wake Dkt Magufuli ambaye wananchi wa kawaida ameendelea kuonekana alikuwa mkombozi wao. Ordinary Tanzanian hajui sijui kubinywa uhuru wa habari,anataka huduma za kijamii Elimu,Afya,Umeme, Barabara,n.k vitu ambavyo wananchi walivipata kipindi cha JPM. Leo Samia ameshika nchi hajamaliza miezi 3 shida zimeanza kama awamu ya 4. Samia ajiandae kisaikolojia.
Wapinzani na wanaharakati anaowafurahisha hawatampigia kura na hawatakiunga mkono chama chake cha CCM. Tuombe uzima ili tushuhudie hiyo 2025 laana ya kumuondoa JIWE
Kule mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, mara kadhaa nikiwa vijijini, hilo jina Magufuli hawakuoenda hata kulisikia kutokana na alivyoharibu uchumi wao uliokuwa ukitokana na mauzo ya mahindi, mbao na miti.Eti kwa wananchi wa kawaida wamemwona mkombozi? Mkombozi wa nini yule mwendazake?
Waliomwona mkombozi ni sukuma gang ambao walimwona kama mungu wao. Aende zake, Kyle hajatukomboa kwa lolote zaidi ya kutufokea tu.
Nini tulikipata kwake tulichokikosa kwa Jakaya?
Mwisho wa siku kura zao zitahesabika bila kujali kuwa hizi ni za wasomi au matajiri! Chunga sana mihemko yako ya kikabilaWhat to do with their population? Yaani unasifia kabisa uwepo wa masikini wengi katika nchi? Nenda kule kwenye website ya wizara ya afya na Ile ya elimu ndio utajua nasema Nini. Yaani kuzaliana hovyo na kujazana bila uwepo wa mahitaji muhimu ya elimu, afya, maji , mavazi, chakula na makazi kwako ni sifa?
Watoto na wazima Wana utapiamlo uliopita na huenda unakaribiana na ule wa watoto wa Yemen halafu unajisifu kuwa ni big population!
Bila Corona tungekuwa bado tunaishi kwa hofuHakuna tulichokipata kwake yule jamaa zaidi ya hofu ya kutekwa na kupigwa risasi.
Kuna jamaa muuza unga baada ya kusikia tu kifo cha Jiwe aliruka kwa furaha na nina ndugu yangu ye hata kazi hana ila anakwambia bora alivyokufa maana alikuwa hapati pombe za bure na vizinga kama zamani.Blaza nchi ina furaha sana toka liondoke lile Nyangumi..
Nafanya mpango kutafuta mjiwe mkubwa kama ya pale mtoni UASHI na kulisafirisha mpaka kule ulikokuwa mji pendwa na kwenda kuliweka juu ya kaburi lake ili hata akitaka kufufuka iwe shida yaani.
Bila corona leo tungekuwa nae Maalim seif ila corona ilimpenda zaidi.Bila Corona tungekuwa bado tunaishi kwa hofu
kwani wewe unaskia utamu!!!Afie mbali kule. Tunademka na mama yetu mpendwa. Ikiuma chomoa...
Usisahau na mama yako alikuwa girlfriend wangu, na alikuwa ananiita bebi.kwani wewe unaskia utamu!!!
yaani ukute wewe ni zee zima na kuna mbaba anakuita baba,halafu unaandika upuuzi hapa.
Katika huduma zote hizo ulizotaja ni huduma ipi huyo mwananchi wa kawaida anaikosa kwa sasa...acha majungu!Samia anajihujumu mwenyewe,nani ana shida ya kumhujumu?