Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Na wasukuma wanazaliana kweli, ingekuwa ni kwenye mazao jamaa ni mbegu bora kweli kweli 😂😂
 
Reactions: mmh
Blaza nchi ina furaha sana toka liondoke lile Nyangumi..
Nafanya mpango kutafuta mjiwe mkubwa kama ya pale mtoni UASHI na kulisafirisha mpaka kule ulikokuwa mji pendwa na kwenda kuliweka juu ya kaburi lake ili hata akitaka kufufuka iwe shida yaani.
Blaza ukianza hiyo safari nistue nikusindikize. Lile dubwasha sio la kuruhusu lifufuke
 
Sasa tulieni tuwaweke ndani tena na vyeti feki vyetu. Sio kosa letu nyie kuwa mazwazwa. Kama yule ndo alikuwa mungu wenu basi ndo ishatoka hivyo...

Kama vipi kunyweni sumu mumfuate

Hii nchi ni ya watanzania wote, sio mali ya mwendazake... ikiuma chomoa.
 
Watanzania ni wale wale na pia watumishi wa uma waliokuwepo serikalini hawakufa pamoja na Magufuli.
Hii dhana ya kwamba Mama Samia atashindwa ni upuuzi tu.
Maendeleo ya kweli na endelevu ya nchi huletwa na wananchi wote kwa ujumla na kamwe siyo mtu mmoja.
 
Hao wapumbavu hawana ujasiri wa kufanya chochote kumhujumu mama.Ujasiri wao umezikwa pamoja na chifu wao ndugu jiwe
 
Sasa ilo bwawa la mtera watatoboa sehemu gani,labda uniambie watavunja daraja,najua haulifahamu.
 
Unaposema mwananchi wa kawaida unamaanisha watu gani? Kuna wakati baadhi ya watu wamekuwa wakiwaita watanzania wenzao eti wananchi wanyonge, wakimaanisha wananchi wajinga. Wale ambao wanaweza kuawa huku anayewaua akiwaambia, nawasaidia msife kwa mateso.

Sera mbovu za uchumi za awamu ya 5, ziliwaumiza sana wananchi wa kipato cha chini kuliko matajiri, huku viongozi walaghai wakiwadanganya wananchi hao wa kipato wa chini kuwa ndiyo wanawahangaikia!!
 
Kule mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, mara kadhaa nikiwa vijijini, hilo jina Magufuli hawakuoenda hata kulisikia kutokana na alivyoharibu uchumi wao uliokuwa ukitokana na mauzo ya mahindi, mbao na miti.

Mahindi yalipokuwa yakienda nje ya nchi, bei ilikuwa nzuri. Serikali yake ikazuia, akaharibu soko.

Mbao nyingi zilikuwa zikisafirishwa kwenda Kenya, akachoma vifaranga vya kuku toka Kenya, kuingiza bidhaa nchini toka Tanzania, ikawa shida, mbao zikakosa soko.

Mbao zilipokuwa na bei nzuri, ekari 1 ya shamba la miti ya mbao, ilikuwa ikiuzwa mpaka shilingi milioni 20, mwendazake akasababisha ishuke mpaka shilingi milioni 7, na kumpatanunuzi hata kwa bei hiyo ndogo ikawa tatizo.

Wanunuzi wakubwa wa parachichi walikuwa makampuni ya Kenya, mwendazake kuna miaka alisababisha parachichi za wakulima ziozee mitini.

Halafu eti mtu aseme kuwa mwendazake alikuwa anawapigania wananchi wa kipato cha chini, eti alikuwa anapendwa na watu wa kawaida - labda wale ndugu zake na baadhi ya watu wa kanda yake, aliowarundika kwenye ofisi nyingi za umma.
 
Mwisho wa siku kura zao zitahesabika bila kujali kuwa hizi ni za wasomi au matajiri! Chunga sana mihemko yako ya kikabila
 
Blaza nchi ina furaha sana toka liondoke lile Nyangumi..
Nafanya mpango kutafuta mjiwe mkubwa kama ya pale mtoni UASHI na kulisafirisha mpaka kule ulikokuwa mji pendwa na kwenda kuliweka juu ya kaburi lake ili hata akitaka kufufuka iwe shida yaani.
Kuna jamaa muuza unga baada ya kusikia tu kifo cha Jiwe aliruka kwa furaha na nina ndugu yangu ye hata kazi hana ila anakwambia bora alivyokufa maana alikuwa hapati pombe za bure na vizinga kama zamani.
 
Uzuri wa Katiba Mbovu number kubwa ya Wasukuma haitafanya kazi.Hakuna uchaguzi Tanzania ,tuliwambia katiba mpya ni muhimu mkasapoti ujinga sasa yamewarudia
 
Afie mbali kule. Tunademka na mama yetu mpendwa. Ikiuma chomoa...
kwani wewe unaskia utamu!!!
yaani ukute wewe ni zee zima na kuna mbaba anakuita baba,halafu unaandika upuuzi hapa.
 
kwani wewe unaskia utamu!!!
yaani ukute wewe ni zee zima na kuna mbaba anakuita baba,halafu unaandika upuuzi hapa.
Usisahau na mama yako alikuwa girlfriend wangu, na alikuwa ananiita bebi.
 
Kwa hiyo kila kibaya kifanyikacho chini ya Samia ni hujuma dhidi yake?

Samia yeye ni mtimilifu asiye na kasoro wala uwezo wa kutenda makosa?

Absolute foolishness.
 
Katika huduma zote hizo ulizotaja ni huduma ipi huyo mwananchi wa kawaida anaikosa kwa sasa...acha majungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…