Mwendelezo wa hujuma dhidi ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

Unateseka ukiwa wapi?

Sukuma gang wamewafanya nini hadi hamueleweki?

Sasa mbona wasukuma wako kila nchi mwaka huu mtawahamisha nchi walahi.
Nyerere alikuwa na makabila asiyoyaamini kuyapa hata uwaziri mkuu
 
Binafsi siamini kama kuna watu wanamfanyia hujuma mama. Ila ninachokitathmini ni kwamba kuna watu walibanwa sana enzi za JPM na kifo chake ni afueni kwao kuanza kuitafuna nchi. Hao watafunaji ndio mnawaita Sukumagang?
Naungana na wewe! Hakuna Cha hujuma kutoka kwa sukuma gang wala nini.
Kinachofanyika ni watu kujilipa. Kipindi Cha Magu alibana taasis zote watu walikuwa wanaishi kwa mshahara tu. Hata kama walikuwa wanapiga ni kwa kiasi kidogo sana.

Isitoshe watumishi walikuwa waoga hatari. Nakumbuka niliwahi enda hospital moja ya Wilaya kuna mzee alifika akaa muda mrefu hapati huduma sasa pale hospital getini tu wameweka namba za simu kuanzia mganga mkuu,, mkuu wa Wilaya na za waziri wa afya. Anachukua na za waziri akatuma sms. Waziri akaisend ile sms vile vile kwa mganga mkuu acha bhana watu walivyoanza kukimbizana.

Kila rais anamzuri yake hatukatakai. Hata mama kuna mazuri atafanya lkn asipokuwa na maamuzi magumu. Watakuwa wanawalaumu sukumu gang wakati hata hao tu na wenyewe Cha moto walikuwa wanakiona japokuwa walipata vyeo lkn hawakubweteka.
 
Aliyemuondoa jiwe ni nani sasa? Au unamaanisha ni mimi ndo alimuondoa?
 
Na si watumishi kuwa waoga bali aliwafanya watumishi wajitambue wameajiliwa kwa ajili gani. Ulikuwa ukienda hospitali kupata huduma hadi uhangaike. Ukifika ukikaa wanakupita bila msaada wowote. Huduma ilikuwa inatolewa kwa kuangalia hadhi ya mtu.

Ukienda kwenye maofisi mengine kumuona tu boss ilikuwa ufanye kazi.
Ukifika masijala tu unapewa majibu hadi unashangaaa huyu hii ofisi ni ya kwake na familia au ni ya serikali.

Marais waliopita na wao walifanya mazuri hatukatai lakn waliwapa watumishi uhuru Fulani hivi wa kufanya kile wanachotaka. Rais magu yeye akageuza tu meza ule. uhuru akautoa kwa watumishi akaupeleka kwa wananchi.
 
Huelewi chochote kuhusu uongozi wa nchi wewe na hasa urais wa nchi na kama wewe ni mfuatiliji jiulize kwanini marais wote na wa mataifa mengi akisha ingia madarakan anaanza kusuka upya watu wake wa kufanya nao kazi na wale atakao waacha wa serikali ya nyuma yake ni wale tu ambao amejiridhisha nao.

Mama hawa kawaacha kwa sababu tu za kisiasa na mazingira ya tukio lenyewe na si kwa matakwa yake kiutendaji na ndio maana akaona awabadilishe badilishe ingawa haita msaidia pia.

Msimamo: hili kundi la jiwe mama awe nalo makini sana halita mletea matokeo anayo yatarajia na sababu zipo nyingi sana kuthibitisha hilo na yamesha anza kujitokeza.
 
Kudemka miaka 4...then mitano tena ..hamna namna
 

Pumbavu Elimu na Afya ilikuwa majanga.
 
Yaani ulikuwa unafurahia watu wafanyekazi kwa woga bila ujira halali wa Kazi zao? Kutoongeza mishahara watumishi kuliwavunja moyo watumishi.
 
Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Mkuu wingi sio hoja. Hata nyumbu ni wengi dhidi ya fisi au simba. Tafakari.
 
Hata hujui kitu chochote we we, Tanzania hakuna mtumishi wa umma anayelipwa mshahara kwa Kazi zao, wanalipwa posho tu isiyowawezesha kufika hata tarehe 10 ya mwezi uleule wa mshahara, hata Rais analifahamu hilo ila hata wao wanashangaa wafanyakazi wanafikaje kazini mwezi mzima. Wanafahamu wazi kuwa lazima kuna sehemu wafanyakazi wanachomoa beterii. Askari polisi huwezi kumtaka afanyekazi mwezi mzima kwa laki 4 take home, lazima atachomoa beteri ya MTU Fulani. Hata Jiwe angeshindwa tu, ndio maana alikuwa akitumbua kila siku lakini wanaotumbuliwa hawaishi.

Kaka huwezi kumlazimisha mtumishi a smile kwa mteja wakati hujui analala wapi, anakujaje kazini, anakula nini Kazini, anasomeshaje mtoto wake, anatunzaje wazee wake.
 
Now wana dominate mikoa yote ya kanda ya ziwa, magharibi, Kati, na hata huko Zanzibar wako kibao. Tuseme mikoa yote tu wasukuma wanadominate in numbers sasa endelea kuwachukia utajinyea kwa husuda. Kazi zao ni shughuli za uchumi tu na kuzaa over.
Ni kweli, lakini kwa wengi wao vibarua mashambani, wachungaji na kazi kama hizo
 
Reactions: mmh
Kuna jamaa aliwahi kuniambia kuwa Wasukuma ni watu Washamba zaidi Tanzania, nikawa nambishia
 
Hivi unajua mwaka 2012 wasukuma walikua milioni 17 Kati ya watanzania milioni 45 kwa mujibu wa sensa ya serikali? Projection mpaka sasa wasukuma wanaround 50% ya raia. Anayewapotosha anawaponza sana.
Wasukuma wako kila mahali nchi hii kuwakwepa si rahisi na hizo chuki zenu ni mzigo utakao watesa siku zote.hiyo sukuma gang mnaiunda wenyewe kuiendesha nyie wenyewe,ingawa haina madhara kwani ni porojo zenu tu,kisa hayati alitaifisha hizo mlizokuwa mziita hela zenu mmeficha kwenye madiaba,wahuni nyie aliwashika pabaya kafa mmeanza kuleta tena biashara zenu haramu za unga na mali feki
 
Mkuu hii mijadala haihitaji hasira. Elimisha kwa HOJA MADHUBUTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…