Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiv utakua wewe mfipa eeh
Mkalla kifipa ni mkaa/ mweusi
 
Acheni kushabikia upumbavu!! Zile za kuingia na mikokoteni ndiyo mnaona siasa?

Hivi nyie vichwa vyenu vina akili au vimejaza kamasi?
Ndio hizo hizo amsha amsha zilifanya sikukosa mkutano hata mmoja.bando zillisha
Sio siri wakat wa makonda ile ziara ya mikoa 26 sijui i was just having feelings za mzee magu kipind kile kila live notifications naingia youtube.wonder why they changed him
 
Makala yeye anategemea waganga tu ndo aonekane anafanya kazi, unadhani atafanya nini cha maana..?? Old school mkae mlee wajukuu, ushawishi hamna, mnaonekana washamba sana mbele ya kizazi cha wapiga kura wa sasa, watoto wa 2000. Kiufupi hamna ushawishi mbele ya kizazi cha sasa.
 
Nakumbuka Channel ten watu walianza kuifatilia kisa kuonyesha Live mikutano ya Makonda ila saivi Utadhani Chamna hakina mwenezi. Lile makala lishamba sana, halina ushawishi kabisa
 
Acheni kushabikia upumbavu!! Zile za kuingia na mikokoteni ndiyo mnaona siasa?

Hivi nyie vichwa vyenu vina akili au vimejaza kamasi?
Ndo hizo sasa zilizoleta ushawishi watu wengi sana waanze kufatilia CCM kwa uzuri ila saivi ni kama chama kinakufa, hakiskiki kabisa.
 
Tulisema sisi, Makala hana ushawishi kwa wapiga kura wa kizazi hiki, wakasema wanajua anachokifanya ila matokeo yake ndo haya sasa. Yule Makala kwa ushamba ule, atawaambia nini watoto wa 2000 ambao ndio wapiga kura wa sasa na wamskilize..?? Obviously nothing
 
Wewe utakuwa ni sukuma gang!

Mwenezi hapaswi kuwa mropokaji na mpotoshaji kama Makonda. Wenye akili wameona mbali wakamuondoa, mmebakia mbumbumbu mnalalama.
Chama kinakufa, Lissu anawatwanga kila kona na hamna mtu wa kujibu hoja zake. Kama nyie mnaona hizo akili basi mnaweza kuwa wajinga kuliko mnavyodhani.
 
Yaanj kuna muda itabidi mkubali kama Hata kama mtu kweli hamumpendi sababu ya historia zenu ila kuna muda inabidi uende nae hivyo hivyo ili kazi zifanyike na mambo yaende. Saivi kiukweli kabisa bila unafki wala nini, CCM imekwama, haina mvuto tena tangu Makonda atolewe kwenye uenezi. Hata Polepole was better kwenye uenezi kuliko huyo mshamba wa zamani Makalla.
 
😁😁 ona sasa unavyodhihirisha ujinga wako, Darasa la ngapi sasa ndio aandike humu?

Jinga sana wewe
Nenda kasome madarasa ya MEMKWA kwanza ujue namna ya kuandika sentensi na kuandika maneno kwa ufasaha. UNATUCHOSHA
 
Wewe utakuwa ni sukuma gang!

Mwenezi hapaswi kuwa mropokaji na mpotoshaji kama Makonda. Wenye akili wameona mbali wakamuondoa, mmebakia mbumbumbu mnalalama.
Hao waliowekwa wanafanya kazi gani? Mtu kama Makala, hata kupangilia points TU hajui... Hana ushawishi wowote kwa wapiga kura🤣🤣🤣
 
Kumbe wewe ni muumini wa marehemu?? Basi sikulaumu endelea kumtegemea aliyekufa na laana yake hutoikwepa
 
Ndo hizo sasa zilizoleta ushawishi watu wengi sana waanze kufatilia CCM kwa uzuri ila saivi ni kama chama kinakufa, hakiskiki kabisa.
Kwani wanaokwenda kuangalia mikokoteni ya Makonda walikuwa ndiyo wapiga kura? Mbona nyie watu bongo zenu zimezimika data? Yaani use usanii wa kuwapigia mawaziri simu mliona ndiyo utendaji? Hivi mlikwenda shule kweli?
 
Wewe akili huna na kila mtu analijua hilo humu JF. Uwe na siku njema, Mungu akusaidie
 
Wewe akili huna na kila mtu analijua hilo humu JF. Uwe na siku njema, Mungu akusaidie
Kila mtu na nanini? Wewe hesabu wajinga wenzio tu!! Mimi ni mkazi wa Bunju A. Alopokuja Desemba alimuahidi Mbunge Gwajima kumpa makatapila 20 kwa ajili ya kutengeneza barabara.

Mpaka anatolewa u-Katibu Mwenezi sikuona katapila popote kwenye Jimbo la Kawe.

Yaani huyu shoga mhalifu mnamuamini maneno yake sana?? Pumbafu
 
Chama kinakufa, Lissu anawatwanga kila kona na hamna mtu wa kujibu hoja zake. Kama nyie mnaona hizo akili basi mnaweza kuwa wajinga kuliko mnavyodhani.
Nimetoka kumskia anasema uchaguz wao unaingiliwa na abdul sijui.yan hakuna wa kumjibu?
 
sijui kwa nn mwenyekiti alimtoa Makonda hapo....maaana alifiti sana. na alikuwa amekiamsha chama.
 
Kila anayesifia uhudumu wa Makonda hakuna anayesema alifanya sehemu kadhaa kupata hiki au kile, akaongeza hapa na pale. Ni wanasifia amsha amsha ambazo ukiuliza ni kumpigia simu waziri kumuuliza hili au lile.

Wanaomkataa Makala hawasemi ameshindwa kufanya A, B na C. Wanasema hana amsha amsha yaani hatambi kwa headlines za kupigia simu waziri.

Tunazidiwa na mataifa mengine kwenye ishu kama hizi, kiongozi atapimwa kwa jinsi anavyoinfluence uchumi, maendeleo ya kijamii na nchi kwa ukubwa wake.

Watoto wetu ndiyo wana hali mbaya zaidi, baba zao tupo humu tunasifia uongozi wa mtu siyo kwa vile ana uwezo wa kudeliver ila ni kwakua anaweza kudhalilisha watu.
 
Kwani wanaokwenda kuangalia mikokoteni ya Makonda walikuwa ndiyo wapiga kura? Mbona nyie watu bongo zenu zimezimika data? Yaani use usanii wa kuwapigia mawaziri simu mliona ndiyo utendaji? Hivi mlikwenda shule kweli?
Bwashee ukubali ukweli ili uwe huru!! CCM imechemka sana!!! Uthibitisho ni hayo mabadiliko ya upepo wa ghafla!! Makonda alizitawala siasa za nchi na baada ya kutoka Lissu ndo anatawala siasa kwa sasa akifuatiwa na huyohuyo wa Arusha.

Jaribu kuwa na aibu kidogo bwashee hata kama wewe ni chawa!!
 
Niambie kitu cha maana ambacho huyo Zerobrain ame kisaidia chama kwa miezi 5 aliyokuwa Mwenezi!!

Unaongelea anayofanya Arusha. Yaani huo ujinga wa kuwaapisha "wadudu" akiki yako inaona ni kitu cha maana?

Kweli nchi yetu iko nyuma kwa sababu ya watu wenye akili ndogo kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…