julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
Hiv utakua wewe mfipa eehNimeamini Tanganyika uchawi upo,eti Makalla naye ni katibu mwenezi CCM 🥺😳😳
Niliamini uchawi Tanganyika hupo baada ya kuona Samia kamuacha Makonda na kumchua Makalla kuwa katibu mwenezi CCM, sijui Samia alitumia kigezo kipi ila aliyemshauli kama yupo alichemka sana, Makalla hata kupangilia hoja hajui,hata mvuto wa watu hana, Sasahivi hata ukiuliza mwananchi huku mtaani mwenezi wa CCM ni yupi,wanakwambi hatumjui mpaka wengine bado wanajua bado ni Makonda.Samia bora mala mia hiki cheo angelimpa All Happy,kwa Makalla CCM itageuka mkaa, Maana kwa kiruga chetu Makalla ni mkaa 😂🤣🤣.
Mkalla kifipa ni mkaa/ mweusi