900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
bashite ni mropokaji tu hana hoja na manguvu kibaoMakonda ana kitu!!
Sema mapito ya utotoni Hadi kujipata ndio vinamtesa jamaa!!
Hayo ndio madhara ya ku hustle sana,Dunia Haina huruma it's ku transform kuwa mwingine tofauti na uhalisia wako!!
Mungu amsaidie makonda kiroho na kinafsi!
Aliyemshauri Mama kumwondoa uenezi kijana alikosea saanaaaaaa!Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale π€£.
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Endelea kushupaza fuvu,Kila anayesifia uhudumu wa Makonda hakuna anayesema alifanya sehemu kadhaa kupata hiki au kile, akaongeza hapa na pale. Ni wanasifia amsha amsha ambazo ukiuliza ni kumpigia simu waziri kumuuliza hili au lile.
Wanaomkataa Makala hawasemi ameshindwa kufanya A, B na C. Wanasema hana amsha amsha yaani hatambi kwa headlines za kupigia simu waziri.
Tunazidiwa na mataifa mengine kwenye ishu kama hizi, kiongozi atapimwa kwa jinsi anavyoinfluence uchumi, maendeleo ya kijamii na nchi kwa ukubwa wake.
Watoto wetu ndiyo wana hali mbaya zaidi, baba zao tupo humu tunasifia uongozi wa mtu siyo kwa vile ana uwezo wa kudeliver ila ni kwakua anaweza kudhalilisha watu.
Alifit kwa washirikina wenzake.sijui kwa nn mwenyekiti alimtoa Makonda hapo....maaana alifiti sana. na alikuwa amekiamsha chama.
Kama waliweza msimamisha fisadi waliye muimba miaka yote hili hiliwezi shindikanaAcha kumuunga Lisu na vitu vya kijinga. Wakati Lisu anapigwa rasasi Bashite alikuwa Dodoma
Siasa sio uadui !Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi .
Lissu atoke CDM na Makonda atoke CCM .
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi , nawaza .
Muwe na weekend Njema
ππππAiseee hivi sidhani kama itatokea... Ni kama mawazo yangu ya kumuoa mtoto wa Bakhressa au hata mjukuu π€
Mmoja ajishushe tuHakuna hakika, changamoto ni Lisu ana hasira na CCM na Makonda ana tamaa ya madaraka nani atamfata mwenzie?
Hivi Mwamuona Mackonda ni Mwanasiasa ,achani utaniKama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Unajua majukumu ya mwenezi au ndo nyie lengo ni kuonekana mmechangia tu..?Kila anayesifia uhudumu wa Makonda hakuna anayesema alifanya sehemu kadhaa kupata hiki au kile, akaongeza hapa na pale. Ni wanasifia amsha amsha ambazo ukiuliza ni kumpigia simu waziri kumuuliza hili au lile.
Wanaomkataa Makala hawasemi ameshindwa kufanya A, B na C. Wanasema hana amsha amsha yaani hatambi kwa headlines za kupigia simu waziri.
Tunazidiwa na mataifa mengine kwenye ishu kama hizi, kiongozi atapimwa kwa jinsi anavyoinfluence uchumi, maendeleo ya kijamii na nchi kwa ukubwa wake.
Watoto wetu ndiyo wana hali mbaya zaidi, baba zao tupo humu tunasifia uongozi wa mtu siyo kwa vile ana uwezo wa kudeliver ila ni kwakua anaweza kudhalilisha watu.
Wewe unamuona kama nani ?Hivi Mwamuona Mackonda ni Mwanasiasa ,achani utani