Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Aliyemshauri Mama kumwondoa uenezi kijana alikosea saanaaaaaa!
Bora angeondoka huyo Machimbi abaki huyo kijana.
Lissu anajipigia tu kama vile CCM haipo! Inauma sana.
Mama ikikupendeza turudishie mwenezi wetu yule kijana ,kiboko ya wapinzani.
 
Kila anayesifia uhudumu wa Makonda hakuna anayesema alifanya sehemu kadhaa kupata hiki au kile, akaongeza hapa na pale. Ni wanasifia amsha amsha ambazo ukiuliza ni kumpigia simu waziri kumuuliza hili au lile.

Wanaomkataa Makala hawasemi ameshindwa kufanya A, B na C. Wanasema hana amsha amsha yaani hatambi kwa headlines za kupigia simu waziri.

Tunazidiwa na mataifa mengine kwenye ishu kama hizi, kiongozi atapimwa kwa jinsi anavyoinfluence uchumi, maendeleo ya kijamii na nchi kwa ukubwa wake.

Watoto wetu ndiyo wana hali mbaya zaidi, baba zao tupo humu tunasifia uongozi wa mtu siyo kwa vile ana uwezo wa kudeliver ila ni kwakua anaweza kudhalilisha watu.
Endelea kushupaza fuvu,
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi .

Lissu atoke CDM na Makonda atoke CCM .

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi , nawaza .

Muwe na weekend Njema​
Siasa sio uadui !
Hapo zamani ilikuwa haiwezekani kabisa kabisa mchezaji wa Yanga akahamia Simba au mchezaji wa Simba akahamia Yanga !
Lakini kwa sasa hiyo kitu ni ya kawaida sana !
Kama Kibu Denis kuhamia Yanga ! 😅🙏
 
Hakuna hakika, changamoto ni Lisu ana hasira na CCM na Makonda ana tamaa ya madaraka nani atamfata mwenzie?
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
Hivi Mwamuona Mackonda ni Mwanasiasa ,achani utani
 
Kila anayesifia uhudumu wa Makonda hakuna anayesema alifanya sehemu kadhaa kupata hiki au kile, akaongeza hapa na pale. Ni wanasifia amsha amsha ambazo ukiuliza ni kumpigia simu waziri kumuuliza hili au lile.

Wanaomkataa Makala hawasemi ameshindwa kufanya A, B na C. Wanasema hana amsha amsha yaani hatambi kwa headlines za kupigia simu waziri.

Tunazidiwa na mataifa mengine kwenye ishu kama hizi, kiongozi atapimwa kwa jinsi anavyoinfluence uchumi, maendeleo ya kijamii na nchi kwa ukubwa wake.

Watoto wetu ndiyo wana hali mbaya zaidi, baba zao tupo humu tunasifia uongozi wa mtu siyo kwa vile ana uwezo wa kudeliver ila ni kwakua anaweza kudhalilisha watu.
Unajua majukumu ya mwenezi au ndo nyie lengo ni kuonekana mmechangia tu..?
 
Back
Top Bottom