Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia aliwasikiliza Wahafidhina ndani ya chama hakamwaacha Makonda, Subiri mziki wake ngoja Lissu hakoleze moto kwanza, wakati wa zomeazomea CCM unakaribia, Maana Makalla na Mchimbi kipangua hoja za Lissu hawawezi hata robo, mpaka mwakani kuna Watu wataomba PO.
 
Makonda ni mwepesi sana upinzani ni kwa strong people tu
Makonda anahitaji mbeleko ili kuwa strong akawii kulialia imagine kwamba mamlaka zote ziwe ziko against na wewe
Ukiniwekea Makonda na Sabaya
Basi Sabaya ni mwamba anampiga gap kubwa sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Lissu mropokaji na Makonda mropokaji wote wanapenda visasi wote hawana hekima na busara, Lissu anaibomoa Chadema na Makonda anaibomoa CCM,wakiungana sawa tabia zao zinalingana
 

Labda wataingia ikulu ya wadudu
 
Ongezea hapo na Katibu Mkuu wa chama Luhaga Mpina na Mwenezi wake Polepole.
Jeshi la Polisi-CCM na TISS -CCM wakae pembeni.Nchi inachukuliwa asubuhi mapema sana!
 
Mimi nasoma koment za villaza tu, endeleeni haraka kwa chap
 
Acha kumuunga Lissu na vitu vya kijinga. Wakati Lissu anapigwa risasi Bashite alikuwa Dodoma
Ata Lowasa aliitwa fisadi na CHADEMA ila baadaye akawa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.Siasa haipo hivyo,nchi kwanza.Ukitaka utakatifu jiunge na TEC au BAKWATA!
 
Siasa sio uadui !
Hapo zamani ilikuwa haiwezekani kabisa kabisa mchezaji wa Yanga akahamia Simba au mchezaji wa Simba akahamia Yanga !
Lakini kwa sasa hiyo kitu ni ya kawaida sana !
Kama Kibu Denis kuhamia Yanga ! 😅🙏
Shida Watanzania tunapenda vyama kuliko nchi!
 
Lissu mropokaji na Makonda mropokaji wote wanapenda visasi wote hawana hekima na busara, Lissu anaibomoa Chadema na Makonda anaibomoa CCM,wakiungana sawa tabia zao zinalingana
🤣🤣🤣
 
Makonda hana ubavu wa kuongea na kuropoka nje ya mfumo wa CCM.

Binafsi nawapongeza sana wapinzani akiwemo Lissu maana wana ujasiri sana kupingana na kukosoa waziwazi madudu ya serikali maana hawana kinga yoyote dhidi ya baadhi ya watawala makatili.
 
Kama unaweza ukawa na akili za kumuona Makonda ni mtu wa maana kwako, basi kwa Tundu Lissu itakuwa umevutwa na upepo tu.
 
Ukiweza kuchanganya diesel na maji vikanyweka na hilo litawezekana
 
Wewe utakuwa ni sukuma gang!

Mwenezi hapaswi kuwa mropokaji na mpotoshaji kama Makonda. Wenye akili wameona mbali wakamuondoa, mmebakia mbumbumbu mnalalama.

Umefafanua vizuri.ila yule jamaa asee , ndug yangu anafanya kaz Lindi,walikuwa wanakesha kumaliza maliza mrad wao kummuliza akasema makonda anakuja isije kuwa balaa, luckily enough ndio msiba ukatokea wa lowasa na makonda msafara wake ukapata ajali ndio ikawa pona ya Lindi,
Frankly speaking kuna SR zanzibar sema na rais mwinyi, huku unapiga simu moja kwa moja unaongea na rais, anamaliza suala lako, i saw idea ya kila mwez ambayo makonda was planning was very strategic but sadly went down the drain.
 
Acheni kushabikia upumbavu!! Zile za kuingia na mikokoteni ndiyo mnaona siasa?

Hivi nyie vichwa vyenu vina akili au vimejaza kamasi?
Nani kakwambia siasa za tz na afrika zinataka u serious ewe kupe wa mama Abdul?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…