Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo hii unaweza kumwambia Makalla aitishe mkutano wa hadhara na Makonda aitishe na utashangaa watu wamejaa mkutano wa Makonda bila hata kuambatana na wasanii.

Ni rahisi raia wa kawaida kwenda kwenye mkutano wa Makonda na sio mkutano wa Makalla au kumsikiliza.

Sasa kwenye siasa mtaji ni watu ambao hupiga Kura pia, unaweza kusema hao wanaompenda ni wajinga ukawa sawa lakini ndio kundi kubwa la wananchi na kundi hilo ndio linalochagua viongozi ukiweza kuteka hisia zao kisiasa unakua umeshinda.

Siasa zinataka idadi ya watu sio kingine kama utapata idadi kubwa ya watu uwezekano wa kupigiwa kura ni mkubwa Sana.

Ukiniuliza Makalla na Nchimbi wanaushawishi kwa siasa za sasa zenye kundi kubwa la vijana waliozaliwa miaka ya 90 mpaka 2000 jibu ni hapana.

Lissu anaweza kuligusa kundi la vijana vizuri na Makonda anaweza ila Nchimbi na Makalla hapana.

Ukiuliza Makonda amefanya nini itabidi tuulize Makalla amefanya nini? Kazi ya kukieneza chama inataka mtu mwenye ushawishi Sana.

Kuna mkoa alipita Makonda kama mwenezi viongozi wa chama hawakupata tabu ya kukusanya watu ilikua rahisi ni kutangaza tu Makonda anakuja watu wanajaa uwanjani lakini walipopita Nchimbi na Makalla ilibidi mpaka wasanii pia wawepo lasivyo ingekua shughuli pevu kupata watu uwanjani.

Siasa ni namba ya watu(wapiga Kura) haijalishi uelewa wao ni wa miwango gani.

Wananchi wanapata hisia kwamba Makonda anaweza kutatua shida zao hata kama hawezi hata kama ni maigizo ila wanaimani Sana na Makonda. Nadhani pia kuna watu wanatokea kupendwa tu bila hata sababu.
Samia aliwasikiliza Wahafidhina ndani ya chama hakamwaacha Makonda, Subiri mziki wake ngoja Lissu hakoleze moto kwanza, wakati wa zomeazomea CCM unakaribia, Maana Makalla na Mchimbi kipangua hoja za Lissu hawawezi hata robo, mpaka mwakani kuna Watu wataomba PO.
 
Makonda ni mwepesi sana upinzani ni kwa strong people tu
Makonda anahitaji mbeleko ili kuwa strong akawii kulialia imagine kwamba mamlaka zote ziwe ziko against na wewe
Ukiniwekea Makonda na Sabaya
Basi Sabaya ni mwamba anampiga gap kubwa sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Lissu mropokaji na Makonda mropokaji wote wanapenda visasi wote hawana hekima na busara, Lissu anaibomoa Chadema na Makonda anaibomoa CCM,wakiungana sawa tabia zao zinalingana
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​

Labda wataingia ikulu ya wadudu
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
Ongezea hapo na Katibu Mkuu wa chama Luhaga Mpina na Mwenezi wake Polepole.
Jeshi la Polisi-CCM na TISS -CCM wakae pembeni.Nchi inachukuliwa asubuhi mapema sana!
 
Mimi nasoma koment za villaza tu, endeleeni haraka kwa chap
 
Acha kumuunga Lissu na vitu vya kijinga. Wakati Lissu anapigwa risasi Bashite alikuwa Dodoma
Ata Lowasa aliitwa fisadi na CHADEMA ila baadaye akawa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA.Siasa haipo hivyo,nchi kwanza.Ukitaka utakatifu jiunge na TEC au BAKWATA!
 
Siasa sio uadui !
Hapo zamani ilikuwa haiwezekani kabisa kabisa mchezaji wa Yanga akahamia Simba au mchezaji wa Simba akahamia Yanga !
Lakini kwa sasa hiyo kitu ni ya kawaida sana !
Kama Kibu Denis kuhamia Yanga ! 😅🙏
Shida Watanzania tunapenda vyama kuliko nchi!
 
Lissu mropokaji na Makonda mropokaji wote wanapenda visasi wote hawana hekima na busara, Lissu anaibomoa Chadema na Makonda anaibomoa CCM,wakiungana sawa tabia zao zinalingana
🤣🤣🤣
 
Makonda hana ubavu wa kuongea na kuropoka nje ya mfumo wa CCM.

Binafsi nawapongeza sana wapinzani akiwemo Lissu maana wana ujasiri sana kupingana na kukosoa waziwazi madudu ya serikali maana hawana kinga yoyote dhidi ya baadhi ya watawala makatili.
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
Kama unaweza ukawa na akili za kumuona Makonda ni mtu wa maana kwako, basi kwa Tundu Lissu itakuwa umevutwa na upepo tu.
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
Ukiweza kuchanganya diesel na maji vikanyweka na hilo litawezekana
 
Wewe utakuwa ni sukuma gang!

Mwenezi hapaswi kuwa mropokaji na mpotoshaji kama Makonda. Wenye akili wameona mbali wakamuondoa, mmebakia mbumbumbu mnalalama.

Leo hii unaweza kumwambia Makalla aitishe mkutano wa hadhara na Makonda aitishe na utashangaa watu wamejaa mkutano wa Makonda bila hata kuambatana na wasanii.

Ni rahisi raia wa kawaida kwenda kwenye mkutano wa Makonda na sio mkutano wa Makalla au kumsikiliza.

Sasa kwenye siasa mtaji ni watu ambao hupiga Kura pia, unaweza kusema hao wanaompenda ni wajinga ukawa sawa lakini ndio kundi kubwa la wananchi na kundi hilo ndio linalochagua viongozi ukiweza kuteka hisia zao kisiasa unakua umeshinda.

Siasa zinataka idadi ya watu sio kingine kama utapata idadi kubwa ya watu uwezekano wa kupigiwa kura ni mkubwa Sana.

Ukiniuliza Makalla na Nchimbi wanaushawishi kwa siasa za sasa zenye kundi kubwa la vijana waliozaliwa miaka ya 90 mpaka 2000 jibu ni hapana.

Lissu anaweza kuligusa kundi la vijana vizuri na Makonda anaweza ila Nchimbi na Makalla hapana.

Ukiuliza Makonda amefanya nini itabidi tuulize Makalla amefanya nini? Kazi ya kukieneza chama inataka mtu mwenye ushawishi Sana.

Kuna mkoa alipita Makonda kama mwenezi viongozi wa chama hawakupata tabu ya kukusanya watu ilikua rahisi ni kutangaza tu Makonda anakuja watu wanajaa uwanjani lakini walipopita Nchimbi na Makalla ilibidi mpaka wasanii pia wawepo lasivyo ingekua shughuli pevu kupata watu uwanjani.

Siasa ni namba ya watu(wapiga Kura) haijalishi uelewa wao ni wa miwango gani.

Wananchi wanapata hisia kwamba Makonda anaweza kutatua shida zao hata kama hawezi hata kama ni maigizo ila wanaimani Sana na Makonda. Nadhani pia kuna watu wanatokea kupendwa tu bila hata sababu.
Umefafanua vizuri.ila yule jamaa asee , ndug yangu anafanya kaz Lindi,walikuwa wanakesha kumaliza maliza mrad wao kummuliza akasema makonda anakuja isije kuwa balaa, luckily enough ndio msiba ukatokea wa lowasa na makonda msafara wake ukapata ajali ndio ikawa pona ya Lindi,
Frankly speaking kuna SR zanzibar sema na rais mwinyi, huku unapiga simu moja kwa moja unaongea na rais, anamaliza suala lako, i saw idea ya kila mwez ambayo makonda was planning was very strategic but sadly went down the drain.
 
Acheni kushabikia upumbavu!! Zile za kuingia na mikokoteni ndiyo mnaona siasa?

Hivi nyie vichwa vyenu vina akili au vimejaza kamasi?
Nani kakwambia siasa za tz na afrika zinataka u serious ewe kupe wa mama Abdul?
 
Back
Top Bottom