hakuna lisilowezekana hapa duniani mkuuUkiweza kuchanganya diesel na maji vikanyweka na hilo litawezekana
Msukule wa Magufuli kwenye ubora wako, unatetea SUKUMA GANG mwenzioNani kakwambia siasa za tz na afrika zinataka u serious ewe kupe wa mama Abdul?
Aache kumlinganisha Makonda na vitu vya kijinga.Acha kumuunga Lissu na vitu vya kijinga. Wakati Lissu anapigwa risasi Bashite alikuwa Dodoma
hakikaHakuna aliyeweza kuthibitisha Makonda amehusika na ugaidi aliofanyiwa Lissu.
Kama hujui kwamba Sekretariati yote ya CCM imepoteana kuliko wakati wowote basi katafute tu Ulojo ubwie.Niambie kitu cha maana ambacho huyo Zerobrain ame kisaidia chama kwa miezi 5 aliyokuwa Mwenezi!!
Unaongelea anayofanya Arusha. Yaani huo ujinga wa kuwaapisha "wadudu" akiki yako inaona ni kitu cha maana?
Kweli nchi yetu iko nyuma kwa sababu ya watu wenye akili ndogo kama wewe
Waliochukua nafasi ya Makonda wamechemkaUnaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale [emoji1787].
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Mjomba Lissu njoo utoe neno🤣Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Ndiyo akili yako ilikoishia? Bashite huyu huyu? Bila shaka we ni mwehuKama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.
Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.
-Wote ni wazalendo
- Wote wana misimamo na wanayo yaamini
Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.
Muwe na weekend Njema
Kumbe kuna jinga km Bashite? We kwl hamnazoUnaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Wasukuma mmeishiwa kiasi hicho mpk mumwone Bashite lulu?Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.
CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .
Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.
Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.
Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.
Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.
Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.
BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.
Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
We kaharishe huo uvundo wakoKama hujui kwamba Sekretariati yote ya CCM imepoteana kuliko wakati wowote basi katafute tu Ulojo ubwie.
Yaani kama mpaka leo hujui kama hata mama ameanza kuyakimbi majukwaa basi kajisaidie haraka kabla haja zote mbili hazijatoka kwa pamoja.
Tuweni wakweli ili tumsaidie mama, Uchawa wenu unamchanganya ndo maana kila siku Sekretariati inabadilishwa. Au hayo mabadiliko unadhani ni jambo la kawaida!?? CHAWA badilikeni muwe wakweli.
Na kwa taarifa yako, huku mtaani mijini na vijijini, wazee na vijana, wanawake na wanaume wamemchoka vibaya mama na hawamtaki. Mwambieni ukweli ikiwa muda bado upo
Mama hahitaji msaada wa nyie wajinga. Siasa ni akili wala siyo kuropoka. Kama huko mtaani kwenu wamemchoka, shauri yao na kura zao wapeleke wanakotaka. Ila Samia hadi 2030Kama hujui kwamba Sekretariati yote ya CCM imepoteana kuliko wakati wowote basi katafute tu Ulojo ubwie.