Pre GE2025 Mwenezi akiwa Makonda, Chadema na Lissu walipoteana, Masikio ya Watanzania yalielekezwa Kwa Makonda, kwasasa Lissu anajipigia tu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Msoga ndio wenye nchi ngoja wafanye wanavyojisikia.
 
Niambie kitu cha maana ambacho huyo Zerobrain ame kisaidia chama kwa miezi 5 aliyokuwa Mwenezi!!

Unaongelea anayofanya Arusha. Yaani huo ujinga wa kuwaapisha "wadudu" akiki yako inaona ni kitu cha maana?

Kweli nchi yetu iko nyuma kwa sababu ya watu wenye akili ndogo kama wewe
Kama hujui kwamba Sekretariati yote ya CCM imepoteana kuliko wakati wowote basi katafute tu Ulojo ubwie.

Yaani kama mpaka leo hujui kama hata mama ameanza kuyakimbi majukwaa basi kajisaidie haraka kabla haja zote mbili hazijatoka kwa pamoja.

Tuweni wakweli ili tumsaidie mama, Uchawa wenu unamchanganya ndo maana kila siku Sekretariati inabadilishwa. Au hayo mabadiliko unadhani ni jambo la kawaida!?? CHAWA badilikeni muwe wakweli.

Na kwa taarifa yako, huku mtaani mijini na vijijini, wazee na vijana, wanawake na wanaume wamemchoka vibaya mama na hawamtaki. Mwambieni ukweli ikiwa muda bado upo
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale [emoji1787].

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Waliochukua nafasi ya Makonda wamechemka
 
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
 
Mjomba Lissu njoo utoe neno🤣
Amemiss ving'ora uwenda akakubali, tukaiyona Tanzania tuitakayo..
 
Ndiyo
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi.

Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM.

-Wote ni wazalendo

- Wote wana misimamo na wanayo yaamini

Wote wanapendwa na wananchi, nawaza.

Muwe na weekend Njema​
Ndiyo akili yako ilikoishia? Bashite huyu huyu? Bila shaka we ni mwehu
 
Unaambiwa Kwa Sasa MTU Bora asile lakini aweke Bando afatilie Lissu kasema nini !!!.

CCM ya Makala na Nchimbi, Iko wapi?? Mbona imepoteana .

Kidogooooo Arusha ndio imekucha, Wana Arusha Kwa Sasa hawana habari za UPINZANI kwakuwa wako na MAKONDA, jembe, Jiji limetuliaa, ni shamrashamra tu, wale Watumishi wazembe wa Halmashauri Sasa wanakipata, Wananchi wamekua wafalme, wanasikilizwa, wanajaliwa, ndio kusema uhai wa CCM Tanzania Sasa unabebwa na Arusha .... Yaan mtanzania Yuko Radhi kuweka Bando afatilie RC wa Arusha kafanya nini !!.

Kumtoa Makonda kwenye Uenezi, kumetoa mwanya kwa UPINZANI kuingia na kuchukua nafasi hiyo, Sasa UPINZANI unajipigiaaa , CCM ya 4R imepagawa, inapigwa hukuhuku, Moja haikai, mbili haikai.

Sasa na Mabango ya 4R yanatakiwa kushushwa bila hivyo Kutumia picha ya Mtu ni makosa, yaleyale 🤣.

Walomshauri Mama, Sasa wamekaa tena kuwaza mbinu gani ya kumtuliza, hawana mbinu za kupambana na Lissu!! Keisha kabisaaa !!.

Pole sana Makala, Uongozi Bora ni wa kuzaliwa, mvuto wake na ushawishi wake Huwa ni WA kudumu, Kubali, Kubali, kubalini tu MAKONDA ANAPENDWA!!.

BWANA MAKALA NA NCHIMBI, MMEPWAYAAAAA!!.

Haya Lissu huyo hapo!!. Mwendo wa mateka !!.
Kumbe kuna jinga km Bashite? We kwl hamnazo
 
Wasukuma mmeishiwa kiasi hicho mpk mumwone Bashite lulu?
 
We
Kama hujui kwamba Sekretariati yote ya CCM imepoteana kuliko wakati wowote basi katafute tu Ulojo ubwie.

Yaani kama mpaka leo hujui kama hata mama ameanza kuyakimbi majukwaa basi kajisaidie haraka kabla haja zote mbili hazijatoka kwa pamoja.

Tuweni wakweli ili tumsaidie mama, Uchawa wenu unamchanganya ndo maana kila siku Sekretariati inabadilishwa. Au hayo mabadiliko unadhani ni jambo la kawaida!?? CHAWA badilikeni muwe wakweli.

Na kwa taarifa yako, huku mtaani mijini na vijijini, wazee na vijana, wanawake na wanaume wamemchoka vibaya mama na hawamtaki. Mwambieni ukweli ikiwa muda bado upo
We kaharishe huo uvundo wako
 
Mama hahitaji msaada wa nyie wajinga. Siasa ni akili wala siyo kuropoka. Kama huko mtaani kwenu wamemchoka, shauri yao na kura zao wapeleke wanakotaka. Ila Samia hadi 2030
 
Back
Top Bottom