Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Alikua anafanya kazi kwenye machinjio ya nguruwe pale Mwanjelwa kabla hajaiba ugali ndoo ndogo na vichwa vinne vya nguruwe na kutokomea Moshi ambapo akawa dalali wa mitumba kwenye soko la memorial.
Sawa hayo ya nyuma na je safari yake ya kumtafuta Mungu ilianzaje,,?? Fuata Uzi ulivyosema
 
Hapa unamtetea Mwamposa sio Mungu.
Unatetea matumizi ya maji na mafuta.
Hata hili hujui kutofautisha?
Inawezekana sijui Basi si una uwanja Mpana wa kumwagika ili tujue..tupe nondo sasa
 
Je wanaokwenda kushuhudia maajabu yanayotendeka kwa njia mbalimbali za WhatsApp, picha na live , je wanapangwa au ni matendo ya bwana Yesu dhidi ya shetani ambaye anafanya kazi usiku na mchana..???
 
Yaani kuanzia Leo sijibizani na wewe,kumbe mfuasi wa maajabu ya upako!!!
Inshu sio kujibizana..inshu ni hoja..huna hoja zaidi ya wivu wa kike kuona huduma ya mwamposa inakua kila siku na kuwafikia wengi na kuwafungua kutoka vifungo vya shetani.

Anayemchukia mwamposa na kile anachokifanya huyo ni mfuasi wa yule mwovu shetani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jomba nashukuru umekuja mulemule..nilikuwa nataka vitu kama hivi..ubarikiwe sana..nasisi wengine tunaelimika pia..ingawa kiswahili hujakinyoosha vizuri vile
 
Wewe ni mjinga sana!
 
From today salute kwako Mzee, Tukiacha mambo ya Siasa Uko njema Sana
 
Wewe ndio umeongea la maana!
 
kesho fuatilia vizuri ndio utaelewa mkuu, Yule ni Mtumishi wa Mungu Usicheke nae kabisa
 
Hata mimi nilimfahamu 2011 sinza Vatican, kusema ukweli tangu nimfahamu nina mashaka nae
 
Waelimishe hao wajinga!
 
We ni muongo balaa!
 
Mleta mada nimemwelewa vizuri hatimaye anachotaka kujua Ni Mwamposya katokea wapi kihuduma,baba yake wa kiroho nani aliyemkuza kufikia hapo na elimu yake ya theolojia alusoma wapi na aliwekwa wakfu na nani kuwa na huduma hiyo

Nijibu miswali hiyo ya kidini ya kifarisayo kama ifuatavyo .Mitume waliamini sana kuwa mtu kuwa mhudumu wa Yesu lazima apitie taratibu walipitia wao!!!

Luka 9:49-50​

Yohana akasema, “Bwana, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako, nasi tukamzuia, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”50Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa kuwa yeye ambaye si kinyume chenu yu upande wenu.

Hajapitia mivyuo yao ya theolojia wakamzuia yule hakuwemo kundi la mitume 12 walioa attend chuo cha Yesu darasani kwao hawajawahi muona au kwenye kidini chao

Yesu akasema ninyi hamumujui mimi.namjua

Ndio maana kazi ya kuweka nani awe kwenye huduma yeyote kati ya tano kazi hiyo hajakabidhi kwa kanisa hasa kabaki nayo mwenyewe mtu alyepewa na Mungu Mwenyewe rahisi kumjua kuliko aliyejipa au kupewa na dini yake kisa kasoma lichuo lao lan theolojia Kazi ya kuweka watumishi Mungu wa kweli Mungu kabaki nayo mwenyewe

Efeso 4:11-13​

Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo

Waliowekwa na Mungu mwenyewe utaona matokeo na kazi zao.Yesu Mwenyewe alitamka kama hamjuamini angalieni kazi nitendazo

Kanisa lolote kama linadhani laweza pora kazi ya Mungu ya kusimika wahudumu wa kanisa hakitaweza yeye ndie huweka

Kanisa likiweka wake mbeleni lazima wataonaekana kupwaya watashangaa akina Mwamposya ambao hawakusoma mivyuo yao ya theolojia na mitaratibu yao ya kidini yao wanawapiga bao!!

Tatizo la kanisa ineonekana ni kudhani lenyewe ndio lenye mamlaka ya kuweka wahudumu wa huduma tano.Wakati Biblia inaeleza wazi kuwa hiyo ni kazi ya Mungu

Hata mitume kabla kuweka mtu huduma walifunga waliomba na kuongea na Mungu kabla kumwekea mikono mtu kuwa mhudumu huduma yeyote kati ya tani sasa hivi sifa maliza tu chuo cha Biblia au thelojia na kutimiza Vigezo vya kidini wanakupa huduma iwe upadri au huduma tano yeyote!!
 
Acha ujinga wewe
 
Huyu Glenn Ni mijinga tu hajui kitu ndio maan yupo uku kila Uzi kuzurura zurua tu usibishane nae kuhusu swla la imani Ni kija mpumbavu mno hajui lolote kuhusu imani

Anajidai mno huyu kijan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…