Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mi nauliza...Jana ikitokea bahati tu nlikuta anamalizia hubiri Tv E, Sasa..nikashangaa anamalizia kama kuhubiri dakika moja magari yashaanza kuondoka Hadi nikauliza mbona sijaona anavoshuka au kuagana na watu just tu magari yashajipanga na kuondoka?
Ndo inakua hivo??
 
Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Wewe inaonekana una mihemko,. Na hujui maandiko....bwana Yesu wanasema alitumia hata tope kumuondolea mtu upofu..hata mafuta eti..sijui unaelewa
 
Mahubiri yake ni fake.
Anahubiri na kuaminisha vitu kuliko Mungu na Yesu..

Kila imani ina misingi yake.
Kuhubiei maji kuliko Mungu au Yesu ni imani batili
Hapana siokweli wajameni tuwe wakweli..nakumbuka anasemaga nani mtenda miujiza, wanajibu Yesu..na haachi kumtaja Yesu wakati wote....maji ni Alana ya kutengeza Imani tu na ndio maana wakati wa kuyaombea wanataja Yesu ayape maji nguvu kama ambavyo yeye alivyokuwa akitumia
 
Hadi tunakwenda mitamboni bado lengo la uzi halijatimia maana kinachotolewa ni kuhusu huduma yake na wengi wameonyesha anatumia nguvu za giza. Nilichojifunza wengi wanaamini kwenye nguvu za uganga kwenye kufanya miujiza kuliko nguvu za Mungu kwenye miujiza.
Ni kweli jomba utafiti wako uko sahihi..watu wengi wanaamini katika uganga kuliko uwepo wa Mungu..
 
Hapana siokweli wajameni tuwe wakweli..nakumbuka anasemaga nani mtenda miujiza, wanajibu Yesu..na haachi kumtaja Yesu wakati wote....maji ni Alana ya kutengeza Imani tu na ndio maana wakati wa kuyaombea wanataja Yesu ayape maji nguvu kama ambavyo yeye alivyokuwa akitumia

Mkuu kiongozi wa Mkristo ni biblia.
Hakuna mahali chumvi ilirudiwa kutumia mara kwa mara au mafuta.

Kila kitu huwa ni ufunuo na hutumika mara moja tu.

Unapotumia mara kwa mara au kusisitiza matumizi yake tayari hiyo ni imani potofu uliyoijengea imani.

Wakristo tuweni na akili na tuwe makini kujifunza neno kwani tunapoteza muda kwa vitu visivyo vya imani sahihi.

Haya maigizo ni upepo wa muda hautusaidii kitu.

Lengo kuu la Mungu ni mwanadamu kukombolewa dhambini na sio muujiza.

Muujiza ni msaada wa dharura lakini ukristo ni maisha ya mwamini kuuendea uzima wa milele.

Hadi lini tutakuwa watoto tukichukuliwa na kila upepo?

Maigizo haya yalianza kitambo enzi za biblia walikuwepo akina Simioni mchawi
 
Back
Top Bottom