Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Kwa hiyo unataka kusemaje?Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka kusemaje?Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Engosheraton ipi?Chalii wasalimie hapo engo Sheraton
Kama ni Mkristo na unasoma Biblia vipawa vipo na vimetajwa. Mimi kutokuwa navyo hakusababishi visiwepo. Au mimi kutoamini hakusababishi visiwepo. Biblia haijabadilika hata kidogo. Kosoa utendaji wake but si Vipawa. Kama kuna sehemu anakosea kibiblia ainisha hapa.
Hawa manabii wa aina hii na waganga wa kienyeji ni kundi moja linalotumia ujinga, umasikini wa mali na fikra wa jamii kujinufaisha.Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
We jamaa umenichekesha! unataka kusema??Hivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Kutumia mafuta mfululizo pia ni doctorine na msingi wa imani
Kasome
Yakobo 5:14
Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
Nami nasubiri kusikiaTuambie
Yesu alihubiri na kuponya pia..so mwamposa anahubiri na kuponya pia.
#MaendeleoHayanaChama
Nimekusaluti bro.Ndugu tofautisha doctrine imani na revelation mafunuo. Doctrine ya mkristo ni kuliamini jina la Yesu Kristo na kuliitia pale inapobidi kwa kukesha na kuomba.
Revelation ni mafunuo ya muda mfupi. Kwa mfano Yesu alipompaka matooe yule kipofu ilikuwa revelation ya muda mfupi sio imani au doctrine. Imani Ni muda wote wa ukristo ila mafunuo ni kwaajili ya muda huo pekee. Ndio maana humuoni Yesu akimpaka matope kipofu mwingine maana ilikuwa kwa wakati na kwa kusudi maalum.
Sasa manabii wa Leo wanatumia mafunuo na kuyanya imani. Yani watu waache kuliitia jina la Yesu Kristo na kuhangaika na mafuta na maji, ukiuliza wanakwambia mbona Yesu alifanya hivi. Njia moja ya kumjua Nabii wa uongo ni pale anapotumia mafunuo kama msingi wa imani.
Basi kwa hili hakuna imani salama..mana zote zimejengwa kwenye hiyo misingi.Hawa manabii wa aina hii na waganga wa kienyeji ni kundi moja linalotumia ujinga, umasikini wa mali na fikra wa jamii kujinufaisha.
Msingi wa umaarufu wao umejengeka kwenye ujinga wa wananchi.
Kwa mwamposya ulishafika ? Sehemu hata ya kupaki magari shida siku ya jumapili hakuna kanisa lina matajiri wenye magari mengi hadi Park shida kama kwa Mwamposya pamoja na kuweko kiwanja kikubwa sana cha kupakiHawa manabii wa aina hii na waganga wa kienyeji ni kundi moja linalotumia ujinga, umasikini wa mali na fikra wa jamii kujinufaisha.
Msingi wa umaarufu wao umejengeka kwenye ujinga wa wananchi.
Hujawahi msikiliza..huwezi jua.Anahubiri nini Mwamposa? Yesu anahubiri kuhusu ufalme wa Mungu na toba ya dhambi Mwamposa msingi wake wanahubiri ni Nini?. Mwamposa msingi wake ni kuponya Basi Hana injili ya kweli.
Yesu alifuatwa na wengi alikua nabii wa uongo??Sifa nyingine ya Nabii wa uongo, wengi humfuata.
Kila kitu kitapita..hilo lisikutishe sana.Nimekusaluti bro.
Umeongea kweli yote.
Ukristo ni kuwa na ufahamu sahihi wa neno/doctrine na kuyaishi.
Huu ndio msingi wa ukristo.
Hawa manabii wapige pesa za muda na anayeumia ni hawa washirika wao.
Tujifunze jinsi wanavyokuja na kupotea au kufifia;
Kakobe
Komanya alikuwa vyema mwishowe akaanza kupotoka.
GeorDavie alivuma sana sasa anafifia na ameanza kuwa na machawa lkn hawezi kurudia.
Venon wa ATN na kupuliza watu.
Hata Mwamposa ni suala la muda tu
Kuna watu watakuja kubisha..huyu ndugu ninamfahamu tangia akiwa kijana alipotoka tukuyu safari yake ya huduma kabla hajafahamika ilianzia tunduma akiwa na sambamba na mchungaji efraim mwaitebele wa kanisa la restoration bible church tunduma ,alikuwa mpenda maombi sana hasa ya kwenda milimani, alikuwa anafanyabiashara pale soko la black tunduma amewahi kuuza viatu pia, kwa sisi vijana wa kipindi kile maombi mengi tulikuwa tunafanyia milimani,mwamposa alikuwa kiongozi wa maombi nawakumbuka vijana kama pasta mwankenja ambae kwa sasa ni mchungaji kitunda tulikuwa nao pamoja .badae alipata wito akawa anaalikwa sehemu mbalimbali kanisa lake kubwa na mahali watu walianza kumjua ni moshi ,pale jamaa alipiga kazi sana na alikuwa na waumini wengi mno sikuwahi fikiria kama angehama moshi.inasemekana badae ilitokea migogoro flani ya kifamilia kati yake na mke wake,mwamposa aliamua kuondoka moshi kwa hasira na kuamua kwenda dar kuanza huduma upya.haikuwa kazi rahisi maana alikuwa hana hata mahali pakufanyia huduma,alianzia sebulen kwa mtu akiwa n
Wivu wa nini!!..mi si tabibu Wala si nabii feki nayesingizia nna upako kumbe tapeliWivu unakusumbua..wewe hata hao feki ulioponya na kusaidia wako wapi?
#MaendeleoHayanaChama