Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Wee mtu gani kila unaemuombea anapona hakuna mtu mwenye uwezo kama huo katika dunia tokea ilivyoumbwa mpaka leo juzi nilienda kwa mwamposa nikaenda kwa wale watumishi wanaomsaidia mwamposa nikawaambia kuwa nina ndugu yako alizaliwa kilema namtaka nimelete kwa nabii mwamposa ili apone apate kutembea wakasema sawa mlete acha na simu tutakupigia wee mavi ya pimbi kila nikiwatafuta kesho kesho mara sijui huku mara sijui vile mpaka leo kimya kiwapigia wananiznungusha nikaamini hapa kuna magumashi sana ni kiini macho tu
Ulitaka kuwajaribu..ndio mana umefeli.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna mafuta wananunua misri,na uchawi sehemu mbalimbali...tumewaona tangu 90' akina kakobe nk,wanakula,wanachuma Mali,muda ukifika wanakaa pembeni,wanakuja wengine
Wewe endelea na vilinge vya majini huko..huku sio levo yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwamposa ni wale Walokole waliokua wanahubiri Barabarani enzi hizo, tukiwaona tunawaona kama waliochanganyikiwa, hana shughuri yoyote ya kumwingizia kipato yeye akiamka ni kwenda kuhubiri mtaani!

Ikapelekea mpaka Mke wake akamwacha, baadaye akawa anaenda Morogoro huko Milimani akifunga na kuomba, kufunga na kuomba......!
 
Ndugu tofautisha doctrine imani na revelation mafunuo. Doctrine ya mkristo ni kuliamini jina la Yesu Kristo na kuliitia pale inapobidi kwa kukesha na kuomba.

Revelation ni mafunuo ya muda mfupi. Kwa mfano Yesu alipompaka matooe yule kipofu ilikuwa revelation ya muda mfupi sio imani au doctrine. Imani Ni muda wote wa ukristo ila mafunuo ni kwaajili ya muda huo pekee. Ndio maana humuoni Yesu akimpaka matope kipofu mwingine maana ilikuwa kwa wakati na kwa kusudi maalum.

Sasa manabii wa Leo wanatumia mafunuo na kuyanya imani. Yani watu waache kuliitia jina la Yesu Kristo na kuhangaika na mafuta na maji, ukiuliza wanakwambia mbona Yesu alifanya hivi. Njia moja ya kumjua Nabii wa uongo ni pale anapotumia mafunuo kama msingi wa imani.
Yesu alihubiri na kuponya pia..so mwamposa anahubiri na kuponya pia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Anawadangaje Brother... Kama Mtu kweli amekaa miaka kibao anabreed na breed inakataa uongo upo wapi? Kama mtu kweli alikuwa anahangaika kupata mto lakini kupitia kuongeza Imani yake na kweli amepata ujauzito uongo uko wapi?

Mkuu ukubali usikubali kazi ya Shetani ni kubwa mno.. Kuna Kipindi alifuatwa na Baadhi ya watu kuwa Mwamposa watu wanakusema vibaya unaonaje ukaacha aliwajibu kitu kimoja tu " Ndugu watu wanayeswa sana siwezi kuwaacha waendeleee kuteswa ilihali nimepewa kipawa Bure" Acha waendelee kunidhihaki ila Siwezi Acha.

Kipawa gani? Angekuwa na kipawa asingetumia keki, mafuta, maji au udongo.
 
Mimi nilikua simkumbali lkn baada ya kumfuatilia nilimuelewa. Mungu amjalie mtumishi wake maisha marefu. Watu wengi wanataabika na giza lakini kwa kipawa alichopewa.

Kama unasikia kwa watu na maneno maneno jaribu mfatilie utamuelewa kuliko kusema sema ndo wale.
Someni Biblia Kila kitu akifanyacho ni nguvu za Mungu.

Nguvu za Mungu?. Nguvu za Mungu hazihitaji msaada wa maji na mafuta. Zinajisimamia zenyewe.
 
Wee mtu gani kila unaemuombea anapona hakuna mtu mwenye uwezo kama huo katika dunia tokea ilivyoumbwa mpaka leo juzi nilienda kwa mwamposa nikaenda kwa wale watumishi wanaomsaidia mwamposa nikawaambia kuwa nina ndugu yako alizaliwa kilema namtaka nimelete kwa nabii mwamposa ili apone apate kutembea wakasema sawa mlete acha na simu tutakupigia wee mavi ya pimbi kila nikiwatafuta kesho kesho mara sijui huku mara sijui vile mpaka leo kimya kiwapigia wananiznungusha nikaamini hapa kuna magumashi sana ni kiini macho tu
Umeshindwaje kuwatokelezea na mgonjwa wako pasipo kuwataarifu?

Bila shaka shetwain kakufunga sheikh
 
Kama sisi waumini hatumuoni wewe ambaye siyo Muumini Umemuonea wapi Kakaka....hahahahahahah hata kakobe mlisemaga ana nyoka kubwa?

Hivi Kwa nini kila Mtu akiweza kuwa na jambo kubwa lazima awe implicated kwenye mambo ya hovyo ingekuwa hivyo basi kila mtu angekuwa Mtumishi.

Lakini niseme vyovyote iwavyo kama hiyo hirizi au huko kuwa uchi ndiko kunakoleta Neema na Uponyaji kwa wenye shida sugu na kweli kila mtu mwenye shida anaponywa Basi na Mungu aendelee kumuweka Hai kwa kuwa yatendwayo Usiku katika ulimwengu wa Hiza ni Makubwa Mno na watu wanateswa sana yaani Sana . Ushirikina Upo na Ulozi Upo na Unatesa watu wasiokuwa na hatia kama tumepata mtu wa kuwafunguwa watu na mwenye Kipawa hicho na Aendelee kuponya watu.

Mbona Kuna watumishi wakubwa tu na hawasemwi Kama ni wachawi?. Mbona yeye?.
 
Ila ingekuwa katoliki wangetangazwa kuwa watakatifu ili mradi wamefia kanisani. Hakuna kanisa lenye usanii Kama katoliki na mapadre wao walawiti

Usibadilishe mada. Ukatoliki umeingiaje hapa.
 
Hivi
Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.

#MaendeleoHayanaChama

Katafute sifa za nabii wa uongo. Biblia inasema injili itahubiriwa hata kwa hila. Ina maana Kuna watu wanahubiri injili ila kwa hila sio kwamba kuwapeleka watu mbinguni Bali mambo yao.
 
Mpaka hapa hitaji la mleta mada alijatimizwa hakuna aliyeleta Historia ya Mtume Mwamposa zaidi ya mapovu.Wabongo wajuaji Sana.Bongo bahati mbaya.Ukisoma comment utaona chuki na ujuaji uliojaa mihemko isiyo na maana.

Manabii wengi wa uongo historia zao zimejificha maana waliibuka ghafla.
 
Hivi

Katafute sifa za nabii wa uongo. Biblia inasema injili itahubiriwa hata kwa hila. Ina maana Kuna watu wanahubiri injili ila kwa hila sio kwamba kuwapeleka watu mbinguni Bali mambo yao.
Wacha injili ihubiriwe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom