zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT)Mkuu wangu huwa nakukubali mno kwenye mada fiķirishi,ila naomba nijue wewe ni muumini wa dini ipi? Na dhehebu lipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT)Mkuu wangu huwa nakukubali mno kwenye mada fiķirishi,ila naomba nijue wewe ni muumini wa dini ipi? Na dhehebu lipi?
Huku kwetu ndio hakuna hiyo sanaa. Kwa wenzetu bado ina mashabiki. Magicians kama Criss Angel, David Blaine na wengineo ni maarufu sana huko Ulaya na US.Technology imewaondoa ukifanya trick zako watu wanaingia YouTube wanaona Ile trick ilivyokuwa.
Ingia YouTube andika mask magician uone anavyo expose magician trick mbalimbali.
Kingine source za burudani zimekuwa nyingi alafu very cheap.
Attitude ya mtumishi wa Mungu inatakiwa iwe taa kwa wapagani. Sasa kweli unamwaga mafuta eti watu wakanyage ndio wapone huku akijua kabisa Kuna msongamano mwishowe watu wakafa. Then haonyeshi hata compassion Wala sympathy ndio kwanza akarudi Dar kuendeleza mafuta!!!Kumbe hilo tu ndio linakufanya useme sio nabii wa kweli..kumbuka sio kila swali lazima lijibiwe..na pia acheni wafu wazike wafu wao..kwamba angebaki huko moshi ndio walikoufa wangefufuka??
#MaendeleoHayanaChama
Ila ingekuwa katoliki wangetangazwa kuwa watakatifu ili mradi wamefia kanisani. Hakuna kanisa lenye usanii Kama katoliki na mapadre wao walawitiAttitude ya mtumishi wa Mungu inatakiwa iwe taa kwa wapagani. Sasa kweli unamwaga mafuta eti watu wakanyage ndio wapone huku akijua kabisa Kuna msongamano mwishowe watu wakafa. Then haonyeshi hata compassion Wala sympathy ndio kwanza akarudi Dar kuendeleza mafuta!!!
Hiyo sio attitude ya mtu aliyeokoka..... Kwanza Kuna uponyaji Gani wa kulishana cake sijui mafuta. Sijawahi ona akihubiri kuhusu watu kumtafuta Mungu waende mbinguni? Sijawahi sikia akiomba watu wajazwe Roho Mtakatifu.... Yeye ni mafanikio tu, pesa,.na mafuta!!
Yule ni mjasiriamali anayejificha kwenye kanisa ila uzuri with time mtakuja kuelewa hope it won't be too late.
Nilianza kumsikia akiwa Vatican sinza bar, hii ni maarufu kipindi
enzi zetu tunasoma,
Siku moja nimetoka arusha nikasema ngoja nikapate biere baridi moja nikashangaa hakuna bar kuna Injili inapigwa kuulizia somebody Mwamposa nikasema haleluya....Ila Aache mazingaombe kutapika nyembe na mende,kunya hirizi na shanga
Huyo laghai namba moja siku yake ya mwisho atahukumiwa na mungu kwenda motoni siku hiyohiyo. Hatasubiri eti kiama ifike.JF
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.. nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta Mungu kabla hawajafanikiwa
Hahaha..Acha kukariri..unaikumbuka story ya naamani yule jemedari?
Unaikumbuka habari ya nyoka wa shaba?
Unakumbuka yule kipofu aliyepakwa tope?
Unafahamu wafalme walikua wakipakwa mafuta kwaajili ya upako wa kuwa wafalme?
Kama unaamini hizo story kwanini usiamini la mafuta na maji ya upako?
Nilichogundua kinachokusumbua ni wivu..pia unasikiliza sana story za vijiweni..mimi pia nilikua na mentality kama yako..ila niliamua kufuatiria mahubiri yake..kiukweli jamaa anahubiri watu waache dhambi.Attitude ya mtumishi wa Mungu inatakiwa iwe taa kwa wapagani. Sasa kweli unamwaga mafuta eti watu wakanyage ndio wapone huku akijua kabisa Kuna msongamano mwishowe watu wakafa. Then haonyeshi hata compassion Wala sympathy ndio kwanza akarudi Dar kuendeleza mafuta!!!
Hiyo sio attitude ya mtu aliyeokoka..... Kwanza Kuna uponyaji Gani wa kulishana cake sijui mafuta. Sijawahi ona akihubiri kuhusu watu kumtafuta Mungu waende mbinguni? Sijawahi sikia akiomba watu wajazwe Roho Mtakatifu.... Yeye ni mafanikio tu, pesa,.na mafuta!!
Yule ni mjasiriamali anayejificha kwenye kanisa ila uzuri with time mtakuja kuelewa hope it won't be too late.
ni nabii wa uongoJF
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.. nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta Mungu kabla hawajafanikiwa
Uchawi ule,acha kuliwa hela kiboyaAcha wivu hicho ni kipawa Wewe padri
Mkuu huwa kila Mwaka ukianza naweka nadhiri ya Kusoma Biblia kuanzia Kitabu cha Mwanzo hadi Kitabu cha Mwisho cha Agano Jipya tena sisomi Hizi Biblia ambazo zimetoholewa ambapo vitabu kama Ezra, Esta,Yobu,Yoeli,Amosi, Obadia, Nahumu,Zephania,Haggai na Malachi havina....Hao Jamaa wako shallow sana, hawajui Manabii wa uwongo walitabiriwa na ndizo zama zao hizi?
Tena shetani alitabiriwa kuwatumia hata kushusha moto toka mbinguni ili kuaminisha Watu kuwa yeye ndiye Mungu kumbe ni ubatili mtupu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
nimesema kile ninachokijua lakini wapuuzi fulani wamekuja kudivert mada soma thread za mwanzo kabisaMpaka hapa hitaji la mleta mada alijatimizwa hakuna aliyeleta Historia ya Mtume Mwamposa zaidi ya mapovu.Wabongo wajuaji Sana.Bongo bahati mbaya.Ukisoma comment utaona chuki na ujuaji uliojaa mihemko isiyo na maana.
We mrembo upo? Kitambo sanaNitarudi pia
Yesu asilimia kubwa ya huduma yake aliponya na kufanya miujiza hakuhubiri tu neno na kuendesha tu Bible studies kama watumishi wengine wa leo kutwa kuhubiri neno tuuu.Watiu wamechoka ndio maana wanaamua kwenda kwa MwamposyaInaonyesha huwa unasoma biblia lakini huilewi kama yule Towashi aliyebatizwa na Filipo.
Ukristo una misingi yake ya uponyaji na sio huu uganga.
Uponyaji sio kigezo pekee kuwa wewe ni mtumishi wa Mungu.
Hata wapiga ramli huponya.
Dawa huponya.
Wanajimu huponya.
Lijue neno la Mungu kama ilivyoandikwa;
Mkiijua kweli hiyo kweli itawaweka huru.
Nimetafakari kwa kina juu ya jibu lako, ila ni kipimo hicho tu pekee ndiyo kumpima na kuja na hoja ya kuwa si mtumishi wa Mungu?Namaanisha huyo sio mtumishi wa Mungu maana Mungu hawezi ruhusu watu wauane kisa kupata "muujiza" wake..
Kabla hajafika sinza alikuwa anafanya ibada zake kwenye hema chafuchafu pale moshi, ndani ya soko la maimoria. Akawa anapaka watu mafuta, na kuwaombea kwa mafungu, mwenye milioni, mwenye laki 5 mwisho elfu 50 chini ya hapo hakuna maombi. Alipozichanga ndio akahamia huko sinza vatcan. Baadae akarudi kuchukua u phd kwa kukanyagisha watu mafuta ambapo kulipelekea watu 20 kuaga dunia.Nilianza kumsikia akiwa Vatican sinza bar, hii ni maarufu kipindi enzi zetu tunasoma,
Siku moja nimetoka arusha nikasema ngoja nikapate biere baridi moja nikashangaa hakuna bar kuna Injili inapigwa kuulizia somebody Mwamposa nikasema haleluya.
Ila Aache mazingaombe kutapika nyembe na mende,kunya hirizi na shanga
Uchawi kivipi ?Uchawi ule,acha kuliwa hela kiboya