Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Anawadangaje Brother... Kama Mtu kweli amekaa miaka kibao anabreed na breed inakataa uongo upo wapi? Kama mtu kweli alikuwa anahangaika kupata mto lakini kupitia kuongeza Imani yake na kweli amepata ujauzito uongo uko wapi?Anadanganya watanzani wenye kuamini katika miujiza SAD
Mkuu ukubali usikubali kazi ya Shetani ni kubwa mno.. Kuna Kipindi alifuatwa na Baadhi ya watu kuwa Mwamposa watu wanakusema vibaya unaonaje ukaacha aliwajibu kitu kimoja tu " Ndugu watu wanayeswa sana siwezi kuwaacha waendeleee kuteswa ilihali nimepewa kipawa Bure" Acha waendelee kunidhihaki ila Siwezi Acha.