Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

We sio mchaMungu
 
HV umeandika upuuzi gani kaija siyo kila kitu uchangie kijana
 
Ss tunataka history ya mwamposa siyo hisia zako

Taja history acha mbwembwe na ujuwaji
 
Uonaongeaa uzushi Sana

Kama mwamposa ni wa mungu na itajulikana tu
 
Kjna acha ujuwaji na hujui kitu yaani
 
Unesema Kweli mm hapo awali ilikuwa simuelewi kbsa ilaa baada ya kumfatiliaa nikamuelewaa mno
 
Unatukana watu , mlevi , then unajiita Mcha Mungu!!
Lengo lako kutoa watu nje ya hoja jikite kwenye hoja iliyoletwa

Mwamposya yupo ataendelea kuwepo na nyie kama Mungu hawakuwaita mtashuka chini mtaona Mwamposya akipaa juu sana Kuliko nyie na kujitumbukiza kanisani bila kuitwa na Mungu mwenyewe
 
Mkuu naona ulitaka history ya huyu mtume ila naona wajuwaji kina Glen wameharibu

Namm pia i was interested with the story
 
Jadili hoja iliyopo wewe

Usitoe watu nje ya reli
Utakufa endapo utakataa kubadilika.
Lengo lako kutoa watu nje ya hojs jikite kwenye hoja iliyoletwa

Mwamposya yupo ataendelea kuwepo na nyie kama Mungu hawakuwaita mtashuka chini mtaona Mwamposya akipaa juu sana Kuliko nyie na kujitumbukiza kanisani bila kuitwa na Mungu mwenyewe
Mtu Kama wewe , unatukana watu hauna Maadili ya kumjua Mungu.
 
Utakufa endapo utakataa kubadilika.

Mtu Kama wewe , unatukana watu hauna Maadili ya kumjua Mungu.
Sijatukana popote

Kifupi nikwambie kama wewe.ni mmojawapo wa waponda Mwamposya kama kweli wewe unajiita mtumishi wa Mungu kama alivyomwambia Eliya alipojitia kabaki peke yake anza kuandaa Elisha wa kushika huduma yako sababu wewe umefikia ukingoni kama Eliya.Usije acha huduma haina Elisha

Anza maandalizi haraka ya nani wa kushika hiyo kazi yako ukiondoka.Take this issue seriously
 
Wewe utashangaa unamletea Mungu kiburi kwa kujibanza kwa huyo mzee wa kutoa Mafuta ya Kupaka?
Narudia anza kuandaa Elisha wa kushika huduma yako

Usije ondoka huduma ukaiacha hewani
 
regardless mkuu as long as watu wanafungulia maswahibu yao na wanatoa ushuhuda baada ya kujibiwa shida zao sioni shida kabisa... hata huko katholic kuna maji ya baraka nayo yapo tu brother so i believe that Man ever
Wewe umeshafunguliwa? au naww unasikia kwenye Radio tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…