Ila kudai mafungu ya kumi hapo mnaona agano la kale halijafungwaAgano la kale limefungwa kwenye damu za mafahali nikimaanisha wanyama, na vitu vingine kama mafuta ya upako, chumvi na maji ya upako, huku agano jipya limefungwa kwenye damu ya YESU ambao kwa jina lingine ni damu ya mwanakondoo
Bìnafsi sijawahi kumuona akiwa anashuka kwenye gari, watu wa media wanaonyesha msafara tu akiwa anashuka wanachepusha kamera.Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
100 100 zilikuwa chache sana. Sa hiv wanaingiza mamilionHivi wale Wana mazingaubwe wameendaga wapi siku hizi mana siwaskii mitaan Wala mashuleni!
Jamaa hapandi gari?Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja.
Je, wajua kwamba jina Yesu linatumikq hata ktk nguvu za giza? Kwahiyo kutajwa kwa jina la Yesu kisikuzubaishe.
Mwamposa mhuni Kama wahuni wengine. Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
Anaitwa kate milaya, malaya mstaafu wa china, thailand...hio mimba aliambiwa atoe akagoma.Yes mke hana,ila kuna mdada kazaa nae kamjengea kighorofa huku Goba Kulangwa,alafu ni wale wadada wa mjini kishenzi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hio sio point yangu, point yangu ni kwamba sio kila watu wanaemsema ni muongo ni muongo kweli.Please usimlinganishe Yesu na Mwamposa. Tatizo mnadhani kwa sababu Yesu Kristo alifanya hivi na mimi nifanye hivyo. Yesu alifunga siku 40 bila kula Wala kunywa. Kuna binadamu anaweza hilo?. Msitumie Yesu Kristo kuhalalisha unabii wa uongo.
Tofauti ya agano jipya na la kale ni kwenye matumizi ya Damu, la kale ilifanye upatanisho na ulimwengu wa Roho lazima utumie Damu ya mafahali lakin agano jipya upatanasho na ulimwengu wa Roho unatumia Damu ya YESU ambayo ni Damu ya Mungu hio ndo tofauti ya agano jipya na la kale na sio sadaka kama unavyodai sadaka ziko pale paleIla kudai mafungu ya kumi hapo mnaona agano la kale halijafungwa
Kitabu cha Agano la kale cha Malaki kiko hai ikifika kudai mafungu ya kumi kwa waumini kusema wezi wanamwibia Mungu!!!
Hapo agano la kale linakuwa hai.Fungu ls kumi lazima litolewe
may be you are true,but how can you prove it?Hawata kuelewa.
Wote wanaojiita mitume na manabii most of them ni fake
Wako kinyume na neno la Mungu (biblia) hakuna sehemu yeyote Ile kwenye biblia mafuta ya upako, maji ya upako n.k yalikua hudumamay be you are true,but how can you prove it?
Lini amefanya hayo mkuu? Unaweza weka hata clip akibatiza au akiombea watu wajazwe Roho Mtakatifu? Au alifundisha watu waache dhambi sababu Kuna hukumu siku ya mwisho?Jomba mi nadhani yote anafanya.. anabatiza, anaungamisha, anawafundisha maneno ya kwenda Mbinguni...lakini nimesema soma maneno kutoka Luka 9:49-50
Yuda alikuwa anatunza pesa za Yesu?Acha roho mbaya yani kwa maisha haya ya usasa afanyie bure..unadhani hiyo ministry ingesimama..mngemlipa hela ya kukodi hapo tanganyika pekaz...ungemlipia bili za umeme..unhemlipia vyombo vya miziki..usafi..usafirishaji..na mahubiri kwa njia za redio na tv.??
Ebu tumia akili kidogo..Yesu mwenyewe alihitaji fedha hadi akawepo mtunza fedha mzee yuda.
#MaendeleoHayanaChama
Umewahi ona mtu anamkosoa Mwakasege, Kimaro, au Kulola kwa level za huyo Mwamposa?Hio sio point yangu, point yangu ni kwamba sio kila watu wanaemsema ni muongo ni muongo kweli.
Kama Yesu aliitwa muuongo na watu wa dini vp huyu mfuasi wa Yesu.
Shida ya wabongo sio kuwa Kuna Manabii wa uongo shida n wabongo na waafrika wengi hatuna imani kwa Mungu.
Ndio maana mtu alifanikiwa, waafrika huwa tunascribe responsibility kwa shetan kupitia either uganga au illuminati.
Akili za waafrika ziko hiv
""Mungu yupo ila hafanyi, anebariki na kuponya n Shetani""". Hatukiri haya directly ila mitazamo yetu inakiri hiv.
Kwa waafrika Mungu n kama pambo tu, ila mtenda miujiza n shetani
Ndo maana ukiwa n shida akili zako zinakutuma kwenda kwa waganga, na yeyote akifanikiwa jambo la kwanza kumdhania n either n mshirikina au freemason, sababu hii ndio akili ya waafrika.
Injili yoyote isiyohubiri Toba na Msamaha ni Injili nyingine. Sio injili ya Kutoka kwa Yesu.Kipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!
Kwa muda mfupi niliomfatuilia huyu Mwamba yeye Miujiza yake huhusisha Mijusi, nyoka, vyura, hirizi, paka, Mbwa, mende, jongoo.Umewahi ona mtu anamkosoa Mwakasege, Kimaro, au Kulola kwa level za huyo Mwamposa?
Ukiona tofauti ya mafundisho Yao ndio utaelewa shida inaanzia wapi
Umemaliza Kila kitu mkuu, wasipoelewa Hili basi shetani amewapofusha kabisa.Mkuu, maandiko hayajawahi kupinga miujiza mikubwa mikubwa kutokea kwa watu, bali imeonya kuwa hata wasio wa Mungu wanatenda hayo. Maandiko yametuonya tuyapime yote na kama yametokana na Mungu. Ni kosa kubwa sana kujenga msingi wa imani yako kupitia miujiza, ziko sababu nzito tu za kimaandiko.
1. Miujiza ni lazima imbadili mtu imani yake. Hili ni kubwa zaidi, tunaona kwa hiki kizazi cha manabii Waislamu na wapagani wengine wakipokea miujiza na kurejea kwenye imani zao. Wengine wengi wamejenga imani zao kwa mwamposa na maji na mafuta anayotoa. Hii ni hila ya shetani kabisa.
2. Miujiza ya mbinguni imelenga kumpa Mungu utukufu kwa sababu Mungu wa mbinguni hashiriki utukufu wake na kiumbe. Licha ya kauli ya kisanii "nani mtenda miujiza? ", lakini ni ukweli usio shaka wafuasi wa Mwamposa humpa utukufu yeye.
3. Msikilize vema Mwamposa, ni mhubiri mzuri sana wa miujiza na mafanikio. HAHUBIRI INJILI YA UFALME WA MBINGUNI. Wafuasi wake WOTE ni genge la wasaka mafanikio na afya pekee, kwani huhubiri habari za uzima ujao na maisha baada ya kifo. Huyu ni mtu hatari mno kwa ufalme wa mbinguni kwani anawafungia watu mlango wa mbinguni kwakuwaahidi raha ya hapa duniani.
4. Baada ya kushuhudia miujiza wafuasi wake hutoka bila uwezo wala upeo wa kumhubiri Kristo badala yake wana nguvu na mamlaka ya kuhubiri uweza wa Mwamposa kuponya. Hii inasababishwa na kutofundishwa neno la uzima bali majigambo na majivuno ya mhubiri kuponya. Wafuasi wake bila kujua hujifanya mabalozi wakubwa wa Mwamposa kwa watu wengi huku wakimnadi ni jinsi gani anaweza kuponya na kukupatia mali nk. Hii ni hila ya shetani.
Yako mengi ambayo ningeweza kuyaandika hapa lakini naishia hapo nisikie unajibu vipi hoja hizi za kimaandiko.
Kulola Marehemu huwezi ongelea marehemuUmewahi ona mtu anamkosoa Mwakasege, Kimaro, au Kulola kwa level za huyo Mwamposa?
Ukiona tofauti ya mafundisho Yao ndio utaelewa shida inaanzia wapi
Kwa hiyo bwana Yesu hawezi kutenda miujiza kama hiyo au..??Shuhuda nyingine za Mwamposa kweli zinatatiza. Nyingi ni physical na si spiritual.
Utasikia mtu katapika/kanya kufuli lililofungwa kumaanisha kuwa alifungwa na wachawi sasa kafunguliwa, mara katapika wembe, uzi, sindano.... Yaani kama mazingaombwe tu.
Kwa hiyo mafundisho ya injili hayahusu maisha yetu tunayoishi hapa duniani kabisaa....daaaa...injili inazungumzia safari tu ya kwenda Mbinguni..Ni kweli ..???? Jitafakari na mafunzo uliyonayoSio kufafanua anatafuta justification kupitia mistari ya biblia najua atakimbilia ule mstari unaosema waweke mafuta juu ya wagonjwa n.k
Lakini issue ni kwamba injili ya kweli ni Ile inyaoongelea mtu kwenda mbinguni. Haiwezekani mtu anaita mpagani anampa mafuta tu anamuacha aende bila kumfanyia Sala ya Toba, bila kumbatiza, Sasa kama sio faida yake kiuchumi unadhani ufalme wa Mungu una gain Nini kupitia huduma yake? Anaweza kweli kusema anasaidia Roho zifike mbinguni au anaacha watu waendelee kupotea gizani yeye anawapa mafuta tu imetosha.
Ukaeje kimya jomba...unampa shetani nafasi ya kukuingia...hatari sana..usipotoshe..sema endelea kuomba binafsi always ukimwomba Mungu neema na rehema akujalie kutambua yote yatendekayoKwa wakristo dhambi isiyosameheka ni kumkufuru roho mtakatifu..na manabii (manabii wa kweli)wanaongozwa na roho mtakatifu..hivo kamA huna macho ya kiroho ya kuona kama ni fake au real..ni heri ukae kimya usijekuingia dhambi isiyosameheka kizembe.......