Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Una avatar mbaya ila mawazo chanya
 
Sasa ataokokaje km haja amini, akifanikiwa ndipo atamkiri kristo
 
Doctrine na revellation.

Mkuu hivi revellation haiweze kutumika kwa muda mrefu ? Mimi Nilidhani kunawakati unaweza vitumia vyote kwa wakati mmoja Inategemea umelenga kwenye Nini zaidi, au hitaji Ni lipi zaidi, maana shetani anambinu nyingi na anagome pia. Hachagui atumie mbinu gani Bali akuteke tu.

Sasa mkristu ukilemaa kidogo anakuingiza kwenye himaya yake. Ndio maana hata rc hutumia maji, hakuna limit yakutumia maji.

Tunauhakika gani Kama Yesu alipofanya tope kwa mate ilikuwa Ni kwa njia ya mafunuo?

Je yanapotumika maji au mafuta kwa kuunganisha na maombi kwa njia ya imani kwa Mungu kupitia Kristo Yesu Ni kosa?





Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Doctrine na revellation.

Mkuu hivi revellation haiweze kutumika kwa muda mrefu ? Mimi Nilidhani kunawakati unaweza vitumia vyote kwa wakati mmoja Inategemea umelenga kwenye Nini zaidi, au hitaji Ni lipi zaidi, maana shetani anambinu nyingi na anangome pia. Hachagui atumie mbinu gani Bali akuteke tu.

Sasa mkristu ukilemaa kidogo anakuingiza kwenye himaya yake. Ndio maana hata rc hutumia maji, hakuna limit yakutumia maji.

Tunauhakika gani Kama Yesu alipofanya tope kwa mate ilikuwa Ni kwa njia ya mafunuo?

Je yanapotumika maji au mafuta kwa kuunganisha na maombi kwa njia ya imani kwa Mungu kupitia Kristo Yesu Ni kosa?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Na kwenye madhabahu yake akuna ubaguzi wa dini wala dhehebu yeye anahubiri neno la Mungu na ndio maana unaona wamejaa watu wa dini zote

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sasa mkuu ulishawahi kuona duniani kuna biashara ambayo inabagua Imani za wateja? Tofauti na mahubiri yake Mwamposa ameamua kufanya biashara ndani ya mahubiri yake au ndani ya kanisa lake

Kwa Mwamposa wanaenda watu wote wenye imani tofauti tofauti Kwa sababu zinawapeleka shida zao na sio mahitaji ya kiroho

Mwingine anataka kazi,anataka kuzaa, anataka kuona watoa ushuuda,anataka mafuta,anataka maji na mahitaji mengine mengine kutegemea na shida ya mtu husika

Kwa asilimia kubwa pale watu hawaendi kuokoka na wala hawaendi kumjua yesu Kristo kwahiyo na wala hawaendi kupata mahubiri ndomana sio issue kuona wenye Imani tofauti wanaenda pia

Kwahiyo sio Kwa ubaya ila sababu ya kuwapeleka wasio wakristo kwake inajulikana na wala haina uhusiano na ubora wa huduma au ubovu wa huduma, ata Mie waga naenda kununua maji katoni moja na kuwaagizia watu mkoani wenye uhitaji
 
Mm ni kkkt ila moja kati ya watu namuamini na kumuelewa ni huyu mwamposa nimekuwa mwanzo nikimpinga sana ila baadae nilikuja kuona kuwa niko wrongo

Imagine watu elf 20 kwa ibada moja humiminika kwake kwa jpili moja tu
Tu je hao watu hawana akili wanao mfata mwamposa .???
 
Hakuna ibada inayojaza watu wengi kama ibada za Mwamposa,ndio maana anapigwa mawe
Nitajie makanisa yote uyajuayo ya maombezi yenye watu wengi kama la kawe
 
Leo Mwamposa yupo Lupaso muone bila shaka kauli zenu zitabadilika
 
Mliopo uko mtupe updates Jaman tukavuke na vyetu
 
Umeshindwaje kuwatokelezea na mgonjwa wako pasipo kuwataarifu?

Bila shaka shetwain kakufunga sheikh
wanazuga watu wanawaibia wasiokuwa na elimu ila watu wenye elimu kubwa kama sisi huwezi kutudanganya mimi nilijua hawana uwezo wowote wa kumfanya kilema atembee huyo yesu mwenyewe aliwaokoa wengine wakati yeye alishindwa kujiokoa na akafa kifo cha laana ya taurati
 
Wacha kumsingizia BWANA YESU mambo ya kijinga. YESU hakukusanya sadaka wala hakutembeza kapu la sadaka katika mikutano yake ya Injili. Kilichofanyika ni baadhi ya matajiri wachache walikuwa wanatoa pesa zao kwa hiari yao wenyewe.

Wanachokifanya sasa hivi hao wahuni akina Mwamposa na wengine kama yeye ni kuuza huduma ya Injili kwa kivuli cha "sadaka". Mbaya zaidi Injili yenyewe wanayoihubiri ni "injili ya uongo".

Wanachofanya ni kuchanganya mazingaombwe na mistari ya kwenye Biblia na kujifanya wao ni manabii wa MUNGU kumbe ni mawakala wa shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…