Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu sasa ni uongo mkubwa sana..hapa umepitilizaTangu amehamia hapa kawe na mimi nikiwa jirani kabisa na ilipo huduma yake,sijawahi sikia akiongoza watu sara ya toba.sijawahi sikia
Huu Unabii wa Watu kunya, kukojoa, kujifungua, kutapika Kobe, Hirizi, Mjusi, Mende, panya, tandu, wadudu, Nyoka, paka kufa nje ya Nyumba ni Unabii na Utume toka Kwa Nani? Anayemtukuza Mbona hakuwahi kuwafanyia Wafuasi wake hivyo? Anyway Kizazi Cha Kulogwa, kuchawiwa, kutaka Mafanikio ya Kimwili kimepata Nabii.JF,
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.
Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta.
Mungu kabla hawajafanikiwa
Si kweliHao mitume hawakuibukia tu kama uyoga.
Yesu aliwachagua mwenyewe. (Vetting).
Akaaa nao kipindi chote kabla ya kupaa. ( walipitia training).
Hivyo ni muhimu sana kupata mafunzo na kukidhi vigezo vya kazi husika kabla ya kuifanya.
Ni kwamba hawa jamaa wanahubiri jinsi ya kuitawala dunia(urafiki na dunia) wala hawafundishi kuhusu ufalme wa Mungu. Sasa sote twamjua mtawala wa dunia hii, ndicho kizazi cha manabii wake.Huu Unabii wa Watu kunya, kukojoa, kujifungua, kutapika Kobe, Hirizi, Mjusi, Mende, panya, tandu, wadudu, Nyoka, paka kufa nje ya Nyumba ni Unabii na Utume toka Kwa Nani? Anayemtukuza Mbona hakuwahi kuwafanyia Wafuasi wake hivyo? Anyway Kizazi Cha Kulogwa, kuchawiwa, kutaka Mafanikio ya Kimwili kimepata Nabii.
Anaishije bila mke?!Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake..
I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
Alianza uinjilist wa kukaa na kuhubiri barabarani Mke wake akawa anaona aibu akasema tutafute kazi akasema hayupo tayari Mke wake akamtosa naye akajiwekea nadhiri kuwa hatuaacha kumtumikia Mungu hadi Ajue Mungu huyu ni nani ndiyo akampa hicho kipawa Chake..
I do not know lakini I think hadi leo hana Mke tena hata yule alipotaka kumrudi alikataaa.. A little I know though sina uhakika ready to be corrected
But even devil can do miracles, unakumbuka issue ya Musa na Farao? [emoji137][emoji137][emoji3601]naomba unithibitishie ni mganga yupi wa Kienyeji ambaye amemponya mtu akajitokeza hadharani na kusema ameponywa na mganga Fulani? au unaongelea hawa wanasiasa wanaotoa kafara ya ufumbaji wa macho wapiga kura? au?
Kwa kifupi hakuna Mganga wa Kienyeji yeyote ambaye anaweza kuponya Ugonjwa .. Yeye atatibu ila hawezi kumponya.. Mwenye uwezo wa Uponyaji ni Mmoja tu naye niyule aliyempa uhai huyo mganga na huyo Mgonjwa tu ambaye Ni Mungu.
Tujuze sasa mbona Kama umepanic? Lete hoja yako tuone how valid it is!Unafahamu kuwa hata shetani anaponya? Kwahiyo kufunguliwa kwa watu siyo hoja.
Je, wajua kwamba jina Yesu linatumikq hata ktk nguvu za giza? Kwahiyo kutajwa kwa jina la Yesu kisikuzubaishe.
Mwamposa mhuni Kama wahuni wengine. Umewahi kumshuhudia akishuka ama kupata gari lake? Kama bado tuulize sisi tuliyowahi kuwa waambata wake tukujuze. Unaibiwa wewe.
Umeonaje au kuyajua haya Kama wewe siyo mchawi?!Basi yule jamaa ni mshirikina kwa taarifa yako. Anapopanda gari baada ya ibada huwa anavua nguo zote na kubaki na boksa tu huku wapambe na walinzi wake wakiwa wamemzunguka.
Ndiyo maana ninyi waumini wake hamjawahi kumuona akipanda gari lake baada ya ibada. Uliza kila mmoja atakuambia hajawahi kumuona
Na wakati wa kushuka anapoingia ibadani huwa mikonoo yakoe inakuwa mfukoni alikoweka hirizi.
Kinaweza tumika kwa namna mbalimbali. Yesu alitemea mate udongo akampaka mtu akaona. Eliya/Elisha alimwambia mtu akaoge mto yordan mara 7. Na mafuta yamezungumziwa mara nyingi ktk biblia kuwapaka wagonjwa, wafalme n.k na hata sisi Waroman huwa tunapakwa mafuta wakati flani mapadre.
Sio mafunzo pekee ndio mwamuzi
Yuda Iskariote akiposalisiti Yesu replacement yake kanisa lilifunga na kuomba Mungu nani ashike nafasi yake
Mungu akawaambia akawaonyesha kuwa mpeni Matiya
Sasa hivi mivyuo ya theolojia mtu akidoma mivyuo ya dini yao wanamuweka kazini bila hata kuomba Mungu kuwa huyo mtu kweli Mungu kamuita ili Mungu aseme mwenyewe sababu kazi ya kuweka wahudumu hudums tano yoyote ni yake
God factor imeachwa ndio masna makanisa ulaya na marekani waliingiza hadi mishoga kanisani kuwa mapadri au wachungaji matokeo ikapigania ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji ikiwa na mivyeti yoye ya digrii za vyuo vya theolojia vya dini zao
Sio mafunzo pekee ndio mwamuzi
Yuda Iskariote akiposalisiti Yesu replacement yake kanisa lilifunga na kuomba Mungu nani ashike nafasi yake
Mungu akawaambia akawaonyesha kuwa mpeni Matiya
Sasa hivi mivyuo ya theolojia mtu akidoma mivyuo ya dini yao wanamuweka kazini bila hata kuomba Mungu kuwa huyo mtu kweli Mungu kamuita ili Mungu aseme mwenyewe sababu kazi ya kuweka wahudumu hudums tano yoyote ni yake
God factor imeachwa ndio masna makanisa ulaya na marekani waliingiza hadi mishoga kanisani kuwa mapadri au wachungaji matokeo ikapigania ndoa za jinsia moja na ushoga na usagaji ikiwa na mivyeti yoye ya digrii za vyuo vya theolojia vya dini zao
Lakin anatumia mafuta na maji kwa jina la nani jomba
Kuna namna mbili ya kuwapima watu ea Mungu
1. Mtazamo wa kibinadamu , ambapo kwa mtazamo huu hakuna mbinguni, dunia wala kuzimu aliekamilika mbele za watu wote.
2. Mtazamo wa Mungu: hapa unaweza pata watu waliokamilika, Mungu mwenyewe malaika na wanadam wenye kumpendeza.
Anachokifanya mwamposa sio kigeni
hata Yesu mwenyewe alikua akiongelewa hivi.
Yohana 7:45-52
[45]Basi wale watumishi wakawaendea wakuu wa makuhani na Mafarisayo. Nao wakawaambia, Mbona hamkumleta?
[46]Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu ye yote kama huyu anavyonena.
[47] Basi Mafarisayo wakawajibu, Je! NYINYI NANYI MMEDANGANYIKA?
[48]Ni NANI KATIKA WAKUU AMWAMINIYE, AU KATIKA MAFARISAYO?
[49] LAKINI MAKUTANO HAWA WASIOIFAHAMU TORATI WAMELAANIWA.
[50]Akawaambia Nikodemo, (naye ni yule aliyemwendea zamani, maana ni mmoja wao),
[52]Wakajibu, wakamwambia, Je! Wewe nawe umetoka Galilaya! Tafuta, ukaone ya kuwa kutoka Galilaya hakutokea nabii.
Paulo Mwenyewe alitumia leso na nguo kutoa pepo hakukeme tu kasome hapoKwanini atumie maji na mafuta?. Kwanini asikemee pepo kwa jina la Yesu Kristo. Paulo akasema alitokea mtu anahubiri injili tofauti na hii msimsikilize.
Mleta mada nimemwelewa vizuri hatimaye anachotaka kujua Ni Mwamposya katokea wapi kihuduma,baba yake wa kiroho nani aliyemkuza kufikia hapo na elimu yake ya theolojia alusoma wapi na aliwekwa wakfu na nani kuwa na huduma hiyo
Nijibu miswali hiyo ya kidini ya kifarisayo kama ifuatavyo .Mitume waliamini sana kuwa mtu kuwa mhudumu wa Yesu lazima apitie taratibu walipitia wao!!!
Luka 9:49-50
Yohana akasema, “Bwana, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako, nasi tukamzuia, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”50Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa kuwa yeye ambaye si kinyume chenu yu upande wenu.
Hajapitia mivyuo yao ya theolojia wakamzuia yule hakuwemo kundi la mitume 12 walioa attend chuo cha Yesu darasani kwao hawajawahi muona au kwenye kidini chao
Yesu akasema ninyi hamumujui mimi.namjua
Ndio maana kazi ya kuweka nani awe kwenye huduma yeyote kati ya tano kazi hiyo hajakabidhi kwa kanisa hasa kabaki nayo mwenyewe mtu alyepewa na Mungu Mwenyewe rahisi kumjua kuliko aliyejipa au kupewa na dini yake kisa kasoma lichuo lao lan theolojia Kazi ya kuweka watumishi Mungu wa kweli Mungu kabaki nayo mwenyewe
Efeso 4:11-13
Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo
Waliowekwa na Mungu mwenyewe utaona matokeo na kazi zao.Yesu Mwenyewe alitamka kama hamjuamini angalieni kazi nitendazo
Kanisa lolote kama linadhani laweza pora kazi ya Mungu ya kusimika wahudumu wa kanisa hakitaweza yeye ndie huweka
Kanisa likiweka wake mbeleni lazima wataonaekana kupwaya watashangaa akina Mwamposya ambao hawakusoma mivyuo yao ya theolojia na mitaratibu yao ya kidini yao wanawapiga bao!!
Tatizo la kanisa ineonekana ni kudhani lenyewe ndio lenye mamlaka ya kuweka wahudumu wa huduma tano.Wakati Biblia inaeleza wazi kuwa hiyo ni kazi ya Mungu
Hata mitume kabla kuweka mtu huduma walifunga waliomba na kuongea na Mungu kabla kumwekea mikono mtu kuwa mhudumu huduma yeyote kati ya tani sasa hivi sifa maliza tu chuo cha Biblia au thelojia na kutimiza Vigezo vya kidini wanakupa huduma iwe upadri au huduma tano yeyote!!
Lakini akiwa Mwanza alifafanua vyote hivyo kwa mistari ya bibliaKipawa? Ule ni uganga tu kama uganga mwingine. Kwa wakristo Kipawa kipo ndani ya mtu sio mafuta/keki Wala kutoa fedha Ili uombewe/appointment na Mtume!!