Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Mwenye historia ya Nabii Mwamposa kabla ya kuanza huduma yake

Paulo Mwenyewe alitumia leso na nguo kutoa pepo hakukeme tu kasome hapo

Matendo 19:11​

Mungu akafanya kwa mikono ya Paulo miujiza ya kupita kawaida; hata wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizotoka mwilini mwake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.

Soma vizuri Biblia, inasema Mungu akafanya kupitia mikono ya Paulo Miujiza kupita kawaida. So wameanza kwa kukupa introduction kwamba aliyekuwa anafanya miujiza sio Paulo ni Mungu. Sasa Kuna alama pale ya ;. Hiyo alama ; ni muhimu kuifahamu hiyo alama. Kwenye tafsiri ya Biblia alama ; inamaaniasha kwamba inatenganisha mstari mmoja na kuleta maana nyingine tofauti.

So walipoweka alama; kwenye mstari wa 11 Sura ya 19 wakamanisha kwamba Ina maana mahali ambapo Paulo hakuwepo basi w walichukua Lesso na Nguo za hao wagonjwa wakampelekea Paulo akaziombea ndipo wakaleta kwa hawa wagonjwa wakawekewa na kupona. Au Paulo mwenyewe aligawa lesso alizoziombea na kuwapa wakawaponyeshe wagonjwa. Kumbuka kipindi hicho watumishi walikuwa wachache ila wenye shida walikuwa wengi. Sasa Leo unakuta nabii anauzia watu Lesso yupo nao hapo kanisani kila siku.

Hivyo huo Mstari wa Matendo 19:11, haumaanishi kwamba Paulo alikuwa anaombea watu kwa kutumia lesso na nguo zake no, bali lesso zilitumika pale ambapo wagonjwa walikuwa mbali na uwepo wa Paulo. Kama Mgonjwa alikuwa karibu basi kulikuwa hakuna haja ya kutumia Lesso.
 
Kwanini atumie maji na mafuta?. Kwanini asikemee pepo kwa jina la Yesu Kristo. Paulo akasema alitokea mtu anahubiri injili tofauti na hii msimsikilize.
Sasa hivi kuna wapiga mayowe wengi wasemai kwa jina la yesu pepo toka na mapepo hayatoki huko makanisani kanisa limescale voongoxi wana wa Skewa wanatumia jina la Yesu na mapepo hayatoki hayawatambui ho o viongozi wana wa Skewa!! Ndio maana waumini wanatimkia kwa Mwamposya

Tukubali tukatae kanisa kwa sasa limejaa watumishi wana wa Skewa ambao mapepo hayataki kutii amri zao wakisema kwa jina la Yesu pepo toka.Mapepo hayatoki na Habari ya wana wa Skewa hiyo hapo

Matendo Ya Mitume 19:13-20​

Wana Wa Skeva Wajaribu Kutoa Pepo​

13 Baadhi ya Wayahudi waliokuwa wakienda huku na huko wakiwatoa watu pepo wachafu wali jaribu nao kutumia jina la Yesu kutoa pepo, wakisema, “Nakuamuru kwa jina la Yesu, anayehubiriwa na Paulo.” 14 Palikuwa na wana saba wa kuhani mkuu aliyeitwa Skeva ambao walikuwa wakifanya hivi. 15 Lakini pepo mchafu akawajibu, “Yesu namfahamu na Paulo pia namfahamu; lakini ninyi ni nani?” 16 Yule mtu aliyekuwa na pepo mchafu akawarukia akawashambulia vikali, wakatoka ndani ya ile nyumba mbio wakiwa uchi na wenye majeraha.
 
Wabishi wengi ni wale wanaosikia sikia tu stori za Mwamposa na kuweka hisia zao, kama ilivyo kawaida ya binadamu.
Lakini ukifuatilia na kuhudhuria ibada au mikutano unaweza kusema tofauti. Sina hakika na waponywaji wote,ila kuna baadhi nawafahamu wamesaidiwa kweli
 
Kuna shuhuda nyingi ukifatilia vizuri niza uongo tena uongo mkubwa. Na wanao zitoa wako trained kabisa kwa ajili ya hiyo kazi.

Ukiwa na akili kama za bata huwezi elewa ila ukifatilia vizuri mtiririko wa shuhuda na matukio yaliyomo utaelewa.

Kweli kabisa, mtu anadai baada ya kukanyaga mafuta amejenga nyumba ya vyumba kumi na mbili na kulipa deni la million thelethini. What is the relationship between kukanyaga mafuta na kujenga nyumba au kupata pesa. Kama sio uganga ni uongo. Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, it means mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi na Mungu atabariki kazi za mikono yako.
 
Hao watu husema wamejenga bila kufanya kazi? Au ni Mungu amebariki kupitia kazi ya mikono yao na wamefanikiwa?
 
Kweli kabisa, mtu anadai baada ya kukanyaga mafuta amejenga nyumba ya vyumba kumi na mbili na kulipa deni la million thelethini. What is the relationship between kukanyaga mafuta na kujenga nyumba au kupata pesa. Kama sio uganga ni uongo. Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, it means mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi na Mungu atabariki kazi za mikono yako.
Yesu alitufundisha kwenye sala ya Baba yetu uliye Mbinguni kuwa tuombe atupe riziki zetu kwa nini alituambia tuombe.badala ya tu kutuambia nendeni tu mkafanye kazi kutafuta achaneni na maombi

Je kazi ya sala au maombi kwenye maisha ya mtu nini? Hasa kama hayo ya kuomba Mungu akupe riziki au mkate wa kila siku

Je kuna uhusiano gani kati ya kuomba na kupata mkate wa kila siku? Kwa nini Yesu alituambia tuombe kwake kupata riziki na mkate?
 
Sasa hivi kuna wapiga msyowe wengi wasemai kwa jina la yesu pepo toka na mapepo hayatoki huko makanisani kanisa limescale voongoxi wana wa Skewa wanatumia jina la Yesu na mapepo hayatoki hayawatambui ho o viongozi wana wa Skewa!! Ndio maana waumini wanatimkia kwa Mwamposya

Tukubali tukatae kanisa kwa sasa limejaa watumishi wana wa Skewa ambao mapepo hayataki kutii amri zao wakisema kwa jina la Yesu pepo toka.Mapepo hayatoki na Habari ya wana wa Skewa hiyo hapo

Matendo Ya Mitume 19:13-20​

Wana Wa Skeva Wajaribu Kutoa Pepo​

13 Baadhi ya Wayahudi waliokuwa wakienda huku na huko wakiwatoa watu pepo wachafu wali jaribu nao kutumia jina la Yesu kutoa pepo, wakisema, “Nakuamuru kwa jina la Yesu, anayehubiriwa na Paulo.” 14 Palikuwa na wana saba wa kuhani mkuu aliyeitwa Skeva ambao walikuwa wakifanya hivi. 15 Lakini pepo mchafu akawajibu, “Yesu namfahamu na Paulo pia namfahamu; lakini ninyi ni nani?” 16 Yule mtu aliyekuwa na pepo mchafu akawarukia akawashambulia vikali, wakatoka ndani ya ile nyumba mbio wakiwa uchi na wenye majeraha.

Nakubaliana na wewe mtumishi kwa Hilo. Kanisa limekosa watu wenye nguvu ya kutoa pepo. Nadhani hili tatizo linatokana na malezi ya kiroho au Nani aliwapa msingi wa kiroho walipookoka. Wengi hawajajua principles za Mungu za kupata nguvu ya kutoa pepo wachafu.

Ukisoma Marko 9:19 Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kutoa pepo Yesu akawafokea. Na kuwaambia mambo mengine hayawezekani Bali kwa kufunga na kuomba. Hii inamaanisha kwamba nguvu za Mungu aliye hai zinapatikana kwa kufunga na kuomba ambacho watumishi wengi hawawezi.

Pia, ili kutoa pepo inategemea nguvu ulizonazo na nguvu za pepo. Kama pepo lina nguvu kukuzidi basi huwezi kulitoa. Wengi tunakemea pepo wakati nguvu zetu kwenye ulimwenguni wa roho ni kidogo Sana. Yesu alikuwa na nguvu nyingi ndio maana Pepo walikuwa wanatii na kukimbia au mengine kuomba sehemu ya kukimbilia, maana alifunga siku 40 hivyo alipata nguvu kubwa Sana kuliko yeyote yule.
 
Umeonaje au kuyajua haya Kama wewe siyo mchawi?!
Naona umejipanga kubisha. Itakuwa huyu Mwamposa kakuingia Sana, kiasi kwamba unamnasibisha na umungu. Hutaki kuruhusu akili yako kufanya kazi. Shituka wewe unaibiwa.
 
Kwanini atumie maji na mafuta?. Kwanini asikemee pepo kwa jina la Yesu Kristo. Paulo akasema alitokea mtu anahubiri injili tofauti na hii msimsikilize.
Umehudhiria ibada zake lakini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Ilikufa kifo cha mende. Na ndiyo maana Mwamposa hutokaa ukamsikia akihubiri Mambo ya ndoa. Piga ua hagusii huko, maana yeye mwenyewe yalimshinda.
Basi ndoa ni ngumu[emoji23][emoji23]
 
Wabishi wengi ni wale wanaosikia sikia tu stori za Mwamposa na kuweka hisia zao, kama ilivyo kawaida ya binadamu.
Lakini ukifuatilia na kuhudhuria ibada au mikutano unaweza kusema tofauti. Sina hakika na waponywaji wote,ila kuna baadhi nawafahamu wamesaidiwa kweli
Huu ndio ukweli wengi humu ni wazeee wa hearsays tu..hawajawahi hudhulia wa kusikiliza ibada zake.

#MaendeleoHayanaChama
 
JF,

Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia.

Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili kuweka mazingira halisi ya mahusiano yao na Mungu wetu kabla ya kufikia hatua hiyo...wengine utakuta waliishi maporini na milimali wakimtafuta.

Mungu kabla hawajafanikiwa
Mbona inaonekana unahusuda kwa Mwamposa... kwann usitafute historia ya mchungaji wako? Unang'ang'ana na mtu ambaye hata husali kwake!

Ungekuwa unasali kwake usingetaka historia... "Wana wa ulimwengu sio kuwapa historia, mana hata ukiwapa watakwambia unapepo"... kizazi kiovu chataka historia!....Mwana wa Adam alipokuja, pamoja na kuijua historia yake bado walisema anatoa pepo kwa nguvu za Belzebuli yaan mkuu wa pepo!

Nakushauri kama unataka kwenda kuabudu nauende kwa Imani na sio kutaka mahistory... nenda kasikilize neno na lipime na maandiko yaan biblia!

INJILI NI UPENDO... yaan (IMANI, UPENDO & MIUJIZA)
 
Kweli kabisa, mtu anadai baada ya kukanyaga mafuta amejenga nyumba ya vyumba kumi na mbili na kulipa deni la million thelethini. What is the relationship between kukanyaga mafuta na kujenga nyumba au kupata pesa. Kama sio uganga ni uongo. Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, it means mafanikio yanapatikana kwa kufanya kazi na Mungu atabariki kazi za mikono yako.
Mafuta au maji ni kwaajili ya kufukuzia mbali mabaya yote na vikwazo..suala la kujenga nyumba na kununua magari ni juhudi binafsi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani waganga/wachawi hawaponyi watu? The thing is siyo mtumishi wa Mungu maana main main objective ya utumishi ni watu kuokoka umewahi ona anahubiri watu waokoke au wabatizwe?? Yeye anataka tu hata Mpagani aje apewe mafuta aendelee na Upagani wake wala Hana shida na wokovu wake!!

So nsingependa kuona anaitwa mtumishi wa Mungu.
Kila ibaada lazima aungamanishe watu, haombei watu bila ya kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao.
 
Back
Top Bottom