Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

Hakuna kitu kinaondoa hamu ya kufanya ngono kama majukumu na stress...yawe majukumu ya kazi, kifamilia ama stress za madeni.

Ukiwa na hayo unaweza kupitisha miezi 3 hutatamani kushirikia ngono

Kwahiyo ukiwa kula Kulala unaweza kuwa na hamu ya kuloweka hata Wanawake 10 Kwa Siku.

We angalia Jogoo bandani, ukishawapa chakula ni mwendo wa kuwapanda temba wote mbele yake🙌
 
usijali hali hiyo huisha na kutokomea kabisa, subiri utakapo fika miaka 35 nadhani vichocheo vya mwili na hata hamu ya mbususu itakoma kabisa na huenda hata kusumamisha ikawa ndio basi....

tumia nguvu zako za uzazi vuzuri kwa kiasi tena polepole, weka akiba fainali uzeeni vichocheo ni zero wakati huo....
 
Ukiwa na malengo ya kukua kimaisha hiyo hali itaondoka yenyewe , hiyo ni dalili umekubali kuwa masikini
 
Ni hali ya kawaida kama huna kazi. Huna akili. So unawaza ngono tu. Si jambo la kustaajabisha. Ukikua na kutoka hapo alipoolewa dada yako utaona hali inavyokuwa kama utaweza jitegemea na kufanya kazi halali. Pengine ulidhani hii inawdza kuku boost kutafuta mademu. Hapana watakudharau kuwa dogo huna la maana unalowaza zaidi ya ngono.
 
Mbona mnanichangaya sasa! si mnasemaga huo ndio uhai wa mwanaume kamili sasa which is which!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…