Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

Upuuzi huu! Una majini kaombewe
 
Inaonekana hauko busy... Ukiwa busy unarudi umechoka mbona hamu inaisha.
 
Dawa zipo ka kope benki, ka kope kwenye vikundi 6 hiyo hela kula bata ikiisha anza kutafua marejesho kila wiki
 
Kuna mwaka niliishi Mbinga. Mpangaji mwenzangu ilikuwa anakula mara 6 kwa siku. Hadi mkewe akawa ananiuliza kama yeye hayupo. Usiku hakosi 3 hadi 4, saa anakuja kwenye chai anapiga pia, mahanadi lunch anqpiga tena, saa 10 anajifanya kuja kuoga, anapiga tena. Nikaombwa nimshauri. Alielewa kwa tabu sana. Binti alitoroka. Hadi Bahamas pale mademu 3 walimkimbia. Alikuwa muuza mitumba.
 
Ukikua utaacha.πŸ˜†
 
Wewe mdogo so nilazima uwe unahamu hiyo yakufanya mara xote. Kitu ambacho kitakufanya uache ni mazoezi ya kila siku unayopata hiyo hamu
 
Kijana achana na hizo mambo, tafuta mambo ya kukufanya busy, wewe sio sex machine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…