econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Hawa na akina ponda, Katimba huwa hawana kipya zaidi ya kuangalia platform yoyote wanayoipata kuiingiza nchi kuwa Islamic state either kujipenyeza kwenye legal process kama kwenye vyama vya siasa kujifanya na wao ni miongoni kumbe wanatafuta viongozi dhaifu na waroho wa Madaraka kuwarubuni kwa kuwadanganya wakikubali mashart Yao watapata support ya waamini wao. Hawa ni watu ambao hawaamini kuwa Kuna mfumo mwingine wa kuendesha na kusimama nchi zaidi ya mfumo na taratibu zilizoainishwa kwenye kitabu Chao. Ni watu ambao hawatambui mfumo wa ki secular wa kueshimu Kila mtu na tofauti zao wa kiimani, wao huamini dini Yao tuu na hufanya Jitihada zozote kuwa eti Ipo siku watafanikiwa kufuta Imani nyingine. Hivyo ijapokuwa sijaona mchango wake ila naambini contextual itakuwa imejaa mambo ya kuitetea dini yake iingizwe kwenye mifumo ya kiserikali
Acha upotoshaji.