Pre GE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa.

Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze popote na wala haijulikani sababu ya jambo hilo kudhibitiwa kiasi hicho.

Natoa wito kwa wadau wa JF kuutafuta mchango huo wa Shehe Kundecha na kuuanika hadharani ili tuone yaliyomo, JF Haijawahi kushindwa jambo.

Naomba kuwasilisha.

===

Nondo kuntu
 
Kundecha huyu aliyofuta matokeo ya uchaguzi na kumnyima urais maalim seif au mwingine?
 
Hawa na akina ponda, Katimba huwa hawana kipya zaidi ya kuangalia platform yoyote wanayoipata kuiingiza nchi kuwa Islamic state either kujipenyeza kwenye legal process kama kwenye vyama vya siasa kujifanya na wao ni miongoni kumbe wanatafuta viongozi dhaifu na waroho wa Madaraka kuwarubuni kwa kuwadanganya wakikubali mashart Yao watapata support ya waamini wao. Hawa ni watu ambao hawaamini kuwa Kuna mfumo mwingine wa kuendesha na kusimama nchi zaidi ya mfumo na taratibu zilizoainishwa kwenye kitabu Chao. Ni watu ambao hawatambui mfumo wa ki secular wa kueshimu Kila mtu na tofauti zao wa kiimani, wao huamini dini Yao tuu na hufanya Jitihada zozote kuwa eti Ipo siku watafanikiwa kufuta Imani nyingine. Hivyo ijapokuwa sijaona mchango wake ila naambini contextual itakuwa imejaa mambo ya kuitetea dini yake iingizwe kwenye mifumo ya kiserikali
Mkuu ni vyema ukajikita kwenye mchango au hoja yake, maana hicho ndicho muhimu zaidi kuliko kumshambulia mtu mwenyewe! Kumbuka baniani mmbaya ila kiatu chake dawa!
 
Kundecha huyu aliyofuta matokeo ya uchaguzi na kumnyima urais maalim seif au mwingine?

Asante ila sio ajira mpya, mimi ni freelancer always. Kwa vile nimefanya mahojiano marefu na JJ. Mnyika, najua siku hiyo mtaangalia tuu, Channel Ten ni kituo cha utangazaji kama maji, usipoyanywa, utayaoga, usipoyaoga, yatakuosha siku yako ya siku, hivyo huwezi kuikwepa Channel Ten.
P
Mkuu naona unaanza kuwa balozi wa channel Ten! Wasikuache patupu tu! Shigongo aliwahi kulia!
 
Hawa na akina ponda, Katimba huwa hawana kipya zaidi ya kuangalia platform yoyote wanayoipata kuiingiza nchi kuwa Islamic state either kujipenyeza kwenye legal process kama kwenye vyama vya siasa kujifanya na wao ni miongoni kumbe wanatafuta viongozi dhaifu na waroho wa Madaraka kuwarubuni kwa kuwadanganya wakikubali mashart Yao watapata support ya waamini wao. Hawa ni watu ambao hawaamini kuwa Kuna mfumo mwingine wa kuendesha na kusimama nchi zaidi ya mfumo na taratibu zilizoainishwa kwenye kitabu Chao. Ni watu ambao hawatambui mfumo wa ki secular wa kueshimu Kila mtu na tofauti zao wa kiimani, wao huamini dini Yao tuu na hufanya Jitihada zozote kuwa eti Ipo siku watafanikiwa kufuta Imani nyingine. Hivyo ijapokuwa sijaona mchango wake ila naambini contextual itakuwa imejaa mambo ya kuitetea dini yake iingizwe kwenye mifumo ya kiserikali
Na nyinyi mnataka tutambue mfumo wa kisekula wenu wa kufumuliwa mtaro
hauna chochote zaidi ya kuutetea masilahi yenu yasiyo na tija kwa vizazi vya nchi kwa kufuata mila, utamaduni na asili yetu ya kuwa punga aadhibiwe
Utasubiri sana na hizo NGO zenu za kishoga,
Mkiingia 18 na uchoko wenu tunawashughulikia ipasavyo.
 
Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa.

Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze popote na wala haijulikani sababu ya jambo hilo kudhibitiwa kiasi hicho.

Natoa wito kwa wadau wa JF kuutafuta mchango huo wa Shehe Kundecha na kuuanika hadharani ili tuone yaliyomo, JF Haijawahi kushindwa jambo.

Naomba kuwasilisha.

===

Mbona hatukusikia akimaliza? Hata ile tafsiri ya 'hakuna kitu na kila kitu hakuna' hatukuisikia
Mwenye mwendelezo aweke video, very interesting!

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom