Pre GE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

Pre GE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama bakwata isingekuwepo nchini hii sijui Imani nyingine kama bado zingekuwepo? Mungu wabariki viongozi wa BAKWATA. Awalindee aendelee kuwaongezea busara na maarifa Walio nayo katika kuheshimu tofauti za watu na haki za binaadamu wengine wenye Imani tofauti na wao. MUNGU IBARIKI BAKWATA🙏🙏 MUNGU WAONDOELEE VIJWAZO VYOTE VYA WATU WENYE HUSDA NA WAO
Bakwata ni kanisa
Na ndio maana wagalatia mnatafuta sapoti ya waislamu?

Kwani nani hajui kwamba inchi hii kinafanyika lile wanalotaka wagalatia na waislamu wanaburuzwa tu

Saa hii kuna ambao ni wengi tu wameanza kujua hizo mbinu chafu
 
Huyu Sheikh ndiye alistahili PhD ya heshima, sijaona wa kumfananisha naye katika mpangilio wa content yake, mtiririko wa hoja na mawazo na hata umakini kwenye uwasilishaji wake.
Haswaa!
 
Bahati nzuri sana mimi nilikuwepo, hakuna kudhibitiwa kokote wala hakuna chochote kilichofichwa!.

Huu ni uongo na uzushi!.

Nimerekodi kila kitu, angalia kipindi cha KMT kwenye Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano saa 9:30 alasiri, nitakuwekea kila kitu!.
P
Chanel Ten ni mali ya ccm hawawezi kuruhusu maoni ya wasio mlengo wa ccm yaruke hewani....otherwise utakuwa ume edit
 
Huyu ni mmojawapo wa vigogo ndani ya BAKWATA mwenye mawazo huru na ushawishi mkubwa kudai mabadiliko katika jamii. Soma wasifu wake unaotizamwa kwa karibu :

Alhaj sheikh Musa Kundecha
1705058700805.png



Toka maktaba :
Classified By: Deputy Chief of Mission D. Purnell Delly for reasons 1.4 (b) and (d). 1. (S) Per reftel, Post submits the name of Sheikh Musa Kundecha as a person of great credibility and influence in the Muslim community of Tanzania who offers an alternative view to Islamic extremism.

2. (SBU) Sheikh Musa Kundecha is a charismatic, populist leader working to improve the lives of ordinary Tanzanians. His ideology is built on the concept that people who have food, security, work, and basic resources will live peaceful lives, and not succumb to extremism. Kundecha has publicly stated that Tanzanian Muslims should reject the jihadist messages originating in the middle east and southeast Asia, and ensure that the violence plaguing those regions does not infiltrate Tanzania.

He is strongly opposed to violence and extremism as forms of jihad, preaching that such violence creates chaos, worsens poverty, and leads to government oppression of Muslims.

3. (C) Kundecha has proven to be "thorn in the side" of the Government of Tanzania, frequently agitating for the GOT to do more to provide basic services such as water, roads, and healthcare. His promotion of themes of anti-corruption and good governance, as well as his calling on the government to curb wasteful spending, have angered some within the GOT. However, these themes form an integral part of his message of poverty alleviation. Post is not aware that Kundecha has any enemies other than politicians he may have irritated.

4. (SBU) In furtherance of his desire to alleviate poverty, Kundecha has established a primary school and two vocational centers providing training in tailoring, computers, machinery, and bookkeeping. Kundecha has traveled throughout Tanzania carrying his message, and has been warmly received across the country. His audience is comprised primarily of Muslims of humble means (which includes most Tanzanian Muslims), and he has the potential to have great influence within this group. Kundecha is an excellent public speaker, and his primary forums are mosques and religious gatherings. Post is not aware that he has traveled extensively or focused his message outside of Tanzania.

5. (SBU) Kundecha is a Sunni Muslim, and is the head of the Shura Council of Imams in Tanzania. He is 45 years old, has two wives and three young children, and resides in Dar es Salaam. Kundecha is a native Tanzanian of African ethnicity (tribal group unknown). He speaks Swahili and very good English, although he appears more comfortable using a translator when conversing with English speakers. 6. (S) Kundecha is reportedly critical of U.S. policy in Iraq, but he is not otherwise critical of the U.S. His message is directed at a domestic audience, and he appears largely unconcerned with foreign affairs. However, during the 2006 Israel-Lebanon conflict, Kundecha was approached by the Iranian Embassy in Dar es Salaam to support a rally of his followers against Israel. He agreed, in exchange for Iranian financial support of his charitable programs. Post's perception is that while Kundecha does not trust the Iranians, he is highly practical.

7. (S) Post has not approached Kundecha regarding support for any joint endeavor. Post's Office of Regional Affairs has had limited contact with Kundecha. Kundecha may shy away from U.S. contact out of disinterest or a concern that such an association would damage his credibility. If he is contacted, he will likely seek support for his charitable endeavors. As such, an expression of interest in his programs appears an ideal means for approaching Kundecha
 
Bahati nzuri sana mimi nilikuwepo, hakuna kudhibitiwa kokote wala hakuna chochote kilichofichwa!.

Huu ni uongo na uzushi!.

Nimerekodi kila kitu, angalia kipindi cha KMT kwenye Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano saa 9:30 alasiri, nitakuwekea kila kitu!.
P
Mkuu si utuwekee na hapa?
 
Sheikh Musa Kundecha mwanazuoni mwanaharakati

Sheikh Mussa Kundecha asimulia kashikashi nyingi alizopitia akiwa mwanaharakati Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y&

Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu asimulia jinsi alivyopewa kesi ya mauaji baada ya kutoafikiana na Polisi waliolazimisha aongee mbele ya vyombo vya habari kituo cha Polisi awaombe Waislamu waliokuwa na mpango wa kuandamana wasifanye hivyo. ...

Wakati huo Polisi Dar es Salaam mkuu wa upelelezi mkoa ni RCO Abdallah Zombe anaongoza .... nikatupwa selo asubuhi mahakamani nikasomewa kesi ya mauaji ya watu wawili kwa risasi mmoja askari polisi na mwingine raia, kutoka hapo nikapelekwa rumande Segerea miezi 6 ....

Kuhusu siasa Sheikh Mussa Kundecha anasema huwezi tenganisha siasa na dini.

Upande wa elimu anaelezea umuhimu wa suala hilo ... nilisoma Tabora kisha kwenda nje Burundi, Kenya, Saudi Arabia kuongeza elimu nikarudi Tanzania nikafundisha Tabora, Arusha na Dar es Salaam mitaa wa Kiungi Magomeni pia Kinondoni Mkwajuni na msikiti wa Kichangani Magomeni.

Mihadhara ya MwembeChai iliyoshamiri kuanzia mwaka 1994 hadi 1997 jijini Dar es Salaam iliniletea matatizo miaka hiyo ikiongozwa na kina sheikh Mazinge na wengine ...

Pia nilifanya kazi ya kuunganisha waislamu ambao ni wasomi (professionals) wa elimu pana ya kisecular na masheikh wa wanaotoa elimu ya dini, kwani makundi haya mawili yaani professionals wa kiislamu waliona masheikh wao hawana ufahamu wa masomo ya elimu ya secular huku pia masheikh wakiona waislamu wasomi kuwa hawana ufahamu wa dini yao.

Harakati hizi zimeleta mafanikio kuna misikiti zaidi ya 3,000 na huku kuna shule zaidi ya 300 za waislamu kutokana na kuunganisha nguvu za waislamu ....

Mussa Kundecha anaulizwa sheikh ni nani hasa ... pamoja ya kuwa sheikh ni kama inatumika kuonesha kuwa ni mtu mzima isipokuwa katika utaratibu ....

Sheikh Mussa Kundecha akiangalia mbele kuhusu kupata elimu ya dini, anashukuru kuwa mazingira yanazidi kuwa mazuri vitabu vipo vingi tofauti na zamani hapa Tanzania kilikuwapo kitabu kimoja cha Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy .. sasa kuna vingi zaidi ...

Kuhusu BAKWATA - Baraza Kuu La Waislamu Tanzania kutokubaliwa na baadhi ya waislamu, Sheikh Mussa Kundecha anasema kila mmoja ana nafasi yake hivyo ...

Wateja wengi wa Islamic Banking Tanzania ni wale wasio waislamu na wamewapita kwa idadi kubwa huku waislamu wakiwa wachache hivyo ni jambo jema la kijamii kwa wasio waislamu kuwa wengi sana kwa idadi ktk Benki za Kiislamu ...anabainisha Sheikh Kundecha..
 
Watu makini Baraza Kuu la Waislamu Tanzania kuhusu uongozi na utawala bora


SEMINA YA VIONGOZI BAKWATA MADA UONGOZI NA UTAWALA BORA


View: https://m.youtube.com/watch?v=Qt0qrpPU2Eo

Ustadh. Mwenda Said naibu katibu mkuu BAKWATA Taifa amwalika Bw. Joel Nanauka kutoa muhadhara wa uongozi na utawala bora

Viongozi wa BAKWATA kutoka mikoa mbalimbali walihudhuria semina hiyo iliyotayarishwa na BAKWATA kufahamu juu ya uongozi na utawala bora ili kutekeleza majukumu yao vizuri zaidi ...

BAKWATA siku zote imewaweka waumini mbele kupitia kuwa karibu na serikali mbalimbali za kilimwengu ili kuhakikisha mambo yanaenda sawa katika jamii pana ya Tanzania .



...

Balozi wa Marekani amtembelea mhe Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania.

...

Ziara ya mama Samia Suluhu Hassan
 
Hawa na akina ponda, Katimba huwa hawana kipya zaidi ya kuangalia platform yoyote wanayoipata kuiingiza nchi kuwa Islamic state either kujipenyeza kwenye legal process kama kwenye vyama vya siasa kujifanya na wao ni miongoni kumbe wanatafuta viongozi dhaifu na waroho wa Madaraka kuwarubuni kwa kuwadanganya wakikubali mashart Yao watapata support ya waamini wao. Hawa ni watu ambao hawaamini kuwa Kuna mfumo mwingine wa kuendesha na kusimama nchi zaidi ya mfumo na taratibu zilizoainishwa kwenye kitabu Chao. Ni watu ambao hawatambui mfumo wa ki secular wa kueshimu Kila mtu na tofauti zao wa kiimani, wao huamini dini Yao tuu na hufanya Jitihada zozote kuwa eti Ipo siku watafanikiwa kufuta Imani nyingine. Hivyo ijapokuwa sijaona mchango wake ila naambini contextual itakuwa imejaa mambo ya kuitetea dini yake iingizwe kwenye mifumo ya kiserikali
Mkuu umenena kweli. Viongozi wa kisiasa wajihadhari sana na mapandikizi ya Muslim Brotherhood, ambao wanajipenyeza kuingiza itikadi zao za Political Islam. Wanaofanya hivyo kwa kuwatumia hao mapandikizi na Viongozi dhaifu wa kisiasa wenye uroho wa madaraka
 
Bahati nzuri sana mimi nilikuwepo, hakuna kudhibitiwa kokote wala hakuna chochote kilichofichwa!.

Huu ni uongo na uzushi!.

Nimerekodi kila kitu, angalia kipindi cha KMT kwenye Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano saa 9:30 alasiri, nitakuwekea kila kitu!.
P
Ndugu unaezezaje kuwakisoa maccm wenzio japo hawakutaki lakini bado inajipendekeza,
Hiyo Chanel ten kwa sasa inamilikiwa na CCM wenzio.
 
Bahati nzuri sana mimi nilikuwepo, hakuna kudhibitiwa kokote wala hakuna chochote kilichofichwa!.

Huu ni uongo na uzushi!.

Nimerekodi kila kitu, angalia kipindi cha KMT kwenye Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio kila siku za Jumatano saa 9:30 alasiri, nitakuwekea kila kitu!.
P
Thread closed [emoji359]
 
Ukimsikiliza shehe Kundecha halafu ukamsikiliza alhad Mussa Salum utakabaliana na Kauli kuwa Kafir ni mtu anayejiita Muislamu huku hafuati mafundisho ya mtume Muhammad saw

Huyu Kundecha ndiye Mwislamu

Mungu mbariki Shehe Kundecha 😄
 
Hawa na akina ponda, Katimba huwa hawana kipya zaidi ya kuangalia platform yoyote wanayoipata kuiingiza nchi kuwa Islamic state either kujipenyeza kwenye legal process kama kwenye vyama vya siasa kujifanya na wao ni miongoni kumbe wanatafuta viongozi dhaifu na waroho wa Madaraka kuwarubuni kwa kuwadanganya wakikubali mashart Yao watapata support ya waamini wao. Hawa ni watu ambao hawaamini kuwa Kuna mfumo mwingine wa kuendesha na kusimama nchi zaidi ya mfumo na taratibu zilizoainishwa kwenye kitabu Chao. Ni watu ambao hawatambui mfumo wa ki secular wa kueshimu Kila mtu na tofauti zao wa kiimani, wao huamini dini Yao tuu na hufanya Jitihada zozote kuwa eti Ipo siku watafanikiwa kufuta Imani nyingine. Hivyo ijapokuwa sijaona mchango wake ila naambini contextual itakuwa imejaa mambo ya kuitetea dini yake iingizwe kwenye mifumo ya kiserikali
Haya unasema wewe.
 
Back
Top Bottom