Pre GE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Acha upotoshaji.
 
Anacho sema ni kweli kabisa kwamba kwenye Chaguzi za sasa zilizoasisiwa na Magufuli! Vyombo vya Serikali ndivyo huamua nani awe Mbunge au Diwani. Mfano kwa Uchaguzi wa 2025 kwa kule Mbeya kuna tetesi kuwa kuna Jimbo ambalo vyombo vya Serikali vimeliandaa kumpa mwanasiasa mkosoaji mkubwa wa DP World ili kumnyazisha. Sasa je kwa Muktadha huo tunayo tume huru ya Uchaguzi?
 
Jikite kwenye aliyoyasema !
Yale mengine ya udini udini tutayajadili wakati mwingine !!
 
Wewe ndio unatuwakilisha kama muandishu wetu imekuwaje ukaukosa!
 
Acha upotoshaji.

🔹Tafuta urafiki kati ya Ponda na Lissu ulianza lini

🔹Oanisha malengo ya siasa za Lissu na chama chenu wanataka nini na je kama Wana consensus ijapokuwa wapp kwenye jukwaa Moja na wanahutubia watu wa aina mojana huyo Mgeni wao mpya tunayemwona kwenye majukwaa akitoa maombi ya kutisha
🔹 Fuatilia mwingine ambaye alikuwa anamtumia mtu mmoja aliyekuja kwenu akijinasibu na kauli mbio ya safari za matumaini, alikuja kwenu baada ya kusambaratika kwa kwa kile chenye jina kama shurikisho la michezo Afrika ana ambacho walikuwa wanakitumia kwenye propaganda zao za kidini kwenye nchi. Lifuatilie hilo kundi kuanzia kwenye mkutano wao pale DIAMOND JUBILEE hilo kundi ndio hilo hilo linajipachika kwenye siasa lakini Wana lengo lao la muda mrefu
 
Porojo zako zimepuuzwa rasmi , tuletee maoni ya Bakwata
 
Mkuu hongera kwa ajira mpya , lakini si rahisi watu kuangalia Channel 10 , Sababu zinafahamika
Asante ila sio ajira mpya, mimi ni freelancer always. Kwa vile nimefanya mahojiano marefu na JJ. Mnyika, najua siku hiyo mtaangalia tuu, Channel Ten ni kituo cha utangazaji kama maji, usipoyanywa, utayaoga, usipoyaoga, yatakuosha siku yako ya siku, hivyo huwezi kuikwepa Channel Ten.
P
 
Porojo zako zimepuuzwa rasmi , tuletee maoni ya Bakwata
Kama bakwata isingekuwepo nchini hii sijui Imani nyingine kama bado zingekuwepo? Mungu wabariki viongozi wa BAKWATA. Awalindee aendelee kuwaongezea busara na maarifa Walio nayo katika kuheshimu tofauti za watu na haki za binaadamu wengine wenye Imani tofauti na wao. MUNGU IBARIKI BAKWATA🙏🙏 MUNGU WAONDOELEE VIJWAZO VYOTE VYA WATU WENYE HUSDA NA WAO
 
Nakufahamu kwa majina yako matatu na nilijua kwamba wewe ni Wakala wa BAKWATA , sasa umefika penyewe
 
Huyu Sheikh yuko vizuri sana anastahili pongezi, tunaomba kipande kilichosalia cha wasilisho lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…