Pre GE2025 Mwenye mchango wa Shehe Musa Kundecha kuhusu Sheria za Uchaguzi auweke hapa, yasemekana umefichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu unaezezaje kuwakisoa maccm wenzio japo hawakutaki lakini bado inajipendekeza,
Hiyo Chanel ten kwa sasa inamilikiwa na CCM wenzio.
CCM sio chama cha mtu, hivyo hoja ya CCM hawanitaki ni hoja muflis!.

Licha ya mimi kuwa ni kada, ila ukosoaji uko pale pale!
P
 
Huyu Sheikh ndiye alistahili PhD ya heshima, sijaona wa kumfananisha naye katika mpangilio wa content yake, mtiririko wa hoja na mawazo na hata umakini kwenye uwasilishaji wake.
Kabisa !
 
Upendeleo kwenye masuala ya Uchaguzi ndicho anachokiongelea Sheikh Kundecha !
Watu hawadanganyiki kwa sasa !!
Tujikite kwenye ukweli ndugu !!
 
Kama lengo lake ni hilo ashafeli mapema sana haitakaa itokee
Bahat nzur tunajua malengo yao muda sana
 
Tulia wewe tulambe asali sisi pambana uingie kwenye mfumo ulambe asali
 
Hivi ni kweli wagalatia mnatafta kuungwa mkono na waislam? Kwenye maswala ya katiba kwa sasa, ni kweli kumbe
Mpo wachache
 
WATANZANIA MNA TABIA YA KUTUPUUZA WATU WENYE AKILI NA KUTHAMINI WAPUMBAVU WASOMI ....KILA SIKU NA SISITIZA KUWA NCHI IPO MIKONONI MWA GENGE LA RAIA FEKI AMNIELEWI MAANA YAKE NINI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…