Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

Mimi nikila kwa diet lazima usiku niamke kusonga ugali, sijui wengine wanawezaje kula matunda na kulala
Sipend kabisa kusikia habari za kujinyima kula...maana kama unaidhulumu nafsi..yaani unajiona unalala na njaa kisa?..ni kutembea tu kuchoma calories
 
Ww umeanza kwa mkurupuko sana mkuu, kulingana na uzito wako mkubwa unatakiwa kuanza mazoezi taratibu, usiji overdoze ndo maana ulikuwa unaenda mbali kurudi umekata moto unarudi na boda au daladala. Fanya yoooote ila mazoezi yanakupa uzito unaouweza amini nakwambia.
 
Mwanzo wa mwezi wa 8 usiku niliumwa moyo sana. Nikajisemehe peke yangu nakufa naacha watoto wangu wadogo hawa sbb ya kula tuu shenzi sana.

Nilianza kula mara moja saa 11 jioni tena ugali na kachumbali kabeji au saladi na samaki wa kukaanga kidogo at least niweze kumeza ule ugali.

Nimeona mabadiliko sana na hivi sipendi ugali nakula kidogo tuu nakinai. Usikupe nikipata matunda mpk kesho teeena. Si haba nimeona mabadiliko sana.

Sifanyi diet yoyote maana nina cheat balaa hasa jumapili home ni kitu cha pilau maisha yanakuwa shida kidogo.
 
Ulifanya diet kwa siku ngapi?
 
Una
Umeshindwa vipi kufanya mazoezi? Mtoamada unaishi wapi pengine unahitaji sapoti ya mazoezi. Mm binafs natafuta dawa ya kupunguza kufanya mazoez 😆
 
Mazoez ndugu kipaji. Kuna watu hawwez hata uwauwe
 
Uliipata ile? Vp mrejesho?
 
Lita nne za maji kwa siku ni nyingi sana. Kunywa lita mbili tu zinatosha, hata ufikie lita 3 hazibadili chochote kwenye mlinganyo zaidi kuchosha figo kuchuja maji
 
Lita nne za maji kwa siku ni nyingi sana. Kunywa lita mbili tu zinatosha, hata ufikie lita 3 hazibadili chochote kwenye mlinganyo zaidi kuchosha figo kuchuja maji
Inategemea, mi mpaka sasa nakunywa si chini ya 3ltr a day, tena kwa furaha. Inabidi kujenga mazoea kidogo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…