Mkuu shukrani kwa mchango.
Na Vp kuhusu ratiba ya msosi usiku, unashindilia msosi mwingi kama mchana au kuna other alternative ya diet?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mie naudhikaga na masuala ya kunywa maji lita 4 sijui 3...ss msos utakaa wap..mnatuchosha aise
Mkuu unaamka unaanza kusonga kabisa [emoji1787] [emoji1787] unapata wapi nguvu?
Nikupe namba ya muuzaji? Naona anapostigi feedbacks poa…Sawa! Vipi kuhusu hizo dawa nasikia zipo za kuhalisha mafuta Siku tatu
Umetishaa bonge🤣Mimi nikila kwa diet lazima usiku niamke kusonga ugali, sijui wengine wanawezaje kula matunda na kulala
Mimi nov last yr kidg niwe mlemavu...nikajipeleka hosp...nikaambiwa uzito.umezidi sana...nikaonekana na uric acid nyingi sana...kitu cha 1 dk kushauri nisitumie gari...nitembee au nipande daladala...imenisaidia sana...ilankwenye kula nilimwambia usinishauri huko unapoteza muda...so jion natembea almost 2kms🤗..na nimepunguza sana alcohol...ila kuacha nyama nilimwambia siwezNaona tunatofautiana maani Mimi nimefanya sana diet na kula vya mchemsho but niliendelea kufutuka tu.
Nikaamua kuacha kujitesa na kula chochote kasoro sukari tu ndio nimeacha natumia asali na kukipia mdogo mdogo nikimaliza nafanya workout asee nimekuwa slim kiaina sema tu ukibweteka unafutuka tena
Bora wakwambie uache kazi kuliko kuacha nyama choma aiseeMimi nov last yr kidg niwe mlemavu...nikajipeleka hosp...nikaambiwa uzito.umezidi sana...nikaonekana na uric acid nyingi sana...kitu cha 1 dk kushauri nisitumie gari...nitembee au nipande daladala...imenisaidia sana...ilankwenye kula nilimwambia usinishauri huko unapoteza muda...so jion natembea almost 2kms🤗..na nimepunguza sana alcohol...ila kuacha nyama nilimwambia siwez
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngumu sana aise...na chai nimeacha kunywa nimwaachia masukari yao yapande wawezavyoBora wakwambie uache kazi kuliko kuacha nyama choma aisee
Mimi naweza kuacha vinono na nisipungue!!!Mimi nov last yr kidg niwe mlemavu...nikajipeleka hosp...nikaambiwa uzito.umezidi sana...nikaonekana na uric acid nyingi sana...kitu cha 1 dk kushauri nisitumie gari...nitembee au nipande daladala...imenisaidia sana...ilankwenye kula nilimwambia usinishauri huko unapoteza muda...so jion natembea almost 2kms🤗..na nimepunguza sana alcohol...ila kuacha nyama nilimwambia siwez
Safi ila vitumbua vitamu aseeNilikuwa na kilo 85 sasa nina 67
•Naruka kamba mara 500 hadi 600 per day.
•Nimeachana na kitu kinaitwa chapati,maandazi. Napiga chai karanga zilizokaushwa.
•Asubuhi push up 15 na jioni 15
•Kwa wiki mara mbili nazunguuka uwanja mara5.
Msosi wa wastani ila matunda kila mara.
Hapa nilipo hakuna anayeamini kwa jinsi nilivyokata kitambi.
Nina mwezi wa sita tangu nianze.
Lita 4 nyingi sana ntakosa sehemu ya kuweka Konyagi na kamdudu ...hata hivyo maji mengi yatafanya moyo na maini na Figo na bandama Kuelea .....ni hatari Kwa Afya hivyo viungo vikielea kwenye maji .....Maji mengi ni hatari pia kwa afya lita 4 we ng'ombe.