Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe na mnyika mkumbuke tuliwachangia fedha msifungwe. Hao kina Halima halikadhalika. Uchafuzi wa Oktoba umewaacha watu na vilema, wengine wamekufa. Leo hii mnakisaliti chama!! Wallahi, wasipofukuzwa uwanachama, CHADEMA bye bye. Katafuteni kazi nyingine.
Tusubiri press kwanza!Wameenda bungeni kwa baraka za Mbowe [emoji23]...
Ndio maana Mbowe ametulia kimya, haya nyie nyumbxxxxx endeleeni kuzungusha mikono kwa style nyingine saivi .
TL akianzisha chama nahisi kitang'olewa fizi kabla hakijaota meno.Vitabaki vya ubwabwa tu.Hiki ndo ambacho nilikua nakiwaza, nadhani tumemfahamu Tundu Lissu kwa muda mrefu, ni wakati wa kuanzisha chama chake sasa, hakika watu wenye misimamo kama yake tupo na labda itakua ndio njia mpya kuelekea serikali mpya. Ila kwa Chadema i think tumeona sura harisi ya walio wengi kule katika uongozi, tamaa na kutokujiamini na kutochange mbinu vinawamaliza very slowly, God forbid !!!!
Tusubiri press kwanzaKupitia uzi huu najifunza kumbe walioapishwa leo wametumwa na uongozi wa chadema lakini uongozi unajifanya haujui
Tusubiri press kwanzaToeni tamko kuhusu akina Mdee. Mkikaa kimya kama mlivyofanya Kwa Aidan, CHADEMA mnaizika.
Wafukuze, hawana tofauti na wauaji ambao wamewaua akina Mawazo, Ben na wengine.
Mawazo alikufa ili nyinyi muwe wasaliti
Tusubiri press kwanzaDawa ni kufukuza uanachama hao wanawake wote na kupeleka majina mengine!
Tusubiri press kwanzaWakikaa kimya nitajua nao wanahusika na huenda wamehongwa!
Yaliyotokea ni aibu ya pili katika nchi ndani ya mwezi mmoja!
Ni aibu kusaliti wananchi
Ni aibu kusaliti viongozi wa chama
Ni aibu kusaliti vikao vaya chama
Hili kupita inategemea na press ya leo.Kakaaa kama haikufa wakati wa Lowasa na gia angani...basi hata hili litapita.Ila credibility yake/yao imeshuka kinoma.wala sijuti kuamua kuwapuuza since 2015
Atatuthibitishia kwenye press sisi huwa hatuamini porojoMkuu labda kama hausikilizi redio wala hauperuzi mitandaoni ,Chadema kupitia Mnyika katamka wazi kwamba CHADEMA hawakupeleka majina yeyote TUME.
Hivi ndo kinakufa sasa.Any way tusubiri press kwanzaUkimya wa Mbowe unasema kila kitu tatizo mnataka mpaka mtafuniwe, Mbowe hajaongea toka maandamano yakose watu, yule ni mfanyabiashara anajua kusoma alama za nyakati... chama bila ruzuku kitakufa, bora lawama kuliko fedheha
Tusubiri press kwanzaUpatikanaji wa viti maalum lazima ufuate utaratibu wa chama na sheria za nchi.
1. Maswali ya msingi ya kujiuliza je hao waliokwenda huku wamepatikana kupitia vikao halali vya chama au wamejipeleka wenyewe?
2. Pili je sheria ya kuwasilisha majina hayo NEC na bungeni imefuatwa au imekiukwa?
Kama hayo hayajafuatwa ni uhuni tu kama uhuni mwingine mwingi tulioushuhudia katika utawala wa awamu hii ya tano na hauwezi kuwa ni kwa maslahi ya nchi hata kidogo!
Wamefurahi au wanashangaa ujinga wa Magwanda?Vile MATAGA wamefurahia leo!View attachment 1634036
CCM ni biashara ya nani?Mbowe hana cha kupoteza yeye anaangalia ruzuku tu,jishangae wewe mishipa ya shingo imekutoka kujifanya unakijua chama kuliko Mbowe na mkwe wake.
Hivi vyama ni biashara za watu,ukiingilia maslahi ya watu unatolewa kama CHACHA.
Unataka Mbowe na Mnyika wawe wanalopoka kama jiwe la Chato....