Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Sijui Kinana alimwbia we lewa, maana haeleweki. Anyway ngoja nitafute ugali wa wanangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mengi Raisi Samia anafanya vizuri. Kuhusu bei ni tatizo la kidunia sio Tanzania pekee. Kuanzia China, US , EU tatizo la bei ni kila mahali. Mimi nipo Texas na bei ni tatizo mpaka huku.
Nimeishika kauli moja kubwa Leo.Safi sana madini matupu.tatizo watu hawajui hivi vitu
Ninakupongeza Hongera zake Mwenyekiti wa Chadema Mbowe kwa kuzungumza ukweli wa maelewano kati yako na Rais Mama Samia Suluhusu Hassan.Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali.
Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia.
Is MBOWE OKAY?
View attachment 2490283View attachment 2490284View attachment 2490285View attachment 2490286
Sasa usije ukakuta unajichanganya mwenyewe mkuu wangu 'econo'.
Hayo ya "sirini", ndiyo hayo hayo yahusuyo hiyo Katiba; kwa sababu mambo ya katiba siyo mambo rafiki kwa CCM hata kidogo.
Naunga mkono hoja hii......Cdm waanze kumuandaa mrithi wa Mbowe sasa hivi mapema kwa faida yao na nchi kwa ujumla.
JokaKuu Pascal Mayalla Kalamu zitto junior
Udhaifu upi? Binafsi naona Wana ccm awamu hii Wana vingi vya kujivunia kuliko miaka iliyopita.Tukiombee chama,
Kinapitia wakati mgumu,ambapo Kwa uongozi wa CCM ulivyo dhaifu, CDM ingetakiwa iwe inapeta tu!!!
Chama na viongozi wake wakae wayamalize,
Naamini mikutano ijayo hawatotuangusha.
Ameeen
Sasa hawana ajenda ila Wanategemea matukio na upepo 😁😁.Upinzani wa Tanzania ushaparaganyika...
Hatuna vibrant upinzani zaidi ya wajanja wajanja!
Anzisha chama na wewe uvunjiwe hotel, ufungiwe account, upewe kesi za uhujumu uchumi na ugaidi halafu uje hapa kubwabwaja upumbavu wako huo.Amepoteza hii nafasi. Ametumia muda mrefu kuwakaripia viongozi wenzake wa Chadema kuliko kuikosoa CCM. Ametumia mrefu mno kulalamikia dhana kuwa amelamba asali kuliko kuwazungumzia wanachama wenzake ambao bado wako ndani. Mimi nilitegemea angetumia nafasi hii kuunganisha na kuwatia moyo wanachama wenzake lakini badala yake ametuonyesha kuwa kuna mpasuko ndani ya chama chake na hataki kukoselewa. Ameni disappoint sana. Angalau viongozi wenzake waliomtangulia walionyesha kuwa bado moto unawaka ndani ya matumbo yao.
Amandla...
Wanaona Mbowe kakosea naomba watangulie jela Ili tuone..Anna Nkya, kwa tanzania tulivyo, Mbowe ana haki ya kumshukuru Samia. Samia angeliweza kukaza kama magufuli na hakuna cha kumfanya maana Tanzania tu waoga wakubwa, mimi, wewe na yule. Kenya ingelikuwa hakuna haja ya kumsifia maana wana uwezo wa kulazimisha la kisheria wanalotaka kulifanya (kumbuka wakati wa kumwapisha Raila miak hiyo, polisi/serikali walitishia kuwa watafyatua wakidiriki kuja kwenye kuapishwa, walimiminika watu kuzidi ilivyofikiliwa, meaning walikuwa tayari kufa!). Wewe unaweza, tupo hapa na fake IDs. Woga. Hivyo kwa Samia kufungua mikutano, ni vema akashukuliwa! anna
Bila Mbowe kupambana wale waliofungwa jela wangeozea huko huku nyie wapuuzi wa mitandaoni hamna mlichowasaidia..Yaani mwamba Hajasema Neno lolote linalogusa maisha ya Wananchi zaidi yakusifia watawala. Leo hii mbowe anawaambia Wananchi walipongeze jeshi la police[emoji848][emoji848]
Angalia wanaokuunga mkono ndio utajua kuwa mpumbavu ni wewe na sio sisi.Anzisha chama na wewe uvunjiwe hotel, ufungiwe account, uolewe kesi za uhujumu uchumi na ugaidi halafu uje hapa kubwabwaja upumbavu wako huo.
Mbowe hakuna watanzania wanachomdai ameshafanya kila kitu na now yupo 60years +
Wakina Mnyika, Heche, Lissu na Pambula ndio wanatakiwa kufanya kazi zake !!!
Acheni kumuandama mtu ambaye kapambana Sana Sana wabongo hata mtetewe vipi hamjitambui!!
Hata kama ni kweli amepewa asali acheni tu ale maana anatetea wapumbavu!!
Marekani walitaka kuwatosa Democrats kwa sababu ya mfumuko wa bei. Kilichowaponya ni suala la abortion. Na Republicans kusimamisha machizi...she is not doing enough.
..hakuna anayesema Ssh hafanyi chochote.
..hivi huko Marekani mkilalamika mfumuko wa bei Biden na Democrats huwa wanawajibu hata Tanzania, Lesotho, Yemen, kuna mfumuko?
Makosa yalishafanyika 2015 baada ya mwenye chama Mbowe kujiamulia peke yake. Kazi iliyofanyika tangu 2005 ilisambaratishwa 2015 kwa kumsumamisha mgombea ambaye CHADEMA wenyewe walimwita fisadi kwa miaka kadhaa. CHADEMA wangebaki na watu wenye misimamo kama Dr Slaa wangekuwa bora zaidi ya leo. SHORTCUT IS A WRONG CUTNahisi Mwenyekiti kuhutubia akiwa CHAKALI ina maanisha kuvaa miwani ya mbao kufisha tuhuma za yeye kulamba asali.
Ila tulisoma CUBA tunajua na yeye mwenyewe anajua hana jinsi maana ile kesi ya ugaidi umewekwa PENDING akienda tofauti wana review imekuwa fimbo ya kumchapia na kuwanyamazisha.
Sawa maridhiano ni mazuri lakini awaoni gharama za maisha kusababishwa na mfumuko wa bei,na ufisadi etc
Uamuzi wa kumsimamisha Lowassa 2015 ulikuwa sahihi kwa sababu:Makosa yalishafanyika 2015 baada ya mwenye chama Mbowe kujiamulia peke yake. Kazi iliyofanyika tangu 2005 ilisambaratishwa 2015 kwa kumsumamisha mgombea ambaye CHADEMA wenyewe walimwita fisadi kwa miaka kadhaa. CHADEMA wangebaki na watu wenye misimamo kama Dr Slaa wangekuwa bora zaidi ya leo. SHORTCUT IS A WRONG CUT
Mkuu nilikimbilia Aljazeera kufuatilia mkutano sikukuta LIVE,imekuwaje na wewe umetuambia tufuatilie Live huko na kwenye International media nyigine?Mambuzi yalikua yanategemea mbowe amtukane bibi ushungi ili akamatwe wafurahi. Kalagabaho imekula kwenu [emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo Mbowe alikuwa sahihi kujiamulia nje ya vikao halali vya chama? Kumbuka Slaa alihamia CHADEMA baada ya CCM kukata jina lake Dodoma mwaka 1995. Wajumbe wilayani walimpitisha kuwa mgombea ubunge wa Karatu dhidi ya kigogo wa wakati huo Mzee Qorro. Kamati kuu ikakata jina ndo akahamia CHADEMA. Kwahiyo Slaa sio mtu anayependa ubabaishaji. Hakukuwa na namna yoyote aendelee kukaa pamoja na watu waliomfanyia uhuni.Uamuzi wa kumsimamisha Lowassa 2015 ulikuwa sahihi kwa sababu:
a. Aliwasaidia kupata wabunge wengi kuliko ambavyo wangepata kama wangemsimamisha Slaa. Walifanya vizuri kuziba pua zao kwa manufaa ya muda mrefu. Na ukweli ni kuwa hata wangemsimamisha Yesu asingeshinda.
b. Ultimately Slaa alionyesha rangi yake halisi kwa kuhamia upande wa pili. Mimi nahisi angeweza hata kuachia ngazi wakati wa uchaguzi. Slaa amepoteza credibility yeyote aliyokuwa nayo.
Amandla...
Kwa jinsi ulivyosimulia historia ni dhahiri kuwa hakuwa mtu wa principles bali aliangalia zaidi atafaidika vipi. Hakuhamia CDM kwa sababu alizipenda sera zao au msimamo wao bali ilikuwa ni hasira ya kunyimwa ugali CCM. Ndio maana siku zote anasema hajawahi kurudisha kadi yake ya CCM. Na aliondoka Chadema kwa sababu tu aliona amenyimwa ugali ambao ni stahili yake. Angekuwa ana integrity asingerudi CCM hata alipoahidiwa ugali wa ubalozi. Na alipokuwa kule alitumika bila kinyongo kuwa vuvuzela wa CCM.Kwa hiyo Mbowe alikuwa sahihi kujiamulia nje ya vikao halali vya chama? Kumbuka Slaa alihamia CHADEMA baada ya CCM kukata jina lake Dodoma mwaka 1995. Wajumbe wilayani walimpitisha kuwa mgombea ubunge wa Karatu dhidi ya kigogo wa wakati huo Mzee Qorro. Kamati kuu ikakata jina ndo akahamia CHADEMA. Kwahiyo Slaa sio mtu anayependa ubabaishaji. Hakukuwa na namna yoyote aendelee kukaa pamoja na watu waliomfanyia uhuni.