econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Kweli Siasa ni Sayansi, kama mchezo Chadema imefungiwa kufanya Siasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa Mali itakapoamuliwa.
Wakati huo huo Mwenyekiti wake, Bwana Tundu Lissu yupo Mahabusu miezi mitano hii inaelekea Kwa kesi ya Uhaini š
Samia, anaenda kuvunja rekodi ya mtangulizi wake hayati JPM kwenye huo Uchaguzi
Yeye atakwenda kushinda Kwa asilimia 99.5 huku ACT akienda kuambulia hiyo asilimia 0.5 iliyobaki
Maana hakuna tena Ushindani wa Chadema Mwaka huu
Hapo siasa ni sayansi haijatumika Bali mabavu yametumiaka.