Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Gairo amwagiwa Tindikali na watu wasiojulikana

vikao ndani ya chama chao cdm wanausikaje hapo ni mapambano ya kugombea nafasi.jamaa kaona matunguri hayafanyi kazi katumia acid
 
Hiki kweli ni CHAMA CHA MAPUMBAVU. (CCM)

Mheshimiwa PUMBAVU swali la nyongeza...? ha! ha! ha! MIMI NASEMA WAMWAGIWE TU. MAANATUMECHOKA...! Aghaaaaaaa.. . Liwalo na Liwe.
 
Maccm ni mapuuzi,mshahukumu kabisa,mi nampa pole Mwenyekiti si kila jambo la kushabikia hata kama ni mpinzani
 
Chadema mtatumaliza jamani tuoneeni huruma sisi ni binadamu kama nyie.

Kamanda CDM haisiki hapo nadhan bila shaka watakuwa ni green guards wenu walikuwa wanafanya majaribio ya ndani ya kigaidi kabla ya kuwafata wana CDM.
 
Pole sana Mwenyekiti, Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo akuponye kabisa na kukusahulisha maumivu na machungu yote uliyoyapata. Amen
 
13. Mwakyembe kuwekewa taulo lenye sumu ofisini kwake na mwili wake kuanza kutoa unga kama KITIMOTO aliyekomaa
Ungemalizia hii nayo ni CDM,Mwandosya kuugua maradhi ya ajabu yasiyo na kichwa wala miguu huku wanyamanyafu wakidai it is a war within CCM Hii nayo ni CDM Kweli CDM Mnaiota hata mkiwa na wake zenu vitandani puu!!!
 
wanaotaka madaraka hata kwa kumwaga damu ni chadema na haya matukio ni mageni na mapya kwa nchi yetu.

Matukio kuwa mapya si kigezo cha kuiengua CcM haiwezi husika na matukio ya kinyama.Je,kada wa chadema ARUMERU ALiyechinjwa NA msumeno? Nao ni CDM?
 
kugombania vyeo kutawasababishia watu matatizo ndani ya vyama ilo bifu la uyo mwenyekit na mbunge wake na nia yake kugombania ubunge 2015 vimemletea matatizo
 
huyu nae watazunguka nae jukwaani kuhadaa wananchi kuwa ni CHADEMA wanahusika?
CCM mtamalizana wenyewe hiini hatari sana
 
huyu nae watazunguka nae jukwaani kuhadaa wananchi kuwa ni CHADEMA wanahusika?
CCM mtamalizana wenyewe hiini hatari sana

Mchawi hapa ni Mwigulu ktk harakati zake za kutaka kura za huruma kutoka kwa wananchi ,,, kaona tesha kadoda sasa ivi anatakuwa na mwingine,,, kazi kweli kweli!
 
Kaingilia kambi asiyotakiwa eh....CCM ni nyumba iliyofitinika...Wamemwaga Zenj, igunga, kwa Kubenea, etc..nayo watasema CDm ila si muda kambi iliyoadhibiwa itapiga kelele.

CCM itakufa yenyewe very soon.
 
mwigulu kapata mtaji mwingine, sasa itakuwa show ya mtu mbili zilizobabuka uso, nyingine inakava front nyingine on the rear.
 
Back
Top Bottom