Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akutana na Rais Samia Ikulu leo Desemba 31, 2022

31 December 2022

SALAMU ZA CHADEMA MWAKA MPYA 2023

Katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika atoa salamu za mwaka mpya 2023, asisitiza madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

Haki, Utawala Bora na Uwazi. Katiba mbaya ya 1977. Uhuru wa Tanganyika 1961 kupitia CCM kuna matatizo ya kiuongozi.

Katika Mazingira haya mwaka 2022 kitu ambacho kingeweza kutubainisha ni kuondoa mkwamo wa katiba mpya uliokwamishwa na CCM tangu 2014.

Salamu za CCM na serikali yake kutoa salamu za mwaka 2023 isiache kuweka wazi suala la katiba mpya na jinsi itakavyo shiriki kuhakikisha katiba mpya inapatikana, CHADEMA kupitia katibu mkuu kamanda John John Mnyika anakumbushia ulazima wa kupatikana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Tanzania ... kilio cha katiba ni kilio cha wengi na CCM ilitoa kauli 2022 ikiambia serikali yake ya CCM itekeleze na kutoa muelekea wa kweli kuhusu kupatikana mchakato wa kweli kuelekea kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.

Katika hotuba hii ya kihistoria ya madai ya katiba inayobainisha umuhimu wa katiba mpya katika kuhakikisha fedha za miradi ya ..... zinatumiwa vyema na kuwajibisha wale wanaotumia fedha za walipa kodi vibaya ...

Kuhusu geresha na propaganda za serikali kupitia Kikosi Kazi ....

 
Hizi ndiyo siasa. Vyama vya upinzani viko kikatiba na wapinzani ni wananchi wenzetu.

Ila yule shetani wa Chato aliufanya upinzania ni uadui. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu hatimaye akasepeshwa jehanam mnamo 17/ 03/ 21
Lamba Asali wakati wako huu
 
kama tulivokubaliana wana chadema kudanganywa tumechoka na mwenyekiti wetu mboye amepeleka hoja sijui kama watajibu maana wakikataa basi hakuna hapo tutafanya maamuzi magumu nchi nzima.
Kazi yako ya porojo kibarua kinaenda mwishoni.
 
Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka, siyo ile ya kupiga risasi watu wakiwa bungeni na kununua binadamu iliyofanywa na Magufuli na akina Polepole na Bashiru. Upinzani siyo uadui.

Hongera Samia kwa kuituliza nchi
Wewe ndo mpumbavu kweli, kama ana nia njema si angeruhusu mikutano ya hadhara?
 
Vipi kujhusu Taarifa ya kikosi kazi?
Mbowe ndio baba wa Imani kwa siasa za Tanzania na pengine angechagua kuwa Mtumishi wa Mungu sidhani kama kungekuwa na nabii anayeweza kumpata kwa wafuasi kwa hapa Tanzania.
Perfect
 
mashoga ya ccm jiandaen kukimbia makorido ya lumumba maana katiba mpya itawafyeka msipifanya hivyo na mamayenu tayari kasurrender kuhusu katiba mpya.
Wewe dogo unapenda sana kuwa shoga
 
Vipi, kamiminiwa asali? kumbe hii nchi inamilikiwa na watu wawili ambao wakishafanya maridhiano basi kila kitu mswano.....
 
Huenda nchi kaituliza (sina uhakika), ila kuhakikisha kuwa nchi haina vichaa kama wewe itamgharimu nguvu nyingi sana.

Wewe bado unamuwaza Magufuli mwaka wa pili leo tangu afariki tena kwenye mada isiyomuhusu, zimo kweli?
Wewe ni box kweli,kwani ******** alikua katibu kata???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…