31 December 2022
SALAMU ZA CHADEMA MWAKA MPYA 2023
Katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika atoa salamu za mwaka mpya 2023, asisitiza madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi
Haki, Utawala Bora na Uwazi. Katiba mbaya ya 1977. Uhuru wa Tanganyika 1961 kupitia CCM kuna matatizo ya kiuongozi.
Katika Mazingira haya mwaka 2022 kitu ambacho kingeweza kutubainisha ni kuondoa mkwamo wa katiba mpya uliokwamishwa na CCM tangu 2014.
Salamu za CCM na serikali yake kutoa salamu za mwaka 2023 isiache kuweka wazi suala la katiba mpya na jinsi itakavyo shiriki kuhakikisha katiba mpya inapatikana, CHADEMA kupitia katibu mkuu kamanda John John Mnyika anakumbushia ulazima wa kupatikana katiba mpya na tume huru ya uchaguzi Tanzania ... kilio cha katiba ni kilio cha wengi na CCM ilitoa kauli 2022 ikiambia serikali yake ya CCM itekeleze na kutoa muelekea wa kweli kuhusu kupatikana mchakato wa kweli kuelekea kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Katika hotuba hii ya kihistoria ya madai ya katiba inayobainisha umuhimu wa katiba mpya katika kuhakikisha fedha za miradi ya ..... zinatumiwa vyema na kuwajibisha wale wanaotumia fedha za walipa kodi vibaya ...
Kuhusu geresha na propaganda za serikali kupitia Kikosi Kazi ....