Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

Kauli inakatisha tamaa. Maana ni kama ikiwa raid chama chako kinakupa pesa kuleta maendeleo hivyo inabidi uzipeleke huko walikokuchagua. Makini cha ajabu hizo fedha za barabara ni za yao unaokataa kuwajengea. Hii ni kauli iliyojaa dhuruma. Nadhani Mkuu alipitiwa tu hawezi kusema hivyo kwa kumaanisha.

Ndio maana watu wako bize mitaani na mambo yao hawana time na uchaguzi wala kampeni
 
Magufuli ni mbaguzi
 
MAENDELEO ni kodi zetu

Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu

Tusipewe kwa rangi zetu

Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu

Kodi ni pesa ya watanzania wote

Wasipochagua chama chako usiwachukie

Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie

Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, magufuli Usiwafokee
 
Wewe naye umeshapuuzwa na hoja yako hiyo mfu ila bado unahangaika tu!
 
Magufuli ni mbaguzi
 
Hizi lugha za kibaguzi zinapendwa sana kutumiwa na mkuu wetu!
Sijui washauri wake wanasemaje au wanashindwa kumshauri aache hizi lugha?
Amefanya upinzani uonekane ni uadui na vita! Kiongozi anatakiwa kuunganisha watu siku zote.
Hii kauli ya 'maendeleo hayana vyama' sijui kwanini tunadanganywa!
 
Wewe jamaa una akili kweli?Halafu unaweza ukakuta una familia kabisa,wewe ni mzigo hadi kwa watoto wako!Sijui utawafundisha nini!
Nimeshangaa sana!
 
Wewe kila siku unamuunga mkono Lissu, leo unasema Magufuli ni m/kiti wako, siyo unafiki wa siasa? Ukweli Magufuli hafai, lakini ni bora kuliko waliopita na Lissu hafai zaidi!
 
Kaka YEHODAYA kwa mantiki hii, bhasi kama anawapatia watu kulingana na sera waliochagua i.e waliochangua upinzani bhas awapatie yale ya ilani ya upinzani!
Kwanini msumeno ukate upande mmoja?
Mimi binafsi nlikuwa namuona JPM bonge la genius lakini kiukweli am very disappointed!
Ni mweupe mno....if you know what am saying!
 
TBC, Chanel ten na ITV naomba wakati wa marejeo ya taarifa ya habari, habari ya Urambo msikate sehemu zenye MAELEKEZO ya Mgombea.
 
Tafuta mchi yako na wewe uiongize kwa upole,usimrekebishe MUNGU alichoumba wala usimlaumu MUNGU kwa kuwaumba waTanzania hawa ambao ukiwabembeleza wanakuvuruga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…