Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya akili nayo yanachangia, toss yetu iko busy kushughulikia wapinzani badala ya kumpima mgombea akiliAnatembea anatukana njia nzima kama mlevi wa gongo
kwani amesema ye ni Utopolo CDM🤔?Wewe ni mamluki wa CCM wala siyo chadema!
Magufuli ni mbaguzi"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli
ITV Tanzania / Nipashe
Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Magufuli ni mbaguziMwanazuoni na Katibu Mkuu wetu Dkt. Bashiru Ali tupo wote hapa JF tena 24/7 hivi kweli kwa 'Usomi' wako hujaona kuwa hapa kuna Tatizo pana?
Barabara yenyewe sasa kilomita moja?Kwahiyo barabara amejenga kwasababu ya Kapuya na si wananchi waliomweka madarakani?Kwahiyo Kapuya angekufa hiyo barabara isingejengwa?This guy is sick!
MAENDELEO ni kodi zetu"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli
ITV Tanzania / Nipashe
Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Wewe naye umeshapuuzwa na hoja yako hiyo mfu ila bado unahangaika tu!Wapinzani hawataki maendeleo ya vitu sasa asingekuwepo Kapuya mbunge wa CCM mdai maendeleo ya barabara hiyo barabara isingejengwa.Kasome sera ya Chadema hawana mpango na maendeleo ya vitu ina maana ukichagua mbunge wa Chadema sabau maendeleo ya vitu sababu hatayatafuta sera yake hairuhusu
Wala Dr Magufuli hajakosea
Walipo wabunge wa Chadema apeleke maendeleo ya vitu ya nini? Kuchagua mbunge wa Chadema ni kuchagua sera kuwa watu wa eneo hilo hawataki maendeleo ya vitu sasa kama hawataki unawalazimisha kuwapelekea?
Magufuli ni mbaguziKwahiyo barabara amejenga kwasababu ya Kapuya na si wananchi waliomweka madarakani?Kwahiyo Kapuya angekufa hiyo barabara isingejengwa?This guy is sick!
Magufuli ni mbaguziMAENDELEO ni kodi zetu
Hazikusanywi kwa kadi za vyama vyetu
Tusipewe kwa rangi zetu
Kuchaguliwa/kuchagua ni haki yetu
Kodi ni pesa ya watanzania wote
Wasipochagua chama chako usiwachukie
Wasipokupenda, wakikukosoa, usiwakasirikie
Wanalipa kodi, wapewe maendeleo, magufuli Usiwafokee
Wewe jamaa una akili kweli?Halafu unaweza ukakuta una familia kabisa,wewe ni mzigo hadi kwa watoto wako!Sijui utawafundisha nini!Mleta mada Magufuli yuko sahihi ukichagua mbunge wa Chadema ujue hutaki maendeleo ya vitu iwe barabara shule hospital nk
Sababu sera yao hawataki vitu Na wako wazi .Uchaguzi ni kuchagua sera sio mtu tu
Ukichagua Chadema ni ujumbe kwa serikali kuwa eneo hilo hamtaki vitu na Raisi anawajibika kuheshimu maamuzi yenu kwa kutoleta vitu iwe barabara au mradi wowote
Wewe kila siku unamuunga mkono Lissu, leo unasema Magufuli ni m/kiti wako, siyo unafiki wa siasa? Ukweli Magufuli hafai, lakini ni bora kuliko waliopita na Lissu hafai zaidi!"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia,nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga...mambo ndivyo yanavyokwenda hivyo".Dkt.Magufuli
ITV Tanzania / Nipashe
Hivi nyie mlio karibu nae akina Dkt. Bashiru Ali na Mzee Philip Mangula kwanini msishauri aachane na Kauli za 'Kibabe' kama hizi? Tunachoka sasa!!
Kaka YEHODAYA kwa mantiki hii, bhasi kama anawapatia watu kulingana na sera waliochagua i.e waliochangua upinzani bhas awapatie yale ya ilani ya upinzani!Mleta mada Magufuli yuko sahihi ukichagua mbunge wa Chadema ujue hutaki maendeleo ya vitu iwe barabara shule hospital nk
Sababu sera yao hawataki vitu Na wako wazi .Uchaguzi ni kuchagua sera sio mtu tu
Ukichagua Chadema ni ujumbe kwa serikali kuwa eneo hilo hamtaki vitu na Raisi anawajibika kuheshimu maamuzi yenu kwa kutoleta vitu iwe barabara au mradi wowote