Mwenzenu nimeyatimba

Pole sana,usimwamini mtu kwamuonekano wa nje
 
Hana uzuri wowote ndugu alikuwa malaya huyo wewe ukadhani bint wamaana
 
Kunywa vidonge viwili vya Azuma,
Nenda dukani chukua cefixime 400mg, kidonge kimoja,

Kunywa kwa pamoja,
Kisha kaa siku 5 bila sex, usije muambukize mwenzako,
Kisha maisha yaendelee siku ya 6
Mkuu hapa Nina Azuma vidonge 6 nakunywa kwa siku sita. Na hizo zingine zingine sasa.
 

Sasa nani asiyejijali hapa, wewe uliyepiga kavu au huyo mdada?

Wiki nne zijazo pima ngoma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…