Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Nakumbuka sn hicho kipindi mkuuSheikh wa kenya? Huko umeenda mbali, hapa hapa bongo Kuna Mtu akiitwa sheikh illunga, kipindi kile 2012-13 alikuwa alisema waziwazi kuwa mkristo haki yake ni kupigwa risasi.
Walitoa cd za kila namna, na Kama unakumbuka kipindi hicho matukio ya ugomvi wa kidini yalikuwa mengi sana
Hivi leo shehk Abubakari zuberi akiamua kuzishawishi mamlaka kua waislamu fulani na fulani wawekwe jela hilo wewe litakupa wasiwasi?Hapana, waliwekwa ndani na sheikh mwenzao wa visiwani na sheikh mwingine wa Zanzibar; nakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2015, Lowassa akiwa Chadema aliahidi kuwafungulia hawa masheikh endapo atachaguliwa kua rais wa Tanzania, sheikh Abrahman Kinana akaiandikia jumuia ya kimataifa kuhusu hatari ya kuwafungulia masheikh hawa, akalinganisha yaliokua yanatokea Somalia na uhuru wa hawa watu; so sijaelewa kwanini Magufuli kaingizwa kwenye hu mgogoro wa masheikh ili hali waliwekwa ndani na mshaikh wenzao
Nashangaa watu hapa wanaongelea udini kwenye haki,labda niulize kwa nini kama hao Mashekhe wanamakosa wasihukumiwe?
Watu msijifanye nyie ndiyo kila kitu yupo anayemiliki nafsi zetu ambaye ukifika mda wako hata ungekuwa na manguvu vipi lazima ufe.
pili ni mapema sana kwa ndugu zangu waisilamu naamini mashekhe wataachiwa sababu hata wakati wa Magufuli yasemekana Maalim seif na Mama samia waliwai kwenda kumuomba Rais angalau mashekhe wafikishwe mahakamani
na wenda kilichotokea kwa mwenda zake wenda ikawa ni pamoja na Dua za mashehe
Unamtuhumu Jiwe kwa lipi?Tena wawachie ,Wasiogope huyu Jiwe hawezi kufufuka na kuwauliza nani kawaruhusu wawaachie,Wasiogope,,Mama Mh Samia,,wewe ni Muislamu,,muhofu ALLAH atakujaza heri nyingi sana.
Sheikh Abubakari Zuberi ana mamlaka yeyote ya kumuweka mtu ndani? Unadhani hapa kwanini sikumtaja Pengo au sheikh Simba?Hivi leo shehk Abubakari zuberi akiamua kuzishawishi mamlaka kua waislamu fulani na fulani wawekwe jela hilo wewe litakupa wasiwasi?
Kwa wanaoelewa halitowapa wasiwasi hata wewe pia halitokupa wasiwasi kwa sababu hao wanaotambulika na mamlaka kua ni sehemu ya taasisi fulani hao ndio washiriki wao katika kufanikisha mambo yao
Iko hivo
Wapi niliposema shehk Abubakari ana mamlaka ya kumuweka mtu ndani?Sheikh Abubakari Zuberi ana mamlaka yeyote ya kumuweka mtu ndani? Unadhani hapa kwanini sikumtaja Pengo au sheikh Simba?
Sawa mi mbwa leo nipo zamu keko naenda kuwapiga mujengo mashehe wakoUna uhakika kama uamsho walikua magaidi? Mbwa we
HAta hiyo ya kushawishi tu; kwenye sheria hao vingozi wa dini ni raia kama sisi so kwanini useme eti sheikh Abubakari ashawishi fulani na fulani wawekwe ndani?Wapi niliposema shehk Abubakari ana mamlaka ya kumuweka mtu ndani?
Mnao waoneaga huruma hawa magaidi hivi hamfuatilii kinachoendelea Msumbiji jinsi majitu type hii yanavyo chinja wenzao. Kuweni serious bhana