Mwezi wa Ramadhani umeingia Masheikh wako Jela

Nenda kawatoe

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Kule Somalia Al Shabab inasemwa kuanzishwa mwaka 2006, ila Chimbuko lake ni toka miaka ya 80 na 90 mwanzoni. Kuna imam mmoja anaitwa Boqora, kama sijasahau jina lake. Huyu alikuwa Akihubiri itikadi kali ambazo ndizo zikawa chimbuko la alshabab. Kasome kitabu cha ayan hirsi kinaitwa infidele, utaona chimbuko la hawa wahuni na wahalifu wa Alshabab. Ndio ujue kuwa hawa kina farid hata Lissu angekuwa Rais, asingewaachia. Pia ujue zanzibar ni vutio kubwa la kiusalama kwa eneo la sadc na maziwa makuu. Na mambo haya ndio kwa namna nyingine ni sababu kwa nini US inaikalia kimya ccm inapotumia mkono wa chuma zanzibar.
 
Viongozi wa dini wafundishe kuhusu Mungu na waachane na vitendo vya kihalifu na kigaidi . Kwa sasa Zanzibar, Dar na Pwani kumetulia. Tulikuwa tumeshafikia hatua mbaya sana.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mashehee wa huamsho mtoa mada wale jamaa apana labda ya Zanzibar kama ulismuliwa ukujionea una aki yakuwatetea,
ila wale jamaa ata kuwa jela ni busara tu za serekali walitakiwa wafanywe kama alivyo fanywa yule sheikh wa kenya miminia risasi kama njugu.
 
Mkuu ulishudia,hebu elezea kidogo yaliyofanyika

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi ni nchi kutulia

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu nimeona kuwa kesi yao ipo mbioni kusikilizwa mfululizo.
 

Kakojoe ukalale,
acha kutetea magaidi unless na wewe ni gaidi.
 
hao masheh wapo kwa sababu uko jela sio kwamba wameonewa ,waache wapate adabu kwanza..
 
Kipi hicho msichotaka kukisema?

Mbona wanaoitwa magaidi Osama na wengine wengi uhalifu na ugaidi wao unatajwa

Hizi ngonjera zinakera sana
sa jiulize unahisi walifanya dhambi gani kuubwa,

sio kila kitu utaambiwa mbona babu SEA kaachiwa wao hata mahakani hawajapelekwa pamjoja na kupiga kelele mitandaoni na magazetini??
 
Najua kwenye kipindi hiki watatolewa lakini watafanya yale yale ya kina Rogo wa Mombasa.
 
Comments humu ndani zinaonyesha kuwa kuna silent Islamophobia ya kutisha ndani ya hii nchi (chuki kali ya kimyakimya dhidi ya muslims) .

Watu wanahukumu wenzao bila ushahidi, yaani wanaenjoy watu kuteswa, kuumizwa na kubambikiziwa kesi bila haki.

Hao Masheikh hakuna ushahidi uliofikishwa mahakamani kuonyesha wanahusika na ugaidi, lakini watu wameng'ang'ania kuwa ni magaidi magaidi au kwa sababu ni waislamu kwa hiyo lebo ya ugaidi inawakaa vizuri eh?

Nyie watu acheni kutetea uonevu kwa sababu ya chuki za kimyakimya za kidini
 
Mleta mada kabla ya yote ungetueleza kwanza sababu ya wao kuwekwa ndani mpk sasa coz naamini serikali haijakurupuka ktk hili, kama wako ndani kwa usalama wa nchi ni jambo jema.
 
Mleta mada kabla ya yote ungetueleza kwanza sababu ya wao kuwekwa ndani mpk sasa coz naamini serikali haijakurupuka ktk hili, kama wako ndani kwa usalama wa nchi ni jambo jema.
Hao watu walihoji muungano tu, na kuhamasisha wazanzibar wauangalie muungano kwa jicho la tatu. Kosa lao ndiyo hilo!.

Hawa wanaodai kuwa hao masheikh ni magaidi ni islamophobes tu ambao wanachuki kali ya kimyakimya with anythibg islamic
 
Mkuu binafsi yako unahisi wana makosa gani?? Coz haiwezekani wawe innocent alafu watendwe hvyo.
Those guys waliuchallenge Muungano kwa challenge kubwa.
Ndiyo maana unaona badala ya wao kushitakiwa Zanzibar(kama kweli walitenda makosa huko zenji) walitekwa na kukimbizwa bara ili washitakiwe huku!
Kiufupi kwa mujibu wa sheria zetu hata kitendo cha kuwaleta bara badala ya kuwashitaki hukohuko Zanzibar ni kinyume cha sheria
 
MAGAIDI HAO ACHANA WAFIE HUKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…