Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Acha mawazo ya kijima kwani wewe imezuiwa kupeleka mwanao unapopataka, mwishowe utataka kujuwa Hadi anacheka Mara ngapi kwa siku,Tujue ada, kwanini wasisome shule hizi za bure? Si elimu imeboreshwa kuna shida gani kuwa mfano watoto wao wasome hizi changanyikeni?
Tozo Ni kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu Nazani umesikia faida kubwa na hatua iliyopigwa kutokana na tozo zetu, kuwa mzalendo kwa maendeleo ya Taifa letuUnatosha kuwadanganya wafaidika wenzio, sisi tunaoumizwa na tozo zisizo na uhalali huwezi kutudanganya. Acha tuendelee na kampeni, bora hela iibiwe na mwizi anayehangia maisha kama Mimi kuliko mwizi anayetumbua maisha kama wewe.
Kama unaoushahidi na uhakika nenda ukaonyeshe, acha kuchafua watu kwa chuki zako binafsiHahaha....madelu mbona kama unajiuma uma bhanaa.......kwamba humiliki hata bajaji!
Primary FEZA, sijui huko mbeleWatoto wake wanasoma wapi?
Leta ushahidi wako hapa, kwa Sera zipi ambazo mgombea wa upinzani angeweza kumshinda mh Mwigulu? Nyinyi mmezoea siasa za vimatukio tukio vya kupita Kama ukungu hivyo hamuwezi kuitikisa ccmNi hivi, Lowassa alikuwa mwizi, na alipewa nafasi ya kugombea na viongozi wa CDM kwa kuwahonga na sio kwamba alikuwa msafi. Huyo Mwigulu ni mwizi na asitegemee kukanusha ndio atakuwa sio mwizi. Kama yuko madarakani kwa wizi wa kura na anasema alishinda kwa kishindo, unaweza kumwamini kwa lolote?
Mahel mangapi? Kwani akiwa na hela au asipokuwa na hela ndio kwamba zitaongezeka kwenye mifuko yako Kama usipojibidisha? Pambana kutafuta fursa ya kusonga mbele, usiwe na wivu maana itafifisha uwezo wako wa kutafuta fursa na kubaki na Roho ya kwanini,Lisemwalo lipo, kama hajanunua hayo mabasi ila atakuwa na mahela ya kufa mtu
Acha mawazo potofu, hayo magari umeyaleta wewe, akubali kitu kisicho Cha kweli ili aufurahishe moyo wako? Wewe ndio weka huo ushahidi wako hapa Kama unao na siyo kuleta hoja zisizo na mashikoYeye kama waziri wa Fedha lazima ajue kuna mabasi 60 yameingizwa .... hakuna haja ya kumtaja mwenye mbasi walau angekubali kuwa kweli kuna mtu kaagiza hayo mabasi na kiwango cha kodi kilicholipwa.
Kwa yeye kukataa kutoa ufafanuzi basi kuna walakini ..... Hawa jamaa kwenye matumizi ni wepesi sana kusema ni kiasi gani kinatumika na asante kwa Maza ..... ila kwenye makusanyo wanafichaficha ..... hii ni kwa sababu ya makandokando yao!!
Hiki kitabu nilikipenda sana, ntakitafuta niwe nachoKwa aliyesoma kitabu cha The Beautiful Ones Are Not Yet Born, atajua kwanini yeye ni mmiliki na anasema hamiliki. You own something by assigning someone as owner.
Mna haki. Yeye ni mbunge waziri. Safari moja tu ya Ulaya posho yake analipa ada mwaka mzima.Sisi raia hatuna haki hiyo?
Mimi ni Binti msomi, mchapakazi, najiamini na ninakipato changu. Kutoa wazo kama Hilo katika nyuzi kusikufanye kuniona am broke as hell, pambanua na faragua hoja kwa hoja attacking my personal life it's not a good thing, Mwigulu ni kiongozi na akikosea au asipokisea atazungumziwa Hadi maisha yake binafsi.Mahel mangapi? Kwani akiwa na hela au asipokuwa na hela ndio kwamba zitaongezeka kwenye mifuko yako Kama usipojibidisha? Pambana kutafuta fursa ya kusonga mbele, usiwe na wivu maana itafifisha uwezo wako wa kutafuta fursa na kubaki na Roho ya kwanini,
Naomba unisamehe Kama nitakuwa nimeonekana kukushambulia wewe binafsi, Maana Mimi napendaga kujielekeza katika hoja iliyo mezani na siyo kumshambulia mtu, Ndio maana Mimi huwezi Nikuta nikimtukana mtu hata Kama natofautiana Naye kimtizamo.Mimi ni Binti msomi,mchapakazi, najiamini na ninakipato changu. Kutoa wazo kama Hilo katika nyuzi kusikufanye kuniona am broke as hell, pambanua na faragua hoja kwa hoja attacking my personal life it's not a good thing, Mwigulu ni kiongozi na akikosea au asipokisea atazungumziwa Hadi maisha yake binafsi.
Unashangaa nini sasa😆😆🤣Duh!
Hatari...
Leta ushahidi wako hapa, kwa Sera zipi ambazo mgombea wa upinzani angeweza kumshinda mh Mwigulu? Nyinyi mmezoea siasa za vimatukio tukio vya kupita Kama ukungu hivyo hamuwezi kuitikisa ccm
Esther ni mabasi ya nani?Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.
Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther
=====
Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.
Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.
Kitafute mkuu, utaona Armah alivyojitahidi kuonyesha yote haya yanayotokea saa hizi,huku kwetu.Hiki kitabu nilikipenda sana, ntakitafuta niwe nacho
huna akili.Kumekuwa na uongo mwingi sana kwa viongozi wetu, na hapa Kuna watu huusika kuwachafua kwa maslahi yao.
Mwigulu anasema hamiliki hata kampuni ya bajaji, ilaa anashangaa kuhusishwa na kumiliki kampuni ya mabasi.
Tuache kuwasingizia uongo hawa viongozi. Kama huna ushahidi ni bora ukakaa kimya.
Hawa wanaosema Waziri Mwigulu anamiliki mabasi ndio haohao walisema Lowassa anamiliki kampuni ya Richmond, Ila mwisho wa siku ndio haohao wakageuka na kuanza kumsafisha huku wakizungusha mikono
Mara nyingi nakuambia huna akili hata kidogo. Mwigulu anaachaje kuzungumzia maskini ikiwa nchi yetu ni maskin? Au unataka aseme sisi matajiri donor country Kama alivyokuwa akisema Magufuli?
Kujifanya wewe ni tajiri huku ukiwa ni maskini wa kutupwa ni ujinga uliopitiliza.
Tanzania ni maskini na watu wake ni maskini wa kutupwa. Ukweli ni huo