Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Uongo hakuna shule inatoza hiyoada Tanzania kwa mwaka

Nenda website.za shule kaangalie.Mwongo mkubwa wewe
Benjamin Netanyahu hata hivyo yupo chini sn

International school of Tanganyika (IST) Ada Kwa mtoto wa mwaka 1-5 ni milioni 36 na Ada Kwa mtoto wa level ya juu ni milioni 75.Huo ndy ukweli,sasa km mwigulu ana watoto wanne hapo IST basi kazi ipo kwenye Ada

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Yeye kama waziri wa Fedha lazima ajue kuna mabasi 60 yameingizwa .... hakuna haja ya kumtaja mwenye mbasi walau angekubali kuwa kweli kuna mtu kaagiza hayo mabasi na kiwango cha kodi kilicholipwa.
Yeye sio msemaji wa TRA au bandari wako.wenyewe huko

Yeye sio mkurugenzi wa Bandari wala kamishina wa TRA

Yuko sahihi kutoongelea
 
Uongo hutumia lift kwenda juu, bali ukweli hutumia ngazi kwenda juu pia. Japo ukweli hufika kwa kuchelewa ukweli siku zote hutamalaki dhidi ya uongo. Muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Mara ya mwisho,niliona mwanae kabebwa na yeye mwenyewe,huku kavalia tisheti iliyoandikwa,FEZA sijui nini huko,wanasiasa bhana.
Watoto. Wake Wanasoma Feza ada za Feza schools hizo hapo

TUITION FEES

  • Feza International Schools : from 4,500 USD
  • Feza Schools Zanzibar: from 2,600,000.00 TZS
  • FEZA Primary School: from 3,700,000.00 TZS
  • Feza Nursery School: from 2,900,000 TZS
  • Feza School Dodoma: from 3,700,000.00 TZS
  • Feza Boys Secondary and High School: from 3,300,000.00 TZS
  • Feza Girls’ Secondary and High School: from 3,300,000.00 TZS
 
Kuishi kwenye tembe kumekufanya uwe mjinga haswa
Wewe mjinga tu ziko hoteli za kitalii za tembe zimeezekwa makuti na nyasi ufukweni na mbugani wewe huwezi lala humo huna pesa hiyo ya kulala hata usiku mmoja.lofa wa mjini wewe
 
Wewe mjinga tu ziko hoteli za kitalii za tembe zimeezekwa makuti na nyasi ufukweni na mbugani wewe huwezi lala humo huna pesa hiyo ya kulala hata usiku mmoja.lofa wa mjini wewe
Huyu mumeo analala humo ndiyo maana katuongezea tozo kibao tuendele kuwalipia hotel?
 

Mwanasiasa akikwambia usiku mwema,toka kwanza nje ukahakikishe kama ni usiku kweli.
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Lisemwalo lipo...kwann ang'ake suala la mabasi wakati suala la timu kakaa kimya??
 
Back
Top Bottom